Kama mliweza kuchakachua ya nchi nzima, mtashindwa kuchakachua ya kwenu tu?
Kura ndiyo na hapana ina theory ngum sana. Ni vigumu sana kujua waliosema HAPANA maana hawana mwakilishi kwenye kuhesabu kura.Kama mliweza kuchakachua ya nchi nzima, mtashindwa kuchakachua ya kwenu tu?
Hizo kura 528 zingemnyima mh. Kikwete uraisi?
Chama
Gongo la mboto DSM......
Tatizo mna akili za samaki........
we ni mzushi, mambo ya huko ndani unayaleta hapa ya nini? kama kweli we ni CCM. huna lolote we ni CDM.......
Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU........
Mtoa hoja mbona unakwepa kujibu jinsi ulivyojua idadi ya kura zilizokuwa kwenye box?. Ukishindwa kubaliana na wengi kwamba kundi lenu lililokuwa linampinga Mhe. Mwenyekiti limesambaratishwa na MAKAMBA na sasa umebaki wewe na mwingine asiyejulikana. KALAGABAHO
.........
We unaumwa?au ushuzi umekubana?......