Kurudisha 25% ya mkopo HESLB

Kurudisha 25% ya mkopo HESLB

Sio kama hajui hisabati, mi nadhani ameuliza kama kuna mtu mwenye uelewa kuhusu jinsi ya kurudisha mikopo kwa "kesi" kama yake.
 
Wanafunzi mnaosoma st Joseph zote Tanzania hasa ya arusha nawapa pole sana maana hamna tofauti na wafungwa nyinyi @fagix na wenzako ondokeni haraka hapo

Mkuu vp St. Joseph Dar? Mbona nasikia ndio Chuo bora kinachotoa kozi za Engineering hasa katika masomo ya Computer?

Na mfumo wao wa ufundishaji ni wa hali ya juu?

Pia ukikuta Lecturer ameingia class hurusiwi kuingia na ukikosa vipindi vitatu katika somo lolote hurusiwi kufanya Mtihani wa somo hilo?

Kutokana na mazingira ya ufundishaji wa Chuo hicho imefikia hatua wanakiita Seminari kwani kwa Wanafunzi wanaopenda Luxury hua wanapakimbia.
 
Engineering wapo vizr ila faculty nyingine
Ni hovyooo kabisa
 
st Joseph wapo vizur sana academically ...maswala ya pesa tu ndi huwa yanaleta utata mkubwa
 
Ni kweli ndg ila kuna watu humu tukizungumzia matatizo ya st Joseph wanaihisi km cc tumeshinda kusoma au ni vilaza ila ukweli tunaujua cc tuliopitia pale st Joseph
St Joseph ipi unaizungumzia?.

Kama unazungumzia hiyo iliyopo Mbezi Ruguruni sio kweli.Wewe utakuwa uliona ada kubwa ukakimbia,lakini sio masomo na ufindishaji.
 
st Joseph wapo vizur sana academically ...maswala ya pesa tu ndi huwa yanaleta utata mkubwa
Watu wanaponda hicho chuo niwatu ambao tulio shindwa kulipa ada.Tunatafuta sababu ambazo hazina msingi.

Kama una pesa Joseph ya Dar sio mchezo hasa engineering.

Wengine ada ilitushinda tukaamua tujiajili.
 
Umefanya la maana sana bora ukasome hata diploma ya afya au yeyote tofauti na education kuliko st Joseph
Kama huna pesa yakulipia bora ukafanye hayo unayoyasema.

Kama ni St joseph ya dar inayotoa course za engineering,huo utakuwa uongo.

Wengine ada ilitushinda ndio tukaona tukikimbie hicho chuo.
 
Mkuu vp St. Joseph Dar? Mbona nasikia ndio Chuo bora kinachotoa kozi za Engineering hasa katika masomo ya Computer?

Na mfumo wao wa ufundishaji ni wa hali ya juu?

Pia ukikuta Lecturer ameingia class hurusiwi kuingia na ukikosa vipindi vitatu katika somo lolote hurusiwi kufanya Mtihani wa somo hilo?

Kutokana na mazingira ya ufundishaji wa Chuo hicho imefikia hatua wanakiita Seminari kwani kwa Wanafunzi wanaopenda Luxury hua wanapakimbia.
St Joseph ya dar wapo vizuri sana engineering kwa kweli ila courses nyingine zoote zinazotolewa na st Joseph ni majanga kwanza hawana mitaala pili ada kubwa kitu kinachowafanya wanafunzi wengi kuacha ila ya dar ki academic ina nafuu maana ndo main campus ila hizo branch zao nyingine zoote ni uozo tu na utapeli wale jamaa kama kiu
Sijui nana anavisajilo hivi vyuo?? Maana ni aibu
 
Kama huna pesa yakulipia bora ukafanye hayo unayoyasema.

Kama ni St joseph ya dar inayotoa course za engineering,huo utakuwa uongo.

Wengine ada ilitushinda ndio tukaona tukikimbie hicho chuo.
Mkuu wahindi ni wanyanyasaji sana maisha wanayoishi wanafunzi wa st Joseph hayana tofauti na chekechea aisee ni taabu na shida yani
 
Ingawa some how wahindi niwanyanyasaji lakini wanawajenga wanafunzi vema.

Maisha anayoishi mwanafunzi wa st joe awapo chuoni.Ni sawa na maisha ambayo huishi wafanyakazi walioajiriwa katika sekta binafsi.

