hayo majani yanakuwa na "push button" ambayo inakua "linked" na ufahamu wa mtu atakaekanyaga?Me imesha nitokea kama mara 2 hivi. Mara ya kwanza nilikuwa na bi mkubwa jioni moja tumetoka sokoni tunaelekea nyumbani sasa njia tunayoelekea kukawa na majani hivi na hayo majani yanasemekana yana macho mawili ukilikanyaga hilo jani basi ufahamu unapotea utajikuta unapitiliza unakokwenda, mimi na bi mkubwa tulijikuta tunakaribia kufika mwisho wa makazi ya watu ndipo akakumbuka kuwa huenda tumekanyaga hayo majani na dawa ya kurejesha fahamu kama upo na mtu unampiga mwenzako kofi la mgongoni ndipo unakuwa umerejesha fahamu. Siku ya pili nilikuwa mwenyewe polini aisee kapori ambaka sio kakubwa hauwezi amini nilimaliza siku nzima mpaka usiku ndo fahamu zinarudi
Basi bwana tulienda na demu Wangu porini kunyengana si tukalalia hayo majani tukasahau kuacha tukawa tunanyengana tu.. Mkitembea kidogo myengo kidogo myengo mpaka nguvu zikaisha tukalala poriniHayo mambo yapo na yametokea sana vijijini huko;
Mvuha kuna kijiji kinaitwa magogoni 2005 kuna majamaa walikwenda kuwinda mbugani,wakat wanarud na mizigo yao ya nyama wakiwa jirani na kijiji wakatawanyika ili kupunguza msongamano wa watu maaana wakionekana watu kama10 harafu na mifurushi ya nyama watu watahamaki kidogo na km unavyojua maliasiri nao hawa chezi mbali.
Sasa ktk ule mtawanyo kwamb watakutana nyumban watu wamefika yule jmaaa bado hajafika,wakasubiria sana hawakumuona so ikabid watu walale kesho asubuh wakaanza kwenda kumfuatilia hawakufanikia walimtafuta kutwa nzima,wakarudi.
Siku ya pili inabid watafute ngoma ili wakipiga jamaa aweze kusikia walitoka pale saa kumi usiku jamaa walimkuta zaid ya km80,maaana walimkuta juu ya mti kabisa hata nguvu hana.
NB:HAYA MAMBO YAPO,ILA KWENYE USIBITISHO WA NN AMEKANYAGA HAPO HUONGELEKA VINGI,KUNA WANAOSEMA KUNA KADUDU UKIKAJAGA BAS NAWE UTATEMBEA TU,WENGINE HUSEMA MAJAN NA HATA WENGINE USEMA NDEGE,UKWELI WA SABABU HAMNA
kweli mkuu nadhani ndo wew nilikuokota ukiwa uchi pale kichakani misungwiHii inshu ya kweli mimi ilinitokea missungwi kwa kina bashite
Tuma salamu kwa watu 3 tafadhali.Basi bwana tulienda na demu Wangu porini kunyengana si tukalalia hayo majani tukasahau kuacha tukawa tunanyengana tu.. Mkitembea kidogo myengo kidogo myengo mpaka nguvu zikaisha tukalala porini
Katika nchi ambayo access na afya ya akili ni ndogo, hata mtu akipotea kwa kuwa ana dementia au ugonjwa mwingine wa akili tutasema kakanyaga majani fulani.

mkuu unashangaa kukanyaga majani tu..
Hizi habari nyingine zinaweza kuwa ni myths ambazo zinahitaji uchambuzi wa kifasihi.mkuu unashangaa kukanyaga majani tu..
Nilisikia humu mwanamke ambae yupo bleed akichuma mboga lazima zikauke..
Sijaelewa hadi leo kwanini,. Hii nayo ya kukanyaga majani halafu upotee ndo nazidi kuchanganyikiwa![]()
Yah Pengine wahenga walitumia tafsida ila watu wakatafsiri ndivyo sivyoHizi habari nyingine zinaweza kuwa ni myths ambazo zinahitaji uchambuzi wa kifasihi.
Naweza kukuambia
Mboga ni mazao.
Kuchuma mboga ni kutafuta mazao. Kwa maana nyingine ya lugha ya tafsida kutafuta kuzaa.
Mwanamke ambaye yupo kwenye siku zake hizo, ukitaka kutafuta mtoto (mazao, mboga) wakati wa siku hizo, zitanyauka tu (mimba haitashika). Uwezekano wa mwanamke kupata mimba akiwa katika siku zake ni mdogo sana.
