Mkuu we mchawi au?
Uliweza kuzisoma kura za hapana ndani ya boksi?......
Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU.

bosnia nilikuwa wakati najiunga na jf.
Niite jina lolote, tumehujumiwa. Tutaikumbuka novemba.
What goes around, comes around. Dhabi ya wizi inawatafuna..! May God bless it mpaka mmalizaneWana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU.
Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU.
Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU.
Hogwash...rudi ndani ujumuike na wenzako kuimba 'nambari wani eeeeh...'
Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU.
kumbe ndo kazi yako humu kufuatilia watu walipo eeeh nyie usalama wa nape na ccm hivi huwa mnajua kuwa wanawatumia kama condom tu
Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU.
Sasa na nyie ccm mtatuchosha jamani,ebu tuacheni tupumue kila siku mnatamba mwenyekiti jembe leo tena mnampambanisha na kivuli eti kivuli kipate kura 528! Si kumzalilisha huku baba mwanaasha?