Kama unataka elimu nzuri ya engineering nenda St Joseph,lakini kama ni mwezangu na mimi ada huiwezi basi kaa kwenye chuo ambacho unahisi utakiumudu gharama zake.
 
Kama huna pesa yakulipia bora ukafanye hayo unayoyasema.

Kama ni St joseph ya dar inayotoa course za engineering,huo utakuwa uongo.

Wengine ada ilitushinda ndio tukaona tukikimbie hicho chuo.
ni kweli ada na michango ya pale ndo tatizo...lakin ukiwa unakimbia ukumbuke 'the cheap are expensive'
 
Huoni Hata aibu kuuliza swali hilo,hizo ni hesabu za darasa la nne,kama umeshindwa mtafute mwanafunzi wa la NNE akusaidie,Mambo ya aibu,ajabu unasomea nn usijue Haya hesabu za kutafuta asilimia,kwa kweli kwa hili,nitashangaa milele
Samahani kama nimekutia aibu.
 
St Joseph ya dar wapo vizuri sana engineering kwa kweli ila courses nyingine zoote zinazotolewa na st Joseph ni majanga kwanza hawana mitaala pili ada kubwa kitu kinachowafanya wanafunzi wengi kuacha ila ya dar ki academic ina nafuu maana ndo main campus ila hizo branch zao nyingine zoote ni uozo tu na utapeli wale jamaa kama kiu
Sijui nana anavisajilo hivi vyuo?? Maana ni aibu

Nakubaliana na wewe nina mdogo wangu amepangiwa pale, pamoja na kua amepata zaidi ya 90% ya Mkopo tumelipa kama Million moja ili kupata Usajili ila amenambia hicho Chuo wako vizuri na Product za pale huwezi wakuta wanasota mtaani kwani hata Field zao wanapelekwa kwenye Kampuni za kueleweka kutokana na Kozi unayosoma.

Na alinambia gharama za Ada ziko juu kutokana pia na vifaa wanayotumia kwenye Maabara yao ya Kompyuta kwani wana vifaa vya kisasa na kutosheleza mahitaji ya wanafunzi wote wawapo Maabara.

Pia kwa baadhi Wanafunzi wanaofanya vizuri Mwaka wa mwisho wa masomo hupelekwa India kumalizia huko Masomo yao.
 
Ingawa some how wahindi niwanyanyasaji lakini wanawajenga wanafunzi vema.

Maisha anayoishi mwanafunzi wa st joe awapo chuoni.Ni sawa na maisha ambayo huishi wafanyakazi walioajiriwa katika sekta binafsi.

Kama unataka elimu nzuri ya engineering nenda St Joseph,lakini kama ni mwezangu na mimi ada huiwezi basi kaa kwenye chuo ambacho unahisi utakiumudu gharama zake.

Na
 
Duh, yaani hujui jinsi ya kupata 25% ya hiyo pesa?

R.I.P Elimu ya bongo
 
Na nini tena mkuu?.

Sory Mkuu nilikua nakuqoute ila bahati mbaya nikajikuta nimereply bila kukamilisha Ujumbe wangu baada ya hapo sijaingia tena Jukwaani mpaka sasa kwani leo Internet ya Airtel ilikua inazingua.

Ni kua nakubaliana na wewe kwani kuna mdogo wangu anasoma hapo St. Joseph Dar ananiambia pamoja na kua Ada yao ili juu ila ni Chuo ambacho kiko vizuri kuanzia kwa Ma Lecture mpaka vifaa vya Maabara ya Kompyuta kwani wana vifaa vya kisasa na kutosha kifundishia.

Pia Wanafunzi wanaohitimu pale ni mali sana kwenye soko la ajira na ni mara chache kumkuta mhitimu toka pale anasota mtaani.

Na upande wa Field Chuo huwatafutia/huwapeleka Wanafunzi wao kwenye Kampuni za maana kutokana na Kozi anayosoma pia wana utaratibu kwa Wanafunzi wanaofanya vizuri hupelekwa kumalizia masomo yao Nchini India.

Mi ushauri wangu kwao waboreshe Campus zao zingine hasa zinazolalamikiwa ziwe na kiwango cha hiyo Campus ya Dar.
 
Back
Top Bottom