Kura: Zilipendwa vs Seduce me

Kura: Zilipendwa vs Seduce me

PIGA KURA: ZILIPENDWA V/S SEDUCE ME


  • Total voters
    118
Bro, labda wewe hujui.
Kuna kitu kinaitwa muziki bora na kingine kinaitwa bora muziki.

Unajua kwanini nyimbo za Celine Dion, west life na wengine wa nje nyimbo zao ukizikiliza leo huwezi kuzichoka?

Jiulize kwanini nyimbo za Mr nice hazipo na watu hawawezi kuzikiliza japo kwa wakati ule zilionekana bora kwa ujanja unoona bora kwako???

Nimekupa home work
brother karne hiyo ishapita sasa hivi muziki biashhara ndicho mnachoshindwa kutofautisha Diamond au Kiba hakuna hata mmoja hivi sasa anayetoa muziki mzuri,hiyo nyimbo ya Kiba baada ya mwezi utaona ya kawaida tuu hutakua interested kama leo kuisikiliza.kinachomshinda alikiba hawezi biashara wakati diamond ndo uwanja wake,na hapo ndipo utaonA diamond ni best kuliko kiba.

hata huko mbele hakuna wa kumfananisha na celine dion alikuja Adele wakadhani ndo mrithi wake lakini wapi hamna kitu,kumbe muziki huu wa sasa sio ule wa kipindi hiko unaimba kwa passion hiki ni kipindi cha kuimba kibiashara watu/soko linataka nini,hapo ndipo Diamond anampiga chini Alikiba kila siku.
 
Kwangu ni kati ya nyimbo mbaya kuwahi kutolewa na wote hao.....





Usiniache Mo music ft Barakah ndio nyimbo yangu bora kabisa katika kipindi cha hivi karibuni....

Ai kotoni ende mai kondisheni...
 
Sio mpenzi sana wa hawa mabwana wawili; Lakini kwangu naona nyimbo ya Kiba ni nzuri na itaishi kwa muda mrefu sana. Ogopa sana nyimbo ambayo ukiisikiliza mara ya kwanza unakuwa kama uielewi elewi kama nzuri au mbaya mpk uisikilize mara mbili tatu ndio unaielewa. Nyimbo ya WCB sio mbaya lakini nafikiri hiyo ya Kiba ni bora Zaidi lakini ina maisha marefu Zaidi na kuna ubunifu mwingi sana
 
Na majina mapya Kila mmoja amenipa,
Wananiita KIPUSA,
Oooh pasua kichwa,
[HASHTAG]#king[/HASHTAG] kiba katisha bonge la song
 
1m views VEVO within 38hrs tangu iachiliwe.,,
Kwa afrika mashariki Alikiba amekuwa ni msanii wa kwanza kufikisha views million moja ndani ya siku moja!,,!(VEVO)

Ikumbukwe,Diamond haweki nyimbo zake VEVO tena!,,sahivi akiachia ngoma anaweka kne acc ya kawaida ya YouTube!!,japo (mondi)alipoingia VEVO hapakutosha!!

Nafikiri huu wimbo wa Seduce me ulichukuliwa poa mwanzoni sana!,,!let's watch and see!!!
 
Mimi ni Team WCB lakini nyimbo zote ninazo ukweli uko wazi kiba kajitahidi kidogo ila kwa hawa jamaa bado wako mbali sana hawezi kucompete nao hata kidogo nyimbo ni nzuri kwa upande wake lakini kamwe haiwezi ikaishinda ya WCB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaburudika kwa kuwa unawapenda wcb sikatai. Hata mm naburudika nao. Ila sio wa kuufananisha na wimbo wa mtu aliyeumiza kichwa.

Nitakupa mfano wa nyimbo ya timbulo ambayo iliingia kwenye kuahindania tuzo.

Jamaa alikosa tuzo kwakua tu, nyimbo inafanana kidogo na nyimbo ya msanii wa nje.

Kama wameitoa tuisikilize gheto, haina shaka. Ila kama wameitoa ili tuone wanaumiza vichwa, kwangu hapana.

Nataka kusikiliza maudhui tofauti na niliyowahi kuyasikia. Hivyo ndivyo sanaa inavyokua

Sent using Jamii Forums mobile app
walifikiri itabamba kama salome

Akifa shekhe kazi ya Mungu
Akifa mlevi sababu ya Pombe
 
Back
Top Bottom