KAKA YAKO NAPITA
JF-Expert Member
- May 16, 2014
- 1,322
- 233
Mkuu nilivyopangiwa niliingizwa moja kwa moja kwenye system na kupewa check no.ingawa sikuripoti
ulipewaje check no bila kureport acha kutuzengua chariii
Mkuu nilivyopangiwa niliingizwa moja kwa moja kwenye system na kupewa check no.ingawa sikuripoti
Lawson Ni Nini Kwani
umefutika ulifanya nn mana si bure eleza!hata mimi nimefutika kwenye payroll huu mwezi wa 4 nimekanyaga hadi nimechoka na hakuna dalili za kunirejesha.
mkuu ebu sena ukweli, hukwenda au ulikwenda na vyeti vyako vikawa scanned na wewe jina lako likawekwa kwenye system na baadaye ukapata cheki # ndo ukaondoka?
other wise siyo kweli huwezi kupangiwa kituo afu usiende then uwe na tatitizo kama hilo,!
Sema kwel watu wakusaidie.
kama inaonyesha umeshaajiriwa na wakati hukuripoti kazini ujue mshahara wako walikuwa wanakula wajanja.
Wakuu mie nimejifunza kitu hapo! Inaonekana wengi wanaokimbia kazi zao huja Baadae kuzikumbuka na kurudi... So wengine Huwa wanafanikiwa na wengine hawafanikiwi kurudi kule walikokataa mwanzo.. Hebu tupange maisha popote tulipo coz itafika Wakati tunapoteza vyote na kutamani hata tulivyoona vidogo na ajira za sasa hivi noma kweli..
Huyo hafai kuajiliwa serikalini mwambie tu aendelee hukohuko
Lawson Ni Nini Kwani
Lawson ni mfumo wa kieletronic ambayo serikali inatumia kutunza kumbukumbu za watumishi,, data za watumishi wote wa serikali ndo zipo humu,,
hakuna cha lawson wala nini watu waneacha kazi serikalini na wakarudi wakaacha wakarudi na check number wanazo still wameaajiriwa na wanalipwa hiii nchii hakuna lisilowezekana huko serikalini