Kurudishwa kwenye Government Payroll

Masimbwe

Member
Feb 2, 2012
27
45
Ndugu wanabodi, niliajiriwa mwaka 2010 Halmashauri fulani lakini sikwenda ,mwaka huu nikaomba ajira nikapata tatizo limetokea kwenye system inaonekana tayari nimeshaajiriwa.

Wakuu naomba msaada wa mawazo yenu na yeyote aliye tayari kunisaidia.
 
dumejike

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
325
195
Hivi si wanasema ukiajiriwa serikalini usipoenda hupati tena nafasi.sa inakuaje we upate ajira
 
Masimbwe

Member
Feb 2, 2012
27
45
Unaweza kupata nafasi lakini tatizo linakuja wanapotuma jina hazina kwa ajili ya malipo system inaonyesha mtu huyo alishaajiriwa
 
Posho City

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
643
250
dah.kurudi payroll shughuli mkuu.ila ukitaka kuweza km vyeti vyako vina majina mawili.tafuta cheti cha kuzaliwa kingne na ubadili initial ya katikati then uombe tena kazi mkuu.

Siku hizi kuna kitu kinaitwa LAWSON ukitumia majina yaleyale ya kwanza hukatizi.
 
Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,450
2,000
hata kama hukwenda kuriport bado wanakubania? nna ndugu yangu alipangwa wilaya moja kusini akaamua kwenda private. sasa hivi anataka kurudi serikalini, itawezekana na sasa hivi miaka mitatu imepita?
 
Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,332

Mkuu njia hii haukatizi hata kidogo kwa sababu nina jamaa yangu kafanya hivyo imeshindikana la msingi ni kuongea na wazee umalize mambo vinginevyo umekwama hapo.
 
Dr Kantangaze

Senior Member
Jul 3, 2014
112
225
dah.kurudi payroll shughuli mkuu.ila ukitaka kuweza km vyeti vyako vina majina mawili.tafuta cheti cha kuzaliwa kingne na ubadili initial ya katikati then uombe tena kazi mkuu.
Siku hizi kuna kitu kinaitwa LAWSON ukitumia majina yaleyale ya kwanza hukatizi.

we KIFUBA kama nakumbuka ulileta tatizo kama la mkuu apo vipi ulifanikiwa kupata mshahara?
 
GOOGLE

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
1,856
2,000
mkuu ebu sena ukweli, hukwenda au ulikwenda na vyeti vyako vikawa scanned na wewe jina lako likawekwa kwenye system na baadaye ukapata cheki # ndo ukaondoka?

other wise siyo kweli huwezi kupangiwa kituo afu usiende then uwe na tatitizo kama hilo,!

Sema kwel watu wakusaidie.
 
thanksme

Senior Member
Jan 30, 2012
130
225
hata kama hukwenda kuriport bado wanakubania? nna ndugu yangu alipangwa wilaya moja kusini akaamua kwenda private. sasa hivi anataka kurudi serikalini, itawezekana na sasa hivi miaka mitatu imepita?
Huyo hafai kuajiliwa serikalini mwambie tu aendelee hukohuko
 
Posho City

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
643
250
Mkuu njia hii haukatizi hata kidogo kwa sababu nina jamaa yangu kafanya hivyo imeshindikana la msingi ni kuongea na wazee umalize mambo vinginevyo umekwama hapo.

Hapana lbda jamaa yako alibadili vibaya.unabadili kabisa.coz katika system mfano JAMES.N ONYANGO NA JAMES K ONYANGO. ni watu wawili tofauti.

Ndo maana sisi walimu darasani madgo wakifananisha majina tunawaambia waweke initials zao ili system ziwapambabue.
Hata hyo LAWSON bdo wanabase kwenye majina na sio details nyingne lkn nasikia wako kwenye harakati wa kutumia both majina na namba za vyeti hapo ndi watakuwa wamemaliza mchezo.

Mimi namshukuru Mungu nimerudi payroll ila nshapewa huo ujanja na watu wengi wamefanikiwa kwa hilo.
 
