mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
Watu wanakula hela na wewe ni miongoni mwa wafanyakazi hewa,
Thx bro nitakucheck kwa msaada zaidiA
Kama hujapata ufumbuzi bado unaweza kunchek namba 0672172801
Asante,na hongera kwa kujielewa kijanaSikia Lawson haichukui tu majina yako inachukuliwa mpaka namba zako za mitihani. Sasa labda ubadilishwe na vyeti. Njia iliyobaki ni kuomba kibali kwa katibu mkuu kiongozi.
Alafu jifunze kuandika vizuri unaonekana ni wale watu wasio jitambua kabisa mpaka nakuonea huruma.
Yawezekana kuwa inaonesha na mshahara analipwa?!Unaweza kupata nafasi lakini tatizo linakuja wanapotuma jina hazina kwa ajili ya malipo system inaonyesha mtu huyo alishaajiriwa
Mmesha haribu,Hapana lbda jamaa yako alibadili vibaya.unabadili kabisa.coz katika system mfano JAMES.N ONYANGO NA JAMES K ONYANGO. ni watu wawili tofauti.
Ndo maana sisi walimu darasani madgo wakifananisha majina tunawaambia waweke initials zao ili system ziwapambabue.
Hata hyo LAWSON bdo wanabase kwenye majina na sio details nyingne lkn nasikia wako kwenye harakati wa kutumia both majina na namba za vyeti hapo ndi watakuwa wamemaliza mchezo.
Mimi namshukuru Mungu nimerudi payroll ila nshapewa huo ujanja na watu wengi wamefanikiwa kwa hilo.
mshahara ulikuwa unapata?Mkuu nilivyopangiwa niliingizwa moja kwa moja kwenye system na kupewa check no.ingawa sikuripoti
Umeamua kufufua uzi wa 2014 - 2017