Chadema mbona mnaangaika sana na mkutano wa CCM.
Ritz,
Niko Dodoma. Kinachoendelea au kilichojiri kinatia aibu. Mwenyewe unajua kwamba kura nyingi zimechakachuliwa. Tusiingize CHADEMA kwenye matatizo yetu mkuu. Ridhiwani na kundi lake walitayarisha masanduku kabla ya kwenda Dodoma. Hao walioshinda ni watu ambao tayari walishapangwa
Watu wa ccm mmejaa ghiriba,chuki na wizi mkubwa.Wewe kwanza umejuaje kwamba waliopiga kura za hapana ni 528? Binafsi kwa matokeo yaliyotangazwa nawaona wanaccm ni wanafiki wakubwa na wengi hawatumii vichwa vyao kufanya maamuzi.Hivi ni kweli J.K amekisimamia chama vizuri kiasi cha kukubalika kwa kura zote hizo au ndo muendelezo wa kubaka tafsiri ya utawala bora ndani ya ccm? Kama amekubalika kwa kiwango hicho,napata shida kujua kama mtendaji mzuri ndani ya ccm anatakiwa awe na sifa gani!
Chadema mbona mnaangaika sana na mkutano wa CCM.
Dah na bado mtakula kichapo cha mbwa mwizi mafisadi wakubwa nyie jana tumewadhibiti mmedoda na mahela yenu kwnye buti za gari mweeehh mkanunulie viroba mpoozee machungu
Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU.

walishaambiwa kuwa kura si wazi,sijui na finger print zitachukuliwa, JK kaahidi hizo kura mbili sijui tatu wamwachie tuu yeye anajua.
-CCM walidhani Finger Print images ni kumjua aliyesema NO na si mpiga kura halali.Na JK kusema aachiwe ni wazi kuwa atadeal nao perpendicularly .
Unahitaji kuwa na mindi set ya CCM kuelewa wanafiriki vipi,wanashangalia nini, wanasema nini.
Naangalia ITV naona jinsi hayo marangi yao yalivyo mabaya.Utadhani shamba la Alizeti na si mkutano wa watu.