Kura: Zilipendwa vs Seduce me

Kura: Zilipendwa vs Seduce me

PIGA KURA: ZILIPENDWA V/S SEDUCE ME


  • Total voters
    118
Sisi wenye umri wetu tunaruhusiwa kuchagua?

Maana majibizano yenu yamenifanya nizisikilize hizi nyimbo mbili.

Tofauti ni kubwa sana kwa sisi wahenga. Sijui kwanini mnataka kujua ipi nzuri wakati hakuna vya kupambanisha...

Au ni swala la ushabiki?

Kwa uhalisia nimeikubali zilipendwa... big up diamond? Au Kiba?

Kwa muziki kwa maana ya melody ilivokaa njema... seduce me ni kiwango cha kimataifa... big up diamond? Kiba?

Sipendi mambo yenu ya ushabiki. Ingekuwa msondo/sikinde..... weeee Sikinde hata iimbe maharage itabakia kuwa super kama Simba Sports Club.. ofkoz na Liverpool...
Babu tulia, na wewe [HASHTAG]#zilipendwa[/HASHTAG]
Haya mambo ya vijana
 
Kiukweli nafaham mziki na technicalities zake.... Isingekuwa mambo ya kilichotokea lakini bado pia...Zilipendwa ngoma Kali sana...hiyo ya Ali Kiba mfyuu
Najua mi muandishi mkubwa sana lakini.mambo ya kujifananisha yanampoteza ...sio.wimbo Wa Alikba ule

carnte himself
 
Vipi tena ile ya kusema vita haichagui silaha imeishia wapi?!

By the way nyimbo zote mbili ni kali sana
Muongo ule Wa Kiba...sio Kiba naemfahamu Mimi wimbo mbaya

carnte himself
 
Tulieni dawa iwaingie....alikiba kachapa bakora na imewaingia sawasawa
Labda bakora ya matusi ila kimuzik Mmmh...siamini kama kweli kaishiwa...mi siko team ...wimbo kama makimuga nk...bado anadhihirisha kufilisika aache kushindana

carnte himself
 
Zilipendwa

"ukijijua mchochezi...andaa mkojo"
 
Labda bakora ya matusi ila kimuzik Mmmh...siamini kama kweli kaishiwa...mi siko team ...wimbo kama makimuga nk...bado anadhihirisha kufilisika aache kushindana

carnte himself
Bakora zimeingia....chapa hapohapo ali waendelee kuweweseka
 
Vipi tena ile ya kusema vita haichagui silaha imeishia wapi?!

By the way nyimbo zote mbili ni kali sana
Hah hah hii ni sawa na barcelona walalamike kuwa kikosi chao majina makubwa ni messi na suarez tu ndo maana wamefungwa na madrid wenye ronaldo,modric,bale,casemiro,isco,benzima nk...
 
Back
Top Bottom