Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,821
- 6,122
Nimekwambia mimi Sina uhusiano na sayansi ila nina mahusiano na maarifa ya wanadamu tu yalioileta intaneti ninayotumiaHujajibu swali.
Usitake kupiga chenga swali.
Inakuwaje huna uhusiano wowote na sayansi wakati unatumia internet ambayo ni teknolojia inayotumia sayansi?
Hapo hujaelewa nini sasa
Nikakwambia pia sayansi ulioizungumza wewe ina mambo ya kukinzana sana nikakupa na mfano wake
Sasa narudi kwako tena SAYANSI ni nini?!
Nimekujibu hivyo usikwepe swali tena
Jibu ili tuendelee na mjadala wetu