donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Uchawi upo, haiwezekani kuna majani nimeyagusa halafu yana sinyaa yenyewe
Bro nimesoma lectures on quantum mechanics na spinors in hilbert space, narudia, ni bwege tuAli copy idea gani, wapi, lini, vipi, kwa ushahidi gani, wewe umejuaje hilo, umehakiki vipi?
Umesoma kitabu gani cha maisha ya Dirac ku conclude kwamba ni bwege?
Unajua kwamba equations za Dirac zinatumika kufundishia mpaka leo, huyo bwege gani anatumika kufundisha mpaka leo?
Wewe equations zako zinafundishia wapi?
Kwaio mpaka equations zangu niziestablish ?? Kwani kwenye science hakuna copycats? Go back to school!Ali copy idea gani, wapi, lini, vipi, kwa ushahidi gani, wewe umejuaje hilo, umehakiki vipi?
Umesoma kitabu gani cha maisha ya Dirac ku conclude kwamba ni bwege?
Unajua kwamba equations za Dirac zinatumika kufundishia mpaka leo, huyo bwege gani anatumika kufundisha mpaka leo?
Wewe equations zako zinafundishia wapi?
Unajipinga mwenyewe.Kwaio mpaka equations zangu niziestablish ?? Kwani kwenye science hakuna copycats? Go back to school!
Tufungue mawili matatu mkuuWatu waliokulia mjini Daslam bwana mambo Kama haya tukiwaambia wanaona Kama adventure au chai kumbe
Yapo Huko vijiji Huko!
Kwahiyo na kaka ako wote mkawa mnazunguka tu hamtambui mnakoendaIliwahi nitokea hii, tulikwenda kijijini kuwasalimu ndugu, tukiwa tunarudi ni uelekeo wa magharibi, lakini mi nikawa naona Kama twelekea mashariki, baada ya Kama km 5 hivi ndio akili ya uelekeo ikakaa sawa... Kwa bahati nzuri nilikuwa na Kaka zangu, laiti ningekuwa peke yangu sijui ningefika wapi.
Hayo majani yanaitwa ndumu, mmea, au mjani. Yanazingua kichizi ukiya misuseHabari wapenzi.
Nmekua katika mazingira ya kusikia baadhi ya ngano kuwa kuna majani ukiyakanyaga unapotea ,yani unaelekea mahala usipo pajua unazunguka sana ..kiasi unaweza kupatikana au usipatikane kwa muda .
Mama angu ananisimuliaga wao walipoteaga na bibi yake kipindi anakua kwa siku mbili msituni.
Je wakuu haya mambo ni kweli?
Mi ndio nilikuwa nawabishia kuwa tunakoenda siko.Kwahiyo na kaka ako wote mkawa mnazunguka tu hamtambui mnakoenda
Ungefika BangladeshIliwahi nitokea hii, tulikwenda kijijini kuwasalimu ndugu, tukiwa tunarudi ni uelekeo wa magharibi, lakini mi nikawa naona Kama twelekea mashariki, baada ya Kama km 5 hivi ndio akili ya uelekeo ikakaa sawa... Kwa bahati nzuri nilikuwa na Kaka zangu, laiti ningekuwa peke yangu sijui ningefika wapi.
Na wao wanakusikiliza jamaniMi ndio nilikuwa nawabishia kuwa tunakoenda siko.
Canción del mariachiKatika kazi zangu huwa naenda sana mapolini muda mwingine unabeba GPS unaingia msituni kutafuta point ilipo, nimekuwa nikikutana sana na hizi stori huko vijijini unaweza kuchukua mtu akupeleke ila mnazunguka ukiuliza anasema pale kati kuna majani mabaya tunaweza kukesha polini
Unaitwa usenge usiokeraCanción del mariachi
Song by Antonio Banderas and Los Lobos
Soy un hombre muy honrado
Que me gusta lo mejor
Las mujeres no me faltan
Ni el dinero, ni el amor
Jineteando en mi caballo
Por la sierra yo me voy
Las estrellas y la luna
Ellas me dicen donde voy
Ay, ay, ay, ay
Ay, ay mi amor
Ay, mi morena
De mi corazón
Me gusta tocar guitarra
Me gusta cantar el son
Mariachi me acompaña
Cuando canto mi canción
Me gusta tomar mis copas
Aguardiente es lo mejor
También el tequila blanco
Con su sal le da sabor
Ay, ay, ay, ay
Ay, ay mi amor
Ay, mi morena
De mi corazón
Me gusta tocar guitarra
Me gusta cantar el son
El mariachi me acompaña
Cuando canto mi canción
Me gusta tomar mis copas
Aguardiente es lo mejor
También el tequila blanco
Con su sal le da sabor
Ay, ay, ay, ay
Ay, ay mi amor
Ay, mi morena
De mi corazón
Ay, ay, ay, ay
Ay, ay mi amor
Ay, mi morena
De mi corazón
View attachment 1892191
Wewe acha Basi.....sasa umeongea ma nini?dementia ndo nini na uzungu wakoKatika nchi ambayo access na afya ya akili ni ndogo, hata mtu akipotea kwa kuwa ana dementia au ugonjwa mwingine wa akili tutasema kakanyaga majani fulani.
Hio ya mwanamke akiwa hedhini ni kweli mkuumkuu unashangaa kukanyaga majani tu..
Nilisikia humu mwanamke ambae yupo bleed akichuma mboga lazima zikauke..
Sijaelewa hadi leo kwanini,. Hii nayo ya kukanyaga majani halafu upotee ndo nazidi kuchanganyikiwa![]()
Google is your friend.Wewe acha Basi.....sasa umeongea ma nini?dementia ndo nini na uzungu wako