Kwa hiyo, inawezekana watu wanaongea kitafsida mwanamke aliye katika siku zake asichume mboga, zitanyauka.
Ukisoma moja kwa moja unapata maana tofauti.
Ukitafsiri ki myth na tafsida unapata tafsiri tofauti.
Inanikumbusha Kunta Kinte katika tamthiliya ya "Roots". Alikuwa anamlalamikia Fiddler kwamba hana mbegu ya kupanda apate mazao (nafikiri alikuwa ana miss maembe ya kwao Gambia).
Fiddler alivyo muhuni akatafsiri vingine kabisa. Akamwambia Kunta, weee kijana mdogo bado. Mbegu unazo nyingi. Tafuta mwanamke tu.
Huo ndio ukawa mwanzo wa Kunta Kinte kuoa.
Naonesha tu sehemu nyingine pale mazao ya kilimo yalipolinganishwa na mazao kwa maana ya watoto.
The good thing (or bad thing if you are a Paul Dirac) with myths is that they are subject to interpretation.
Nimetoka kumaliza kijitabu cha Claude Levi-Stauss "Myth and Meaning: Cracking the Code of Culture".
A very interesting perspective. Especially for a skeptic.
HahahahaHizi ni zile hadithi za utotoni eti wamasai wakiaba ng'ombe wanageuza viatu vyao ili kuwa hadaa wanao fuatili muelekea wa nyayo zao. Sijui makanyagio ya hao ng'ombe walio ibiwa wali ya geuza je?
Tatizo ni pale mambo ya tafsida na lugha ya picha yanapotafsiriwa isivyo.Yah Pengine wahenga walitumia tafsida ila watu wakatafsiri ndivyo sivyo
Na hii ya kukanyaga majani nahisi ni kupanic na kuchanganyikiwa tu wanaposahau njia huko porini..
Labda itaamini yatakaponikuta, na niwe timamu
Mambo yote yanawezekana ukiammini!Hizi habari nyingine zinaweza kuwa ni myths ambazo zinahitaji uchambuzi wa kifasihi.
Naweza kukuambia
Mboga ni mazao.
Kuchuma mboga ni kutafuta mazao. It is no coincidence kwamba kuna style ya kufanya mapenzi inaitwa "chuma mboga". Kwa maana nyingine ya lugha ya tafsida kutafuta kuzaa.
Mwanamke ambaye yupo kwenye siku zake hizo, ukitaka kutafuta mtoto (mazao, mboga) wakati wa siku hizo, zitanyauka tu (mimba haitashika). Uwezekano wa mwanamke kupata mimba akiwa katika siku zake ni mdogo sana.
Kwa hiyo, inawezekana watu wanaongea kitafsida mwanamke aliye katika siku zake asichume mboga, zitanyauka.
Ukisoma moja kwa moja unapata maana tofauti.
Ukitafsiri ki myth na tafsida unapata tafsiri tofauti.
Inanikumbusha Kunta Kinte katika tamthiliya ya "Roots". Alikuwa anamlalamikia Fiddler kwamba hana mbegu ya kupanda apate mazao (nafikiri alikuwa ana miss maembe ya kwao Gambia).
Fiddler alivyo muhuni akatafsiri vingine kabisa. Akamwambia Kunta, weee kijana mdogo bado. Mbegu unazo nyingi. Tafuta mwanamke tu.
Huo ndio ukawa mwanzo wa Kunta Kinte kuoa.
Naonesha tu sehemu nyingine pale mazao ya kilimo yalipolinganishwa na mazao kwa maana ya watoto.
The good thing (or bad thing if you are a Paul Dirac) with myths is that they are subject to interpretation.
Nimetoka kumaliza kijitabu cha Claude Levi-Stauss "Myth and Meaning: Cracking the Code of Culture".
A very interesting perspective. Especially for a skeptic.
Ukisema mambo yote yanawezekana ukiamini, hilo linajumuisha wale wanaoamini mambo yote hayawezekani katika kuamini.Mambo yote yanawezekana ukiammini!
Imani ni muhimu katika vyote!
mimi niliwahi potea huko Vijijin kwetu.Habari wapenzi.
Nmekua katika mazingira ya kusikia baadhi ya ngano kuwa kuna majani ukiyakanyaga unapotea ,yani unaelekea mahala usipo pajua unazunguka sana ..kiasi unaweza kupatikana au usipatikane kwa muda .
Mama angu ananisimuliaga wao walipoteaga na bibi yake kipindi anakua kwa siku mbili msituni.
Je wakuu haya mambo ni kweli?