Kusema Kweli CHADEMA inatisha, nchi ipo kwenye STANDBY

Tunaanza na huyu kengee wenuu tunamdugaa virus mdaa si mrefuu tuonee mtaishia wap
Tunajua kwamba hayo yote mtafanya ila jikumbuke wewe na umaskini wako acha kuvimba vichwa ukishika hicho kibunduki Kuna siku tu utajua kwamba hujui wewe ni tahira tu uliyebebeshwa silaha ili uwauwe maskini wenzake wai na hatia na matajiri na wenye mamlaka waovu wachache wanakutumia kama mpampasi na unakenua kuwamaliza wenzako ukifikiri wewe watakuacha baada ya kukamilisha mission zao. Kiufupi ni kwamba siku ukikamilisha kumdunga hiyo sindano na wewe hatutakuacha uishi maana kuna siku utavujisha siri NG'OMBE WEWE USIYEJIELEWA MROPOKAJI HAUWEZI KUTUNZA SIRI
 
Chadema hamna uwezo wa kuisumbua nchi
Wewe unasema tu,msifikili wote Katika vyombo vyenu hakuna wafuasi wa chadema na wapenda haki ,wapo wanawachora na mipango ya waovu inajulikana vizuri tu,

Katika kosa la kiufundi mmefanya ni Hili , utawala wenu utakua wa shida mno KWA kujitakia, Sasa endeleeni na mazalau yenu , kana kwamba hii nchi mmerdhi toka kwa mababu zenu
 
Wanaaanzia wapi? Kama hawajatangaza watapita mitaa gani basi ni wababaishaji tu.Kama wako tayari watuambie njia watazopita ili Amburance ziandaliwe kwa ajili ya casualties.
Nchi yetu bado mtutishe waliokuwa wanajilipua walifikishwa hapo na tawala dhalimu Kama hizi
 
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi, hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda, kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.

Tanzania si shwari tena.


Mkapa
Magu
Makonda
Sabaya
Polepole
Bashiru etc

Hawa wote walikuwa wanataka chadema ifee leo hii wako wapiiiii?

Zito
Slaa
Lowasa
Nasari
Mashinji
Waitara
Mdee


Waliondoka chdm ikabaki pale pale.

Chdm sio MBOWE sio lisu wala sio mnyika.

Mmezuia isifanye mikutano lakini ndo inazidi kuwanyima usingizi.

Mama nae ajifunze kwa watangulizi wake.
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Watu wako busy kutafuta ugali na kutimiza ndoto za maisha yao wewe unazungumzia CDM na nchi kuwa standby...kifupi ni hapo kisutu kwenye uzio ndio kutakuwa na ulinzi mkali kuzuia msongomano usio na maana..
 
Kudai katiba ya nchi hakujawahi kuwa Uhaini ama Ugaidi... Kufika mahakamani kusikiliza shauri fiki alilobabikiziwa kingozi wao ni haki yao ya msingi... hakuna wa kuwazuia - CCM wanazidi kukosea.
 
SIo la kuchekelea NCHI kesho inaingia kwenye Standby na ukiangalia CHADEAMA tokea mwanzo magwanda yao yamekalia kijeshi, hujisemea pengine inamahusiano na Jeshi wanaitana Makamanda, kesho si siku ya kulala mpaka ukakoroma.

Tanzania si shwari tena.
Chadema ndio tumaini la Tanzania tusimame imara chini ya uongozi wa chadema tutoke kwenye manyanyaso haya.
 
Mpaka sasa hakuna kiongozi hata mmoja wa chadema alietangaza kuandamana. Hii inaonesha ni jinsi gani viongozi hao wanagwaya na kuogopa dola lililo chini ya mama shupavu, raisi na amiri jeshi mkuu mh Samia Suluhu Hassani.
Akili nyingi hutumika ktk hili,tuendeleee kusubiri tuone wat next
 
Chadema haiwezi kutisha mbele ya majeshi yetu

IMG_20210731_022408.jpg
 
Back
Top Bottom