Kura Zetu 528 za "HAPANA" Zimeenda Wapi?

Kura Zetu 528 za "HAPANA" Zimeenda Wapi?

Wana Gt ni matumaini yangu baada ya kufuatilia walao vichwa vya habari vya yaliyokua yakiendelea Dodoma hatimae wamefikia mwisho mwenzenu napata tabu kidogo bunge la JMT lina wabunge 300+ majority wakiwa ccm, na tukiamini wabunge wamesoma walao kidogo na wanajua umuhimu wa kura na jinsi ya kupiga kura lakini wakipiga kura za kuamua jambo kwa karatasi huwa tunasikia kura 10+ zimeharibika, cha ajabu ktk mkutano wao wenye wajumbe 2000+(elimu za wajumbe kitendawili) walipopiga kura hatukusikia kura iliyoharibika, naomba mwenye siri ya umakini huu anisaidie.

Kukua kwa DEMOKRASIA ndani CCM.
 
Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU.

Acha majungu na unafiki wewe. Kura ni siri wewe umejuaje za hapana zimefikia idadi hiyo? Kama hujaridhika hamia CDM leo tuachie chama chetu ...ge wewe.
 
Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU.

Haya sasa kumekucha......Vita bado inaendelea.
 
ukikosa kitu cha ku post! tulia!habali za ccm zina nichefua,watu wanamaisha magumu huku mtaani nyinyi mko mji wa posho mnagawana pesa za walipa kodi! mtahukumiwa!
 
Halifichiki pembe la ng'ombe ndo maana hata M/Kiti alijihamii kwa kusema walionipigia kura za hapana wameonyesha demokrasia maana wapo watu wangesema tumechakachua matokeo.Hata masaa 24 hayajaisha tunaona malalamiko,wachezea CCM,CCM ina wenyewe na wenyewe ndiyo wahesabu kura shauri yako we kalaghabaho.

Kuna movie niliwahi kuiangalia ambapo Irish Americans and Catholics walikuwa wanabaguliwa kwenye uchaguzi wa Mayor wa NY. Wa irish na catholics wakajipanga na kuweka mgombea wao. Wakaenda kwa wingi kupiga kura. Yule msimamizi ambaye alikuwa kibaraka wa incumbent Mayor akaishiwa na ballot papers. Alipoenda kuripoti akaambiwa achukue hata madaftari watu wapige kura. It does not matter because "Ballots does not win elections, Counting Does"
 
Wana Gt ni matumaini yangu baada ya kufuatilia walao vichwa vya habari vya yaliyokua yakiendelea Dodoma hatimae wamefikia mwisho mwenzenu napata tabu kidogo bunge la JMT lina wabunge 300+ majority wakiwa ccm, na tukiamini wabunge wamesoma walao kidogo na wanajua umuhimu wa kura na jinsi ya kupiga kura lakini wakipiga kura za kuamua jambo kwa karatasi huwa tunasikia kura 10+ zimeharibika, cha ajabu ktk mkutano wao wenye wajumbe 2000+(elimu za wajumbe kitendawili) walipopiga kura hatukusikia kura iliyoharibika, naomba mwenye siri ya umakini huu anisaidie.
Mkuu umeniwaahi kweli,nami nilikuwa najiuliza swali hilo hilo.umefanya vizuri kuliibua hapa bt naomba mode alitenganishe ili uwe uzi wa pekee yake
 
Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI
MREFU.
Wewe cheza na wenye PHD za kuchakachua! wanaiba za urais wanashindwa kujiibia!! Ulimsikia Bi kiroboto aka kibibi wa kichawi Gula! alivyopiga kelele "amepata kura hasilimia 98 Dr -----ashakummmmm!!
 
Hiki chama hakipaswi kabisa kuendelea kuongoza nchii hii.Uchaguzi huu ni funika kombe mwanaharamu apite.

Kama mko makini pingine matokeo haya kunakohusika au sheria zenu haziruhusu kupinga matokeo?

Chama kinaandamwa na makundi,rushwa,ufisadi n.k alafu eti kiongozi alieshindwa kusimamia mambo hayo pamoja na maadili na maazimio halali ya vikao halali vya chama kama vilie kujivua gamba anashinda kwa asilimia 99. Hii maana yake ni nini kama sio kwamba hata waliomchagua nao hawajui walitendalo?Hivi hawa waliopiga kura wana tofauti gani na yule mwananchi wa kule kijijini asie na elimu ya urai na asie jua ni nini maana ya kupiga kura kuchagua kiongozi?

Hakika taaifa letu linaangamia kutokana na maamuzi ya watu wachache tu ambao maamuzi yao yanagharimu mustakabali wa maisha ya mamilioni ya watanzania.

Hiki chama ni janga la kitaifa.Hapa naona kama wote ni vipofu tu na hakuna wa kumuonyesha mwenzake njia.

Mkuu kula like! Hiki chama ni janga la kitaifa wamejaa unafki kila pande, mwenyekiti wao kaonyesha udhaifu mkubwa wa kukiongoza na kuongoza nchi watu wanampigia kura kwa 99% kwa lipi kama sio unafki tu huo.
 
Mi nina swali kwani wewe ulikuwa kwenye kuhesabu kura? Kama ndio basi utakuwa umehusika kuchakachua. Kama sio umejuaje hyo idadi ya kura za hapana? Wakati waliohesabu wanasema ni 2?
 
kaaaazi kwelikweli!mlijisajili wapi mkajijua idadi yenu?mle ukumbini?
 
Napita tuu mjomba siasa za Tanganyika bwana ni za maji taka Kama alivyowai kutuambia ndugu Rostam Aziz! Hiyo ndio CCM zaidi ya uijuavyo mkuu!
 
Eti ccm kuna demokrasia..kwanini kikwete hata asingeshindanishwa na Mgombea Dhaifu mwenzake kama Tambwe Hiza ili tuamini alikuwa na mpinzani..KUMBE CHADEMA KTK CHAGUZI ZAO WAPO SAHIHI..ati kura za kishindo,
 
mkuu niko una moyo kweli kuangalia hivyo vituko vya dodoma kwenye tv.

kwa jainsi mirangi yao iliyokuwa ikikaa vibaya KTK TV ndio jinsi nilivyokuwa curious.Yale marangi hayakuwa visually friendly..nilidhai shamba la alizeti, na vile vitambaa vyenye njano njano fulani ndio kama ufuta kwa juu.Na jinsi walivyo zubaa walikuwa kama majani.NI midomo tuu ya ushangingi ndiyo ilikuwa ikitoa kelele, waliokuwa wakionekana ni wale wa jukwaani tuu,kwani walikuwa mbalimbali na walizeza tofautishwa na rangi za jukwaani.
 
Back
Top Bottom