Kupotea bila kujijua

Kupotea bila kujijua

Mkuu, nashawishika kukuuliza ulikulia Tanzania?! Na kama jibu ni ndiyo mikoa gani? Kwa sababu kwa baadhi ya mambo ni vigumu sana kumuaminisha mtu jambo ambalo tangu mazingira na nyakati za Tuko havieleweki wala kufikirika kwake.
Japo sijaelewa vyema ulichotaka kumaanisha ila ngoja nikuulize

Umewahi kuchunga ng'ombe? And umewahi kushiriki kutafuta ng'ombe walioibwa?!
 
Hahaaa umenena mkuu sema watu wanajikuta wajuvi sana kiasi kwamba wanasahau asili yetu ni ufugaji na uwindaji
Na wengi wanaobisha hapa ni wanaume wa dar(joking)mana hizi mambo wanaona ni hadithi tu
Sio kwamba wanaona ni hadithi tu,ila wana misimamo yao ambayo inawazuia kukubali hayo mambo kama yalivyo.

Kwahiyo hata wao inawabidi tu kukataa na ndio huishia kusema hadithi tu hizo,ila wangekuwa na majibu yenye kueleweka wangeeleza,sasa wewe mtu ametokewa kabisa na tukio halafu umemwambie hadithi tu!!!
 
Umenena vyema mkuu
Afu licha ya misimamo yao bado wanashindwa walau kufikiria kwamba haya mambo yamewatokea watu wa makabila tofauti tofauti na sehemu tofauti
Ina maana kwamba kote huko wanadanganya na wanadanganya ili iweje.
Vitu vingine basi tu hatupaswi kukana kila kitu tena ambacho hata kikikutokea hakina madhara makubwa zaidi ya kupotea tu

Afu nimekaa nikawaza mambo mengi ya ajabu na makubwa zaidi ya hili la kupotea nikasema mfano ndo naweka hapa wengi wataniandikia hadi thread ya kunipa uongo wangu na yule atake sapoti

Duniani watu tunakutana na vitu vya ajabu sana kuliko hata ngano za vitabu
 
Mkuu, nashawishika kukuuliza ulikulia Tanzania?! Na kama jibu ni ndiyo mikoa gani? Kwa sababu kwa baadhi ya mambo ni vigumu sana kumuaminisha mtu jambo ambalo tangu mazingira na nyakati za Tuko havieleweki wala kufikirika kwake.

Nilikulia huko pande za masaini, enzi hizo wamasai wakiwa macholi sana wa mifugo. Na wakiamini hamna kabila lingine lenye hati miliki ya mifugo ila wao tu. Kwa sasa niko huko Nanjilinji kitongoji cha Nyangwale, karibu.
 
Ndiyo hapo sasa..yani mtu unampa ushuhuda wa jambo yeye haamini ila anaona bora akawaamini hao jamaa zao.

Sasa hapa toka mwanzo hivyo visa vimewatokea watu vijijini tena mazingira yenyewe yanafanana,ila wataalamu wanaona ni ukichaa tu.
Sasa najiuliza huo ukichaa mbona hauwapati na watu wa mjini huku??

Hahaha..ila ndio hivyo hauwezi kumbishia mtaalamu.
wanambishia vipi wakati wamelewa sayansi
 
Umenena vyema mkuu
Afu licha ya misimamo yao bado wanashindwa walau kufikiria kwamba haya mambo yamewatokea watu wa makabila tofauti tofauti na sehemu tofauti
Ina maana kwamba kote huko wanadanganya na wanadanganya ili iweje.
Vitu vingine basi tu hatupaswi kukana kila kitu tena ambacho hata kikikutokea hakina madhara makubwa zaidi ya kupotea tu

Afu nimekaa nikawaza mambo mengi ya ajabu na makubwa zaidi ya hili la kupotea nikasema mfano ndo naweka hapa wengi wataniandikia hadi thread ya kunipa uongo wangu na yule atake sapoti

Duniani watu tunakutana na vitu vya ajabu sana kuliko hata ngano za vitabu
watakubishia mpaka utapigwa ban
 
Umenena vyema mkuu
Afu licha ya misimamo yao bado wanashindwa walau kufikiria kwamba haya mambo yamewatokea watu wa makabila tofauti tofauti na sehemu tofauti
Ina maana kwamba kote huko wanadanganya na wanadanganya ili iweje.
Vitu vingine basi tu hatupaswi kukana kila kitu tena ambacho hata kikikutokea hakina madhara makubwa zaidi ya kupotea tu

