dah.kurudi payroll shughuli mkuu.ila ukitaka kuweza km vyeti vyako vina majina mawili.tafuta cheti cha kuzaliwa kingne na ubadili initial ya katikati then uombe tena kazi mkuu.
Siku hizi kuna kitu kinaitwa LAWSON ukitumia majina yaleyale ya kwanza hukatizi.
Hebu niweke sawa.kama vyeti vya elimu vina majina matatu hapo huna jinsi.Pia hii system wanafatilia data nyingine iwapo wakiingiza jina litaonekana kushaabiina na jina jingine kwenye system.
Kuna mahali system huwa inauliza IS THIS NAME X SAME TO NAME Y?.Sasa system ikishauliza hvo inabdi maafsa utumishi wafatilie data nyingne na wakikuta nazo zinafanana basi wewe unawekwa kwenye blacklist ya wanaofoji data.
Lakini kama system haijaulizia ufanano wa majina basi data nyingne sio rahisi kuleta shida.Kumbuka hakuna uwezekano wa majina yote matatu kufanana ndo maana wanalazimisha uandike matatu.
Hayo niliambiwa na afsa utumishi wa shirika fulani la umma ambako mm mwenyewe nilipata kazi lkn nikakumbwa na tatzo hilohilo ikabdi nirudi halmashauri yangu na mwezi jana ndo nimerudi payroll.Ndo maana nina uzoefu kidogo.
Pole na kaxi nina tatizo kama la jamaa huyo,but me first appointment nilitumia amina shabani,lkn statement result ya chuo inaonyeshenya amina shabani mwinyimkuu,na cheti za kuzaliwa jina la baba linasomeka mwinyimkuu shabani Abdullah sasa nataka niombe ajira kwa kutumia amina Abdullah shabani je naweza penya?ila vyeti vya taaluma ni majina mawili amina shabani msaada kakaMkuu mimi sidanganyi.kumbuka mostly vyeti vya elimu ni majina mawili.mara nyingi vyeti vya kuzaliwa ndo vina majina matatu ambayo ndo yanatumika kuingiza mtu kwenye system.Kwahyo km vyeti vyake vina majina mawili basi yeye anacheza na initial tu.Pale RITA ukienda asbhi saa sita una cheti mkononi provided una dau.