Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Vumilieni maana mama yenu ndo kashaliwa.....YalaaaaahhhhhhhKundi la watu 7 linapoungana kumshambulia Mtu mmoja na bado wakapingwa vibaya.
Vumilieni tu maana mama enu ndo kishaliwa.
Achana na kiba moto wa kuotea mbali huo usipime.Weka kura yako hapo juu na matokeo yanaonekana live:
Hatua
1.Chagua ngoma unayoikubali
2. "Cast your Vote" kuweka kura yako
View attachment 575063
Chibu DWeka kura yako hapo juu na matokeo yanaonekana live:
Hatua
1.Chagua ngoma unayoikubali
2. "Cast your Vote" kuweka kura yako
View attachment 575063
Bro, labda wewe hujui.unaweza ukasema hivyoo ila nyimbo kibao tuu zinafanana siku hizi kwangu sioni ajabu na muziki wa sasa kama sio mjanja huwezi kutoka kwahiyo kama WCB wajanja pongezi kwao ndomana wanatusua zaidi ya Alikiba...
mtu kama alikiba leo sio wakufananishwa na diamond alikiba tungekua tunamwita legend wa muziki lakini kwakuwa yeye hakuwa mjanja mpaka wenzake wakina AY wanamuacha mbali ndomana leo anafikia kucompete na domo mtoto wa juzi kabisa katika muziki