Uchaguzi 2020 Kura za maoni Kyela ni kitendawili na zinashtua

Katika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni

Mawaziri wa kiume woote kasoro yeye tu wamepita kwenye kura za maoni

Manaibu waziri pia woote , yaani wote hata wale waliotoka upinzani wamepita

Cha kwanza nakosa imani na kura za maoni majimbo yaliyokuwa na mawaziri , nanusa harufu fulani ya mkono wa mtu katika kura za maoni majimbo ya mawaziri na manaibu waziri

Pili ,nashindwa kuwa na jibu inakuaje Mwakyembe peke yake waziri katika mawaziri wote wa kiume yeye pekee tu apoteze kura za maoni?
Kama si mkazi wa Kyela unahaki!
 
Wanyakyusa sio watu kama unabisha nenda kaishi nao.MWAKYEMBE ALIKUWA ANA WA FOOL KUMBE WANAMCHEKI TU LEO KAWATEGEA SHINGO WAMEPITISHA KISU.
Mwakyembe ni mzee mhuni pia muongo muongo.
Mnyakyusa hata kwenye misiba..ukijifanya ushiriki katika misiba ya majirani au ukajifanya uko busy na shughuli zako na kutoona shida za mwenzako na kujiona' spesho' sana wewe jiandae kisaikolojia siku yakikufika..utaomba ardhi ipasuke.
 
Katika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni.

Mawaziri wa kiume woote kasoro yeye tu wamepita kwenye kura za maoni.

Manaibu waziri pia woote, yaani wote hata wale waliotoka upinzani wamepita.

Cha kwanza nakosa imani na kura za maoni majimbo yaliyokuwa na mawaziri, nanusa harufu fulani ya mkono wa mtu katika kura za maoni majimbo ya mawaziri na manaibu waziri.

Pili, nashindwa kuwa na jibu inakuaje Mwakyembe peke yake waziri katika mawaziri wote wa kiume yeye pekee tu apoteze kura za maoni?
Kuna Naibu waziri amepigwa chini na Tale, sijui wa kilimo
 
Katika hali ya kushtua na inayopiga butwaa ni kubwagwa kwa Mwakyembe kura za maoni.

Mawaziri wa kiume woote kasoro yeye tu wamepita kwenye kura za maoni.

Manaibu waziri pia woote, yaani wote hata wale waliotoka upinzani wamepita.

Cha kwanza nakosa imani na kura za maoni majimbo yaliyokuwa na mawaziri, nanusa harufu fulani ya mkono wa mtu katika kura za maoni majimbo ya mawaziri na manaibu waziri.

Pili, nashindwa kuwa na jibu inakuaje Mwakyembe peke yake waziri katika mawaziri wote wa kiume yeye pekee tu apoteze kura za maoni?
Mzee kuna naibu waziri kaliwa kichwa na babu tale
 
Huyo Kinanasi ni mkinga au mnyakyusa?
 
Tatizo ni digrii 4! Na pia matumuzi yake.Haiwezekani 'msomi wa digrii 4 ,dk.wa filosofi,anafundisha vyuo vikuu mbali mbali vinne akeshe uwanja wa ndege kumsubiri mtu wa std vii! Lakini anawadharau wapiga kura wa std vii! TOTALLY INSANITY!
 
Back
Top Bottom