Kura Zetu 528 za "HAPANA" Zimeenda Wapi?

uwe ni CCM kweli au CDM!Uliyoandika ni unafiki!kura za siri hiuwezi kuizjua idadi ya za hapana!majibu haya nadhani hutayapenda
 
Fata taratibu za vikao vya ndani vya chama.
Habari za umbea hatuzihitaji.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Inawezekana ikawa ni mapema mno kwa hizi habari kutoka, lakini mavi ya kale hayanuki...
habari kutoka mle 'chumbani' zinasema kuwa Ndg HAPANA alipata kura zaidi ya 600, lakini kwa sababu hakuthubutu kupeleka mwangalizi, ikabidi 'tume' ifute aibu kwa kupika matokeo. Sio mda mrefu sana, but uhakika wa hili jambo utafunuliwa hapa jamvini...

Kwaherini
 
Sasa inasaidia nini kutuambia sasa!kwani si alishatangazwa na ameshinda peleka hizi tuhuma hukohuko CCM wazifanyie kazi ala!ebu tuongee mambo ya maana ya kujenga nchi sasa.
 
Hao 528 una uhakika gani kuwa pesa iliwafikia?Kenge wote nyie mnaojaribu kukanyaga haki za watu kwa kisingizio cha demokrasia!hizo kura za hapana zingesaidia kitu gani?kama una mtazamo tofauti acha unafiki jitokeze na usimamie yale unayoamini hata kama utapata hasara!Msichezee akili ya watanzania.
 
Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU.

Wewe ni mmoja wa wale maruhani mliokuwa mnahofiwa?
hiyo kwa kikoloni tutaiita the last kick of die'ng Horse
 
Uongo mtupu, location? Bosnia upo Dodoma.

Kwi kwi kwi kwi teh teh teh teh!

Wewe kweli Zomba Jina limekusibu, mleta mada hata kama yupo mwezini na kuleta mada inamana kuna mawasiliano baina yake na wengine. (Those who mind don't matter, and those who matter don't mind)
 
JK kapiga vita rushwa uwt, nec na uvccm lakini ikija kwenye ishu yake ya kuchaguliwa amekaa kimya..mbona hajalalamika rushwa kwenye uchaguzi uliomhusu yeye? he's a HYPOCRITE big time
 
Mkuu, mbona mie ninamuona JK poa tu. Kupendwa na wawakilishi 1500 hivi ni rahisi sanai, hasa baada ya speech nzuri. Yule jamaa kura yake ni kati ya zile mbili zilizomkataa jk
Watu wa ccm mmejaa ghiriba,chuki na wizi mkubwa.Wewe kwanza umejuaje kwamba waliopiga kura za hapana ni 528? Binafsi kwa matokeo yaliyotangazwa nawaona wanaccm ni wanafiki wakubwa na wengi hawatumii vichwa vyao kufanya maamuzi.Hivi ni kweli J.K amekisimamia chama vizuri kiasi cha kukubalika kwa kura zote hizo au ndo muendelezo wa kubaka tafsiri ya utawala bora ndani ya ccm? Kama amekubalika kwa kiwango hicho,napata shida kujua kama mtendaji mzuri ndani ya ccm anatakiwa awe na sifa gani!
 
Mkuu, wewe kura yako mbona ilihesabiwa? Ni kati ya zile mbili za hapana, nyingine ni ya mwenzako.
Watu wa ccm mmejaa ghiriba,chuki na wizi mkubwa.Wewe kwanza umejuaje kwamba waliopiga kura za hapana ni 528? Binafsi kwa matokeo yaliyotangazwa nawaona wanaccm ni wanafiki wakubwa na wengi hawatumii vichwa vyao kufanya maamuzi.Hivi ni kweli J.K amekisimamia chama vizuri kiasi cha kukubalika kwa kura zote hizo au ndo muendelezo wa kubaka tafsiri ya utawala bora ndani ya ccm? Kama amekubalika kwa kiwango hicho,napata shida kujua kama mtendaji mzuri ndani ya ccm anatakiwa awe na sifa gani!

Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU.
 
Wewe kweli Zomba Jina limekusibu, mleta mada hata kama yupo mwezini na kuleta mada inamana kuna mawasiliano baina yake na wengine. (Those who mind don't matter, and those who matter don't mind)

Unatazama na mada yenyewe, aliambiwa au anajidai katoka nje ya ukumbi? soma vizuri, ndio wale-wale, hamsomi mnakurupuka tu.
 
Watu wa ccm mmejaa ghiriba,chuki na wizi mkubwa.Wewe kwanza umejuaje kwamba waliopiga kura za hapana ni 528? Binafsi kwa matokeo yaliyotangazwa nawaona wanaccm ni wanafiki wakubwa na wengi hawatumii vichwa vyao kufanya maamuzi.Hivi ni kweli J.K amekisimamia chama vizuri kiasi cha kukubalika kwa kura zote hizo au ndo muendelezo wa kubaka tafsiri ya utawala bora ndani ya ccm? Kama amekubalika kwa kiwango hicho,napata shida kujua kama mtendaji mzuri ndani ya ccm anatakiwa awe na sifa gani!

matukio kama haya,yanakuja na maswali mengi kuliko majibu,demokrasia kama ya kulazimishana vile,lazima umchague fulani,kuna uwezekano jk kapata kura zote hizo sio kwasababu anakubalika sana,la hasha! nikutokana na matishio ya kujulikana wapinzani wa jk ndani ya ccm.kwa mfumo wanaoenda nao ccm napendekeza wahalalishe kabisa ule mfumo wa zamani wa kusimama nyuma ya mgombea unayempenda kwasababu huu wa sasa hauna tofauti na ule wa zamani.
 
Mwana wa haramu huzaa haramu.ccm munachakachuana wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom