Kabulala
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 695
- 935
Kwani mawaziri wote wamepigiwa Kura na watu wa kyela/wanyakyusa?..mi nadhani his time was up.. sometimes changes is inevitable.Hakuna igizo au mpango fulani hapa? Kwa nini ni yeye tu peke yake kati ya mawaziri?