Hebu niweke sawa.kama vyeti vya elimu vina majina matatu hapo huna jinsi.Pia hii system wanafatilia data nyingine iwapo wakiingiza jina litaonekana kushaabiina na jina jingine kwenye system.
Kuna mahali system huwa inauliza IS THIS NAME X SAME TO NAME Y?.Sasa system ikishauliza hvo inabdi maafsa utumishi wafatilie data nyingne na wakikuta nazo zinafanana basi wewe unawekwa kwenye blacklist ya wanaofoji data.
Lakini kama system haijaulizia ufanano wa majina basi data nyingne sio rahisi kuleta shida.Kumbuka hakuna uwezekano wa majina yote matatu kufanana ndo maana wanalazimisha uandike matatu.
Hayo niliambiwa na afsa utumishi wa shirika fulani la umma ambako mm mwenyewe nilipata kazi lkn nikakumbwa na tatzo hilohilo ikabdi nirudi halmashauri yangu na mwezi jana ndo nimerudi payroll.Ndo maana nina uzoefu kidogo.
kumsaidia kijana ajiandae kuliwa ili arudi payroll zingine mbwembwe.