kipusi
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 443
- 75
Kudisc sio tatizo bro ukwili n kuwa nilipelekwa st joseph kutokana na ufumo mbovu wa tcu
Nikaamua kuacha
ili kuwaje uliacha kijana?? tatzo nn st.joseph baada ya kupelekwa na TCU
Kudisc sio tatizo bro ukwili n kuwa nilipelekwa st joseph kutokana na ufumo mbovu wa tcu
Nikaamua kuacha
Mkuu kama ni kweli elezea ulifanya maana tumezungukwa na watu wenye matatizo kama hayo ya loans boardmm nimepata zaid ya mara mbili bila kulipa
Mkuu kama ni kweli elezea ulifanya maana tumezungukwa na watu wenye matatizo kama hayo ya loans board
Kama amesoma hkl je sio mnalaumu tu hajafanya bam a level mnadhani kila mtu kafanya bam pumbavu wote mlioponda hii thread
Ujinga gani sasa na wewe yani Tanzania bwana mnaamini msomi anajua kila kitu kitu ambacho sio kweli hata kidogoFicha ujinga wako.
nimekupenda, unajua kukea!662,250 haya karudishe hiyo
asante sananimekupenda, unajua kukea!
Umefanya la maana sana bora ukasome hata diploma ya afya au yeyote tofauti na education kuliko st JosephNishaondoka st Joseph muda
Umefanya la maana sana bora ukasome hata diploma ya afya au yeyote tofauti na education kuliko st Joseph
Kuna mshikaji wangu ana 2 ya 10 pale 3rd year alijaza ma pharmacy na medicine akaachwa kutokana na competitionNi kweli ndg ila kuna watu humu tukizungumzia matatizo ya st Joseph wanaihisi km cc tumeshinda kusoma au ni vilaza ila ukweli tunaujua cc tuliopitia pale st Joseph
Hukuwa na haja ya kuwaita wachangiaji wengine wapumbavu. Ni hilo tuUjinga gani sasa na wewe yani Tanzania bwana mnaamini msomi anajua kila kitu kitu ambacho sio kweli hata kidogo
We unaona wapo sahihi mtu kauliza mjibu kama hujui kaa kimya watu wanatofautiana tumetoka katika mazingira tofauti sasa matusi yote ya nini rest in eternal peace Tanzania kwa ujinga huuHukuwa na haja ya kuwaita wachangiaji wengine wapumbavu. Ni hilo tu
Hesabu za darasa la tano nazo zinahitaji mtu kusoma BAM A'level...?Kama amesoma hkl je sio mnalaumu tu hajafanya bam a level mnadhani kila mtu kafanya bam pumbavu wote mlioponda hii thread