Afu nimekaa nikawaza mambo mengi ya ajabu na makubwa zaidi ya hili la kupotea nikasema mfano ndo naweka hapa wengi wataniandikia hadi thread ya kunipa uongo wangu na yule atake sapoti

Duniani watu tunakutana na vitu vya ajabu sana kuliko hata ngano za vitabu
watakubishia mpaka utapigwa ban
 
Japo sijaelewa vyema ulichotaka kumaanisha ila ngoja nikuulize

Umewahi kuchunga ng'ombe? And umewahi kushiriki kutafuta ng'ombe walioibwa?!
Mkuu, umemsoma jamaa niliyemjibu? Kuna mambo ambayo ni vigumu sana kumuelewesha mtu ambaye 'dunia' aliyo nayo kwenye ubongo wake ni tofauti kabisa na uhalisia!
Kukujibu swali lako, nimewahi kusaidia/kujifunza kidogo kuchunga ng'ombe.
Kutafuta ng'ombe walioibwa...hapana.
 
Nilikulia huko pande za masaini, enzi hizo wamasai wakiwa macholi sana wa mifugo. Na wakiamini hamna kabila lingine lenye hati miliki ya mifugo ila wao tu. Kwa sasa niko huko Nanjilinji kitongoji cha Nyangwale, karibu.
Kukulia haitoshi mkuu, kuna watu wamekulia Dar lakini hawajawahi kwa mfano tu kwenda Masaki! Usibishe kuhusu vitu ambavyo huvijui.
 
Hehe kuna uyoga flani hivi tulikuwa tunaambiwa wakati tupo wadogo sema nini baada kupiga kitabu nikaja soma huo uyoga nikagundua kwann wahenga walisema hivyo
 
Ba
Mkuu, umemsoma jamaa niliyemjibu? Kuna mambo ambayo ni vigumu sana kumuelewesha mtu ambaye 'dunia' aliyo nayo kwenye ubongo wake ni tofauti kabisa na uhalisia!
Kukujibu swali lako, nimewahi kusaidia/kujifunza kidogo kuchunga ng'ombe.
Kutafuta ng'ombe walioibwa...hapana.
Si alichozungumza kwa kama kejeli kuhusu kugeuza viatu ni kweli na hiki kitu hutokea endapo wezi wameiba usiku mnene na mapambazuko yakawakuta njiani mara nyingi mbinu zao ni kugawanya mifugo walioiba ama kubadilisha aina ya uvaaji wa makata mbuga yao
Na wakiwapoteza na wakafanikiwa kufika mbali na mifugo(kama michache)huifukia chini hadi usawa wa kichwa kisha huwacha hapo.
Ikipita wiki moja huenda kuwafukua na kitu hukuta mnyama kabadilika rangi na kukonda sana kiasi unaeza kumnunua mwenyewe ulieibiwa....

So vitu vingine kama watu hawajaviishi watabaki kushupaza shingo tu kisa wanapanda ndege ama wanakula kuku wa kisasa huku mjini
 
Dunia ina mambo
 
Nimewahi kukumbwa na hili, bi mkubwa alilia sana! Nilipatikana usiku umeenda, tangu asubuhi nahangaika tu kuzunguka zunguka!
 
Mimi ishantokea mara kibao ila sio kukanyaga majani, nilikua nimekunywa ugimbi
 
This is not a myth, it is true katika jamii yangu hizi stories zipo na can be proved. for instance shamela wangu alienda kutafuta kuni bush within bush(kipindi tunaishi shambani ao alienda polini zaidi kusaka kuni{miyombo tree})
. Alipomaliza kukakata akazitwaa kwa kichwa na kuondoka unfortunately akawa anaenda polini zaidi badala ya kurudi uelekeo wa bandani(hat).
Bahati yake na sisi tulikuwa tunawinda wandege kwa sling(manati) polini. Tunashangaa kwa mbele kumwoma a woman with firewood, kumcheki vizuri broo alikuwa wa kwanza kumtambua(m2 chake hakimpotei). Bro wivu huooo maan alipoulizwa shem alijibu anarudi bandani tena bila wasiwasi yoyote ile. Tukamuuliza nyumbani wapi? akawa sasa yy anatushangaa sisi (ila sisi tulijiamini kuwa hiyo hali haijatukuta) .Tukamwambia tutokapo sisi ndio bandani na tuelekeako pamoja na uelekeo wako ni polini zaidi na sisi tunaenda huko winda wandege. Alitaka kubisha ila ile hali nahisi ilimtoka na ndipo alipopata fahamu na kurudi baadae homa tii hadi kulazwa. Wazee walisema itakuwa jini alitaka kumwangamiza na stori hii ya jini ndio tunayoiamini hadi sasa juu ya shem
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom