Kura Zetu 528 za "HAPANA" Zimeenda Wapi?

Kura Zetu 528 za "HAPANA" Zimeenda Wapi?

Chadema mbona mnaangaika sana na mkutano wa CCM........

Umejuaje ni CDM hawa?kila mwananchi ana haki ya kuzungumzia na kuchambua vema mkutano wa CCM,kwani ndio chama kinachounda serikari hii dhalimu.Unataka wazungumzie CHAUSTA?kwanini?
 
Makinda ni zao la kupandikizwa Uspika, je anaweza kusimamia uchaguzi huru? au atalipa fadhila?
 
Ukisikia viwanda vya kutunga uongo ndio kama hivi. Mwenyekiti ameshinda kwa kishindo 99.92 sasa sijui unalialia nini?
Wakati wengine wanafanya kazi za ajira au kujiajiri wengine wanafanya Hating for a living.:becky::becky::becky:
 
Eeeeeehehehehehehehheeh wachakachuaji mmejichakachua........... eeeeeeeeh ama kweli mtoto akishakuwa teja atasomba hata deck ya home akauze ili abwie yaani hata zenu ndani mmebofya jamani... fisi n fisi tuuu....... hata akila vizuri vipi hawezi kuacha mzoga.
 
Jamaa hawachoki na hate kampeni zao dhidi ya jk ,na kila siku anawaacha kwenye mataa.
Wasivyo na aibu wanaendelea kujaribu na kujaribu na kujaribu na kujaribu na matokeo ni yaleyale kila siku.
Hawataki kuamini kuwa jk is more smart than them and they are just P.O.S
 
Siku zote mwizi akikosa wa kumuibia anajiibia mwenyewe.Mlizoea kuwaibia wapinzani sasa kimewageukia ninyi.
Nendeni mahakamani.
 
Kosa lililofanyika ni kutokuwepo muwakilishi wa "HAPANA" wakati wa kuhesabu kura. Vumilieni ndiyo demokrasia ya chama chenu hiyo.
 
Hiki chama hakipaswi kabisa kuendelea kuongoza nchii hii.Uchaguzi huu ni funika kombe mwanaharamu apite.

Kama mko makini pingine matokeo haya kunakohusika au sheria zenu haziruhusu kupinga matokeo?

Chama kinaandamwa na makundi,rushwa,ufisadi n.k alafu eti kiongozi alieshindwa kusimamia mambo hayo pamoja na maadili na maazimio halali ya vikao halali vya chama kama vilie kujivua gamba anashinda kwa asilimia 99. Hii maana yake ni nini kama sio kwamba hata waliomchagua nao hawajui walitendalo?Hivi hawa waliopiga kura wana tofauti gani na yule mwananchi wa kule kijijini asie na elimu ya urai na asie jua ni nini maana ya kupiga kura kuchagua kiongozi?

Hakika taaifa letu linaangamia kutokana na maamuzi ya watu wachache tu ambao maamuzi yao yanagharimu mustakabali wa maisha ya mamilioni ya watanzania.

Hiki chama ni janga la kitaifa.Hapa naona kama wote ni vipofu tu na hakuna wa kumuonyesha mwenzake njia.
Nami naungana na wewe kushangaa haya maajabu ya Watanzania.Watu wazima na wengine wasomi ngazi za uprofesa wanaitana Dodoma kwa ajili ya kudanganyana kwa kiasi kile?.Kwa mtindo huu ndani ya Sayari hii ya Dunia Watanzania na Tanzania wa aina ya pekee.
 
Kama matokeo ya wale jamaa wa NEC yalivuja mara tu baada ya kuhesabu kura, itakua hii?

Never underestimate the evil in ccm.
 
Kosa lililofanyika ni kutokuwepo muwakilishi wa "HAPANA" wakati wa kuhesabu kura. Vumilieni ndiyo demokrasia ya chama chenu hiyo.

Pale ambapo 'Hapana' hana mtetezi, 'ndiyo' anashinda kirahisi.
 
Uongo mtupu, location? Bosnia upo Dodoma.

Kwi kwi kwi kwi teh teh teh teh!

kumbe ndo kazi yako humu kufuatilia watu walipo eeeh nyie usalama wa nape na ccm hivi huwa mnajua kuwa wanawatumia kama condom tu
 
Hiyo kura yako moja tumeibaini hao wengine 527 ni akina nani?
 
Watu wa ccm mmejaa ghiriba,chuki na wizi mkubwa.Wewe kwanza umejuaje kwamba waliopiga kura za hapana ni 528? Binafsi kwa matokeo yaliyotangazwa nawaona wanaccm ni wanafiki wakubwa na wengi hawatumii vichwa vyao kufanya maamuzi.Hivi ni kweli J.K amekisimamia chama vizuri kiasi cha kukubalika kwa kura zote hizo au ndo muendelezo wa kubaka tafsiri ya utawala bora ndani ya ccm? Kama amekubalika kwa kiwango hicho,napata shida kujua kama mtendaji mzuri ndani ya ccm anatakiwa awe na sifa gani!

Well said Mkuu !! Nimetafuta kitufe cha "like" sijakiona.

So nakupa "like" for a veri gudi ende uziful post!
 
Hiki chama hakipaswi kabisa kuendelea kuongoza nchii hii.Uchaguzi huu ni funika kombe mwanaharamu apite.

Kama mko makini pingine matokeo haya kunakohusika au sheria zenu haziruhusu kupinga matokeo?

Chama kinaandamwa na makundi,rushwa,ufisadi n.k alafu eti kiongozi alieshindwa kusimamia mambo hayo pamoja na maadili na maazimio halali ya vikao halali vya chama kama vilie kujivua gamba anashinda kwa asilimia 99. Hii maana yake ni nini kama sio kwamba hata waliomchagua nao hawajui walitendalo?Hivi hawa waliopiga kura wana tofauti gani na yule mwananchi wa kule kijijini asie na elimu ya urai na asie jua ni nini maana ya kupiga kura kuchagua kiongozi?

Hakika taaifa letu linaangamia kutokana na maamuzi ya watu wachache tu ambao maamuzi yao yanagharimu mustakabali wa maisha ya mamilioni ya watanzania.

Hiki chama ni janga la kitaifa.Hapa naona kama wote ni vipofu tu na hakuna wa kumuonyesha mwenzake njia.

Maneno kuntu kabisa hayo, yana ukweli mchungu.
 
Mi nmeshangaa kusikia eti kura za hapana zilikuwa mbili, hii ilimaanisha dhahili kabisa kunauchakachizi umefanyika, na inaonekana kama kura za hapana zilikuwa nyingi sana kiasi kwamba kusema kura za hapana hakuna ingekuwa aibu.
Lakini ndo ivo ndo mambo ya system bana.
 
Wana JF
Niko Dodoma, nimechoka na hotuba ya Karume nikatoka nje.
Hapa kuna hasira kali. Spika Makinda kaficha kura zetu 528 za HAPANA kwa Mwenyekiti JK.
Pamoja na mkakati wa kutudhibiti kwa kupiga kura kimikoa na vitisho vingi, tumepiga kura hizo lakini hazikutangazwa. Hii ni hujuma kwa demokrasia kwa chama chetu. WATAJUTA MUDA SI MREFU.
Unajifanya kushangaa nini? Bt kuna kitu cjakielewa kwani na wewe ulikuwa unahesabu kura au ndo idadi ya kundi lako!
 
Back
Top Bottom