kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
unasoma chuo gan pwiloSt Joseph ya dar wapo vizuri sana engineering kwa kweli ila courses nyingine zoote zinazotolewa na st Joseph ni majanga kwanza hawana mitaala pili ada kubwa kitu kinachowafanya wanafunzi wengi kuacha ila ya dar ki academic ina nafuu maana ndo main campus ila hizo branch zao nyingine zoote ni uozo tu na utapeli wale jamaa kama kiu
Sijui nana anavisajilo hivi vyuo?? Maana ni aibu