Habara waKUU , mimi nna ndugu yangu aliacha chuo kwasababu ya mitaala mibovu chuo hapo.
Sasa ili apate mkopo mwingine anatakiwa alipe 25%.
Swali langu,mwezi MAY ndo apllication zinaanza,je,anaweza kuapply hata kama atakuwa anadaiwa kiasi kidogo cha kumalizia malipo ya 25%?
Najua hataweza hufikisha kiasi chote anachodaiwa had huo mwezi ndo maana nauliza
Asanteni

Habara wakuu,
Mimi nna ndugu yangu aliacha chuo kwasababu ya mitaala mibovu chuo hapo.Sasa ili apate mkopo mwingine anatakiwa alipe 25%.
Swali langu,mwezi May ndo apllication zinaanza, je, anaweza kuapply hata kama atakuwa anadaiwa kiasi kidogo cha kumalizia malipo ya 25%?
Najua hataweza hufikisha kiasi chote anachodaiwa had huo mwezi ndo maana nauliza
Asanteni
kweli haku disco huyo!!??? mh haya kwa huu mfumo mpya wa serikali atapata tu