Acha kutudanganya mkuu huwezi badili jina kirahisi rahisi hivyo na vipi kuhusu vyeti vya elimu kwa sababu ukibadilisha jina cheti kimoja itakuletea matatizo na tayari mnakuwa watu wawili ambao ni JAMES K. ONYANGO na JAMES N. ONYANGO.
 
Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,332
2,000
Mkuu nilivyopangiwa niliingizwa moja kwa moja kwenye system na kupewa check no.ingawa sikuripoti

Bila shaka umeambiwa na mwajiri wako taratibu za kufuata ili urudi kwenye payroll, jaribu kufuatat taratibu hizo vinginevyo ujiandae kuliwa ili uliwe maana ilisharuhusiwa hata na mkuu wa nchi kwamba ukitaka kula sharti uliwe.
 
Posho City

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
643
250
Acha kutudanganya mkuu huwezi badili jina kirahisi rahisi hivyo na vipi kuhusu vyeti vya elimu kwa sababu ukibadilisha jina cheti kimoja itakuletea matatizo na tayari mnakuwa watu wawili ambao ni JAMES K. ONYANGO na JAMES N. ONYANGO.

Mkuu mimi sidanganyi.kumbuka mostly vyeti vya elimu ni majina mawili.mara nyingi vyeti vya kuzaliwa ndo vina majina matatu ambayo ndo yanatumika kuingiza mtu kwenye system.Kwahyo km vyeti vyake vina majina mawili basi yeye anacheza na initial tu.Pale RITA ukienda asbhi saa sita una cheti mkononi provided una dau.
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,785
2,000
Kaka, kuna kisichowezekana bongo? Twiga anapakiwa kwenye ndege na haonekani kwenye camera wala scanner! Ongea kimjini
hata kama hukwenda kuriport bado wanakubania? nna ndugu yangu alipangwa wilaya moja kusini akaamua kwenda private. sasa hivi anataka kurudi serikalini, itawezekana na sasa hivi miaka mitatu imepita?
 
Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,332
2,000
Mkuu mimi sidanganyi.kumbuka mostly vyeti vya elimu ni majina mawili.mara nyingi vyeti vya kuzaliwa ndo vina majina matatu ambayo ndo yanatumika kuingiza mtu kwenye system.Kwahyo km vyeti vyake vina majina mawili basi yeye anacheza na initial tu.Pale RITA ukienda asbhi saa sita una cheti mkononi provided una dau.

Na vipi kama una majina matatu vyeti vya shule hii system haiangalii tu majina bali mambo mengi coz majina yanafanana sana.
 
CHAZA

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
7,642

Ila vyeti vya degree ni majina matatu,hapo shughuli inaanzia
 
Posho City

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
643
250
Na vipi kama una majina matatu vyeti vya shule hii system haiangalii tu majina bali mambo mengi coz majina yanafanana sana.

Hebu niweke sawa.kama vyeti vya elimu vina majina matatu hapo huna jinsi.Pia hii system wanafatilia data nyingine iwapo wakiingiza jina litaonekana kushaabiina na jina jingine kwenye system.
Kuna mahali system huwa inauliza IS THIS NAME X SAME TO NAME Y?.Sasa system ikishauliza hvo inabdi maafsa utumishi wafatilie data nyingne na wakikuta nazo zinafanana basi wewe unawekwa kwenye blacklist ya wanaofoji data.
Lakini kama system haijaulizia ufanano wa majina basi data nyingne sio rahisi kuleta shida.Kumbuka hakuna uwezekano wa majina yote matatu kufanana ndo maana wanalazimisha uandike matatu.
Hayo niliambiwa na afsa utumishi wa shirika fulani la umma ambako mm mwenyewe nilipata kazi lkn nikakumbwa na tatzo hilohilo ikabdi nirudi halmashauri yangu na mwezi jana ndo nimerudi payroll.Ndo maana nina uzoefu kidogo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom