Wa Dar bhnaHizi ni zile hadithi za utotoni eti wamasai wakiaba ng'ombe wanageuza viatu vyao ili kuwa hadaa wanao fuatili muelekeo wa nyayo zao. Sijui makanyagio ya hao ng'ombe walio ibiwa wali ya geuza je?
Au geuza shati ulilovaa nje ndani, unarudisha ufahamu, anayepinga hili ndo hao walozaliwa Hindu Mandal sio makosa yao...Hii ya majani ni kweli katika jamii niliokulia imetokea mara nyingi matukio kama hayo. Hata mama yangu mzazi aliwai kupotea lakin mara nyingi lazima ukutane na mtu anae kujua ndio anakushtua we fulani unaena wap huko unazinduka
Niliambiwa sijui nmekanyaga mdudu anaesababisha kupotea. Huko nilikopotelea waliniambia nigeuze shati, na kweli ilinichukua muda mfupi kufika home😊😊ilikuwa nini sasa mkuu
Na hamukupewa katika elimu ila kiasi kidogo sana (qur an 17:85)Dunia ina mengi na asilimia kubwa yetu tunajua 'punje' tu ya mambo yote.
Na hamukupewa katika elimu ila kiasi kidogo sana (qur an 17:85)
kweli mkuu nadhani ndo wew nilikuokota ukiwa uchi pale kichakani misungwi




Ipo mi ilInitokea nikiwa primary SchoolSijawahi kusikia hii kitu..
bahati yenu mngelala hukoHiyo tuliopitia maisha ya kijijini imeshatutokea,
Mimi nilikua na rafiki yangu tukaenda kuzulula porini huko tukapotea tukawa tunaelekea tusipopajua nikamuiliza mwenzangu tunaenda wapi, akanijibu ye mwenyewe hajui, tukasema hapa tayari tumesharuka mdudu,
Tukabadilisha nguo, tulikuwa tumevaa kaptula ikabidi tuzigeuze chini juu...juu chini kisha tukatembea kama dakika tano hivi ile kutokea njiani tu vichwa vikakaa sawa, tukavaa kawaida huku kila mmoja akijiwazia jome atajitetea vipi
Paul dirac bwege tu, alicopy idea ya quantum electrodynamicsHizi habari nyingine zinaweza kuwa ni myths ambazo zinahitaji uchambuzi wa kifasihi.
Naweza kukuambia
Mboga ni mazao.
Kuchuma mboga ni kutafuta mazao. It is no coincidence kwamba kuna style ya kufanya mapenzi inaitwa "chuma mboga". Kwa maana nyingine ya lugha ya tafsida kutafuta kuzaa.
Mwanamke ambaye yupo kwenye siku zake hizo, ukitaka kutafuta mtoto (mazao, mboga) wakati wa siku hizo, zitanyauka tu (mimba haitashika). Uwezekano wa mwanamke kupata mimba akiwa katika siku zake ni mdogo sana.
Kwa hiyo, inawezekana watu wanaongea kitafsida mwanamke aliye katika siku zake asichume mboga, zitanyauka.
Ukisoma moja kwa moja unapata maana tofauti.
Ukitafsiri ki myth na tafsida unapata tafsiri tofauti.
Inanikumbusha Kunta Kinte katika tamthiliya ya "Roots". Alikuwa anamlalamikia Fiddler kwamba hana mbegu ya kupanda apate mazao (nafikiri alikuwa ana miss maembe ya kwao Gambia).
Mzee Fiddler alivyo muhuni akatafsiri vingine kabisa. Akamwambia Kunta, weee kijana mdogo bado. Mbegu unazo nyingi. Tafuta mwanamke tu.
Huo ndio ukawa mwanzo wa Kunta Kinte kuoa.
Naonesha tu sehemu nyingine pale mazao ya kilimo yalipolinganishwa na mazao kwa maana ya watoto.
The good thing (or bad thing if you are a Paul Dirac) with myths is that they are subject to interpretation.
Nimetoka kumaliza kijitabu cha Claude Levi-Stauss "Myth and Meaning: Cracking the Code of Culture".
A very interesting perspective. Especially for a skeptic.
Ali copy idea gani, wapi, lini, vipi, kwa ushahidi gani, wewe umejuaje hilo, umehakiki vipi?Paul dirac bwege tu, alicopy idea ya quantum electrodynamics