Kwa kweli Tumaini Makene haupo kwa wakati japo mitandao huko inaweza kuwa tabu ila nafikiri hata wengine wanatuma habari hizo wakiwa huko huko kwanini wewe usubiri kuja kusafisha uongo ambayo ni kazi sana??
Jamani kurugenzi kweli mmekuwa taratibu sana kutoa habari kwanini
Mkuu tatizo la kurugenzi ya habari wamepeana Tumaini Makene hana uwezo hata wa kumkaribia mohamed mtoi tatizo ni kupeana. Deo mwenyewe yupo vizuri. Chadema ni sikio la kufa.
Bado wanazipika.
Mohamedi Mtoi mara ya mwisho alipoulizia kupewa shavu akaambiwa awe mvumilivu.Mkuu tatizo la kurugenzi ya habari wamepeana Tumaini Makene hana uwezo hata wa kumkaribia mohamed mtoi tatizo ni kupeana. Deo mwenyewe yupo vizuri. Chadema ni sikio la kufa.
Mohamedi Mtoi mara ya mwisho alipoulizia kupewa shavu akaambiwa awe mvumilivu.
Ndio maana siku hizi Mohamedi Mtoi amekata tamaa kujitolea kwa ajili ya chadema. Amevumilia vya kutosha lakini, wenzake wanakuja na kupewa shavu na yeye anabaki palepale.
Cc FaizaFoxy
la kuchangaza wanachama wengi wa chadema, sasa hivi habari ni kombe la challenge na premium league. mambo ya chadema yakiulizwa tu wanakata kona vibaya sana.
Bado wanazipika.
Hatuoni sababu ya kujibizana na mburura kama ninyi ndio mana tunawaacha mjijibu mburura kwa mburura aie tunawadharau mnavo jitolea kuwatetea wanao tafuna kodi zenu wenyewe huku nyie mkikazana kuwasaidia kwa malipo kiduchu.
Kuregenzi ya Habari haina cha kuandika.
Mohamedi Mtoi mara ya mwisho alipoulizia kupewa shavu akaambiwa awe mvumilivu.
Ndio maana siku hizi Mohamedi Mtoi amekata tamaa kujitolea kwa ajili ya chadema. Amevumilia vya kutosha lakini, wenzake wanakuja na kupewa shavu na yeye anabaki palepale.
Cc FaizaFoxy
Ungependa aje CUF?Namsikitikia sana Mohamedi Mtoi, nangoja siku atakayoitwa msaliti, mhaini na mdini. Inakaribia labda aendelee kutumwa tu na asikaribie kutaka uongozi.
Unadhani kwa haya yaliyowakuta Slaa kuvunjwa mkono mwingine ni madogo.Kwahiyo mnataka waandike. Mkutano umevunjika,Slaa anusurika aokolewa na jeshi la Polisi.
Hata kama ni mimi siwezi kuandika,Kurugenzi kaeni kimya tu maana aibu tuliyopata ni kubwa,Babu kaokolewa na vyombo vya Dola vinavyoongozaa na Chama cha Mapinduzi.
watu woote wahaini wewe na saanane tu ndio wema! siku mkijitambua tu basi na nyinyi mtaitwa wa haini na hao hao mabwana zenu, chezea sacos ya Mtei,Kukumbushana ni jambo jema sana, ubarikiwe mzee wa Lumumba,
Lakini umeniharibia sana jioni yangu kwakuwaingiza Sixgates na Tuntemeke kwenye suala hili,
Hao sio wanawachadema bali ni wahaini wa chadema.
Namsikitikia sana Mohamedi Mtoi, nangoja siku atakayoitwa msaliti, mhaini na mdini. Inakaribia labda aendelee kutumwa tu na asikaribie kutaka uongozi.
la kuchangaza wanachama wengi wa chadema, sasa hivi habari ni kombe la challenge na premium league. mambo ya chadema yakiulizwa tu wanakata kona vibaya sana.