Ni kusifu na kuabudu tu cv tosha pia Kinga ya utumbuzi na jela.nishaanza kuamini
Ishu si sifa ishu unatumia vipi mda wako kusifu na kuabudu hata wwe ukiongeza bidii atatumbuliwa mwingine utapewatoka nimezaliwa sijawahi kusikia popote duniani eti waziri wa katiba na sheria ambaye hana elimu ya sheria...haya ni maajabu duniani!.
kwa uelewa wangu mdg, baadhi ya wizara ni lazima waziri awe na taaluma husika
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wote wajuaji wenye kujiona Wana akili na wanajua kuliko kuliko wote ndivo huwaAnataka ku prove kwamba hisia zetu zipo sahihi “ reasoning yake inatia shaka”
Ni watanzania wenye akili zetu ndio hatulali tatizo lumumba kila mnapoambiwa udhaifu wenu mnakimbilia ufipa kumbukeni wasio kwenye hivi Vyama vyenu wapo wengi tu,Simbachawene hakuondolewa kuwa na kimbukumbu
Nchemba kichwa chake kipo vizuri naona leo ufipa hamlali mnalialia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi mnaosapoti jiwe ni mangosha kwa kuwa mpo kwenye timu bashite. Mnatia aibu sana nchi hii mambo yenu ya kienyeji yanajulikana ni swala la muda tu. Nchi sasa inaongozwa king’ombe ng’ombe kabisa.Simbachawene hakuondolewa kuwa na kimbukumbu
Nchemba kichwa chake kipo vizuri naona leo ufipa hamlali mnalialia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chodomo mmepata pa kusemea. Tatizo lenu huwanasubiri hadi watawala wafanye kitu ndo muanze kuropoka.Yaani ukitaka kujua namna Jiwe "anavyochemka" katika teuzi zake ni huu wa Mwigulu!
Hakuna kiongozi ambaye ni kigeugeu, ambaye Taifa hili limepata kuwa naye kama Jiwe!
Hivi Mkuu wa nchi unawezaaje kutokea mbele ya hadhara na kuanza kumponda mteule wako kwa kashfa chungu mzima, kama alivyofanya kwa Mwigulu??
Haijapita hata miaka 2 unamrejesha yule yule uliyemuona takataka hapo siku za nyuma!
Huo ni ushahidi tosha kabisa kuwa kumbe kashfa zote ulizotoa wakati ule ilikuwa majungu!
Hivi kweli hakuna wananchi wengine ambao wako competent kushika nyazifa hizo??
Atakuwa aliwapeleka chuo, na sasa wamehitimu vizuri amewarudishaKama tunavyokumbuka, wakati mawaziri hawa wakiondolewa walikuwa branded kama "wazembe" na walikuwa almost criminalized na mamlaka ya uteuzi.
Mamlaka ya uteuzi imefanya u-turn na kuwarejesha kwenye cabinet with pomp.
Maswali ni mengi kwa kweli. Sina uhakika kama majibu yapo ya kutosha.
Jee, walipoondolewa walikuwa wametolewa kama mbuzi wa kafara tu kuficha udhaifu wa watu wengine kwa wakati ule au tuhuma zile zilikuwa ni za kweli? Kama tuhuma zilikuwa ni za kweli, inakuwaje wamerejeshwa kwenye baraza kabla ya tuhuma dhidi yao hazijawa cleared? Soma Rais Magufuli aeleza sababu 13 za kumfukuza kazi Mwigulu Nchemba - JamiiForums
Sasa wananchi tujue kipi kuhusu kiini cha tatizo....ni mamlaka ya uteuzi au wateuliwa wenyewe?
Jee, tatizo ni bulb au holder kama huyu mdau wa Twitter alivyouliza?
Mkuu,Ccm mnapata taabu sana juzi tu Mwigulu mnamuona takataka leo lazima msifie tena duh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo sababu zilizoandikwa na wanaufipaMagufuli alitaja sababu 13 za kumng'oa Mwigulu ( uzi upo jf ) lakini leo kabwia matapishi yake !
Ilikuwa half timeMwigulu ni mchapakazi ni kwamba alipumzishwa tu na kazi inaendelea
Na wewe tetea tuoneDuh kwa mwigulu kachemka. Labda kwa vile alimtetea ile juzi kwa kujificha chato kipindi hiki cha corona
Inasemekana alielenda kwa sangoma akaeekezwa ya kufanya. Ccm ndiyo zao hizo.Speech yake ya bungeni ndio iliyomrudisha
Nyie mnaudhaifu gani hapo mnapodaiwa pangoNi watanzania wenye akili zetu ndio hatulali tatizo lumumba kila mnapoambiwa udhaifu wenu mnakimbilia ufipa kumbukeni wasio kwenye hivi Vyama vyenu wapo wengi tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni wiring yote. Dawa ni kufumua yote kuanzia kwenye main switchKama tunavyokumbuka, wakati mawaziri hawa wakiondolewa walikuwa branded kama "wazembe" na walikuwa almost criminalized na mamlaka ya uteuzi.