dah.kurudi payroll shughuli mkuu.ila ukitaka kuweza km vyeti vyako vina majina mawili.tafuta cheti cha kuzaliwa kingne na ubadili initial ya katikati then uombe tena kazi mkuu.
Siku hizi kuna kitu kinaitwa LAWSON ukitumia majina yaleyale ya kwanza hukatizi.

Huyo hafai kuajiliwa serikalini mwambie tu aendelee hukohukohata kama hukwenda kuriport bado wanakubania? nna ndugu yangu alipangwa wilaya moja kusini akaamua kwenda private. sasa hivi anataka kurudi serikalini, itawezekana na sasa hivi miaka mitatu imepita?
we KIFUBA kama nakumbuka ulileta tatizo kama la mkuu apo vipi ulifanikiwa kupata mshahara?
Mkuu njia hii haukatizi hata kidogo kwa sababu nina jamaa yangu kafanya hivyo imeshindikana la msingi ni kuongea na wazee umalize mambo vinginevyo umekwama hapo.
Hapana lbda jamaa yako alibadili vibaya.unabadili kabisa.coz katika system mfano JAMES.N ONYANGO NA JAMES K ONYANGO. ni watu wawili tofauti.
Ndo maana sisi walimu darasani madgo wakifananisha majina tunawaambia waweke initials zao ili system ziwapambabue.
Hata hyo LAWSON bdo wanabase kwenye majina na sio details nyingne lkn nasikia wako kwenye harakati wa kutumia both majina na namba za vyeti hapo ndi watakuwa wamemaliza mchezo.
Mimi namshukuru Mungu nimerudi payroll ila nshapewa huo ujanja na watu wengi wamefanikiwa kwa hilo.
Mkuu nilivyopangiwa niliingizwa moja kwa moja kwenye system na kupewa check no.ingawa sikuripoti
Acha kutudanganya mkuu huwezi badili jina kirahisi rahisi hivyo na vipi kuhusu vyeti vya elimu kwa sababu ukibadilisha jina cheti kimoja itakuletea matatizo na tayari mnakuwa watu wawili ambao ni JAMES K. ONYANGO na JAMES N. ONYANGO.
Huyo hafai kuajiliwa serikalini mwambie tu aendelee hukohuko
hata kama hukwenda kuriport bado wanakubania? nna ndugu yangu alipangwa wilaya moja kusini akaamua kwenda private. sasa hivi anataka kurudi serikalini, itawezekana na sasa hivi miaka mitatu imepita?
Mkuu mimi sidanganyi.kumbuka mostly vyeti vya elimu ni majina mawili.mara nyingi vyeti vya kuzaliwa ndo vina majina matatu ambayo ndo yanatumika kuingiza mtu kwenye system.Kwahyo km vyeti vyake vina majina mawili basi yeye anacheza na initial tu.Pale RITA ukienda asbhi saa sita una cheti mkononi provided una dau.

Na vipi kama una majina matatu vyeti vya shule hii system haiangalii tu majina bali mambo mengi coz majina yanafanana sana.