Kura: Zilipendwa vs Seduce me

Kura: Zilipendwa vs Seduce me

PIGA KURA: ZILIPENDWA V/S SEDUCE ME

  • Total voters
    118
IMG_20170826_001729_457.jpg

GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
 
WCB wametoa nyimbo kibao tuu wakati Alikiba akiwa kimya akifanya tour zake, huu ni mwendelezo tuu wa WCB kutoa single zake ilizonazo tusichukulie sana katika fikra za kushindana shindana japo ushindani upo...
na WCB wanaonyesha kuwa bado wanahifadhi kubwa ya nyimbo ndani ya kapu lao la kuweza kutoa muda wowote fans wao wakitaka watoe...
Nyimbo za kucopy idea?

Nasubiri copy ya nyimbo za nature sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipusaaa hafikii hata robo ya zilipendwaaa...!! Mtu mpaka uchanwee ndo utoee nyimboo... Afuu kipusa kimojaaaa...dadekiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwel. Simba Mara baada ya kuskia kuna ngima inakuja (KIPUSA) Akashtuka that's why akamdiss TEMBO . tatizo anatafuta pakutokea baada ya chokochoko lake kumtokea puani... Jikumbushe kipindi KIBA na OMMY walivyoitambulisha nyimbo yao alaf WCB wakafanyaje Siku chache baadae?

GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
 
hii ni sanaa brother.....wape kitu watu wanapenda tupo tuliopenda nyimbo tunaburudika [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]
Unaburudika kwa kuwa unawapenda wcb sikatai. Hata mm naburudika nao. Ila sio wa kuufananisha na wimbo wa mtu aliyeumiza kichwa.

Nitakupa mfano wa nyimbo ya timbulo ambayo iliingia kwenye kuahindania tuzo.

Jamaa alikosa tuzo kwakua tu, nyimbo inafanana kidogo na nyimbo ya msanii wa nje.

Kama wameitoa tuisikilize gheto, haina shaka. Ila kama wameitoa ili tuone wanaumiza vichwa, kwangu hapana.

Nataka kusikiliza maudhui tofauti na niliyowahi kuyasikia. Hivyo ndivyo sanaa inavyokua

sawa ndugu umesikika [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG] nyimbo ya timbulo sio inafanana kidogo yule alikopi almost kila kitu......
 
sawa ndugu umesikika [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG] nyimbo ya timbulo sio inafanana kidogo yule alikopi almost kila kitu......
Poa mkuu. Ila zilipendwa ni copy ya matonya. Asingeweza kuimba kila kitu sawa. Huo ndio unaoitwa ujanja ujanja
 
Jombaa umekosea ungefanya hivi
Fire,I miss u,Eneka,Zilipendwa Vs Seduce Me hapo ndipo utajua kwa nini King wanamwita PASUA KICHWA
 
Ningependa mond aachie wimbo alioimba pekeyake lkn kwa zilipendwa naona km amebebwa tu
 
Poa mkuu. Ila zilipendwa ni copy ya matonya. Asingeweza kuimba kila kitu sawa. Huo ndio unaoitwa ujanja ujanja
unaweza ukasema hivyoo ila nyimbo kibao tuu zinafanana siku hizi kwangu sioni ajabu na muziki wa sasa kama sio mjanja huwezi kutoka kwahiyo kama WCB wajanja pongezi kwao ndomana wanatusua zaidi ya Alikiba...
mtu kama alikiba leo sio wakufananishwa na diamond alikiba tungekua tunamwita legend wa muziki lakini kwakuwa yeye hakuwa mjanja mpaka wenzake wakina AY wanamuacha mbali ndomana leo anafikia kucompete na domo mtoto wa juzi kabisa katika muziki
 
I pick seduce me by alikiba,,kuna ladha Fulani ya miondoko ya kale pale mwishoni,,,pamenoga sana!!!!

Wazo langu;
Hatakama wcb walikuwa wana mpango wa kutoa ngoma Leo wamefanya kosa la kiufundi kubwa sana.
Idea ya kutoa wimbo wenye wasanii wote wa wcb while mpinzani wao mkubwa alikiba yuko mwenyewe imeleta picha ya kutaka kuizima seduce me.Nakumbuka Aje ya Alikiba ilipotoka ,,wcb waliachia kijuso muda mfupi baadae(huwezi sema waliitoa kwa coincidence!!!)

Sasa ni ngumu kusema kuwa wcb hawashindani na kiba.
Of makosa ya kiufundi ni kutoa wimbo kwenye watu karibia 7 ili kuizima Seduce me(
 
Sisi wenye umri wetu tunaruhusiwa kuchagua?

Maana majibizano yenu yamenifanya nizisikilize hizi nyimbo mbili.

Tofauti ni kubwa sana kwa sisi wahenga. Sijui kwanini mnataka kujua ipi nzuri wakati hakuna vya kupambanisha...

Au ni swala la ushabiki?

Kwa uhalisia nimeikubali zilipendwa... big up diamond? Au Kiba?

Kwa muziki kwa maana ya melody ilivokaa njema... seduce me ni kiwango cha kimataifa... big up diamond? Kiba?

Sipendi mambo yenu ya ushabiki. Ingekuwa msondo/sikinde..... weeee Sikinde hata iimbe maharage itabakia kuwa super kama Simba Sports Club.. ofkoz na Liverpool...
 
Back
Top Bottom