Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,625
CCM inataka kuwa na wajinga wengi wa kutosha
na wanavyotangaza kazi kama poliisi kuwa ni ufaulu wa 4.28 basi mwanafunzi wa kidato cha pili akipata hiyo 4.28 anazembea akiamini form four atapata kam ahiyo ili ajiunge na jeshiNi kwenda kukua tu darasani
FACTKwa miaka kadhaa sasa baraza la mitihani ya taifa linatoa matokeo ya kidato cha pili kwa kutumia mfumo wa division tofauti na ule wa miaka ya nyuma wa wastani.Hii tasfiri yake kuwa mwanafunzi akiwa amepata D mbili na F saba au 9 basi anakuwa amefaulu kuendelea na kidato cha tatu na hatimae kuja kuhitimu kidato cha nne, tofauti na miaka ya nyuma ambapo mwanafunzi alitakiwa kupata walau wastani wa D ambayo ilikuwa ni wastani wa 30 ndipo aweze kuendelea na kidato cha tatu.
Sijui ni nani alishauri matumizi ya mfumo huu, kiukweli kuendelea kutumia mfumo huu ni kuandaa wanafunzi watakao kuja kupata division sifuri nyingi katika matokeo ya kidato cha nne, inawezekana vipi mwanafunzi apate D mbili na F zote maana yake anakuwa na division 4.33 akafanana na yule wa miaka ya nyuma aliyepata wastani wa 30? Nini chanzo cha matumizi ya division kwa mitihani ya kidato cha pili? au ndio mpango wa BIG RESULT NOW? au ni ni ile program ya EDUCATION FOR ALL iliyohasisiwa huko Indonesia iliyopelekea kuanzishwa kwa shule za kata?
Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda najua upo makini ni vyema sasa ukaanza na ili kwanza, hawa ni watoto wetu/wadogo zetu kuwapima kwa mfumo wa division ni kujidanganya sisi wenyewe ni heri wafaulu wachache ila matokeo yawe katika ubora unaotakiwa.Tusiogope wanafunzi kukariri madarasa kwa kuhofia kushuka kwa ufaulu wakati tunaharibu mfumo wa elimu kwa kuweka vitu visivyo hakisi maendeleo ya elimu.
Kuandika hapa haitoshi nitakupigia simu na kukuandika ujumbe mfupi Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda na kukueleza hili ,najua fika mtalifanyia kazi.
#ElimuNiYetuSisi
much thanks comrade computerarsenalFACT
Ndiyo maana polisi kama unavyowaona hali zao, CCM inataka watu wajinga wajingana wanavyotangaza kazi kama poliisi kuwa ni ufaulu wa 4.28 basi mwanafunzi wa kidato cha pili akipata hiyo 4.28 anazembea akiamini form four atapata kam ahiyo ili ajiunge na jeshi
kwani hamjui kwamba kidato cha nne ndiyo elimu ya msingi. Siyo la saba tena.Sikuizi sio rahisi kumpata kijana aliyeishia kidato cha pili.
Mtindo huu unasababisha sifuri na division Four nyingi kwenye matokeo ya kidato cha nne.Kwa miaka kadhaa sasa baraza la mitihani ya taifa linatoa matokeo ya kidato cha pili kwa kutumia mfumo wa division tofauti na ule wa miaka ya nyuma wa wastani.Hii tasfiri yake kuwa mwanafunzi akiwa amepata D mbili na F saba au 9 basi anakuwa amefaulu kuendelea na kidato cha tatu na hatimae kuja kuhitimu kidato cha nne, tofauti na miaka ya nyuma ambapo mwanafunzi alitakiwa kupata walau wastani wa D ambayo ilikuwa ni wastani wa 30 ndipo aweze kuendelea na kidato cha tatu.
Sijui ni nani alishauri matumizi ya mfumo huu, kiukweli kuendelea kutumia mfumo huu ni kuandaa wanafunzi watakao kuja kupata division sifuri nyingi katika matokeo ya kidato cha nne, inawezekana vipi mwanafunzi apate D mbili na F zote maana yake anakuwa na division 4.33 akafanana na yule wa miaka ya nyuma aliyepata wastani wa 30? Nini chanzo cha matumizi ya division kwa mitihani ya kidato cha pili? au ndio mpango wa BIG RESULT NOW? au ni ni ile program ya EDUCATION FOR ALL iliyohasisiwa huko Indonesia iliyopelekea kuanzishwa kwa shule za kata?
Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda najua upo makini ni vyema sasa ukaanza na ili kwanza, hawa ni watoto wetu/wadogo zetu kuwapima kwa mfumo wa division ni kujidanganya sisi wenyewe ni heri wafaulu wachache ila matokeo yawe katika ubora unaotakiwa.Tusiogope wanafunzi kukariri madarasa kwa kuhofia kushuka kwa ufaulu wakati tunaharibu mfumo wa elimu kwa kuweka vitu visivyo hakisi maendeleo ya elimu.
Kuandika hapa haitoshi nitakupigia simu na kukuandika ujumbe mfupi Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda na kukueleza hili ,najua fika mtalifanyia kazi.
#ElimuNiYetuSisi
Hatari snkwani hamjui kwamba kidato cha nne ndiyo elimu ya msingi. Siyo la saba tena.
Mambo sasa hivi yanafanyika kisiasa kuficha uozo wa mfumo wetu wa ELIMU. Hakuna mzazi anataka kusikia mwanae amefeli. Na wanasiasa wanajua hili.
Kwa mfumo huu maana yake huwezi kusikia kelele za elimu duni, au kiwango cha elimu kimeshuka.
sahii kabisa mkuuNi ubunifu unaolenga kutafuta sifa za kijinga....
Mtindo huu unasababisha sifuri na division Four nyingi kwenye matokeo ya kidato cha nne.View attachment 2084578
hata hao wachache waliopo hawaipendi kazi yao mkuu, ndio maana muda wa kazi unamkuta kwenye bustani yake ya vitunguuNi mfumo tuu wa kutoa matokeo ,D mbili na F zote hazina tofauti yeyote na wastani wa D, tatizo kubwa shule hazina walimu wa kutosha
Ni ubunifu unaolenga kutafuta sifa za kijinga....
Walimu wametengwa. Hakuna anayewajali.hata hao wachache waliopo hawaipendi kazi yao mkuu, ndio maana muda wa kazi unamkuta kwenye bustani yake ya vitunguu
Siasa siasa tu kila mahali. Tunaua elimu kama utani. F 4 ya juzi eti wastani wa Chemistry ni 92% nacheka kwa sauti.Kwa miaka kadhaa sasa baraza la mitihani ya taifa linatoa matokeo ya kidato cha pili kwa kutumia mfumo wa division tofauti na ule wa miaka ya nyuma wa wastani.Hii tasfiri yake kuwa mwanafunzi akiwa amepata D mbili na F saba au 9 basi anakuwa amefaulu kuendelea na kidato cha tatu na hatimae kuja kuhitimu kidato cha nne, tofauti na miaka ya nyuma ambapo mwanafunzi alitakiwa kupata walau wastani wa D ambayo ilikuwa ni wastani wa 30 ndipo aweze kuendelea na kidato cha tatu.
Sijui ni nani alishauri matumizi ya mfumo huu, kiukweli kuendelea kutumia mfumo huu ni kuandaa wanafunzi watakao kuja kupata division sifuri nyingi katika matokeo ya kidato cha nne, inawezekana vipi mwanafunzi apate D mbili na F zote maana yake anakuwa na division 4.33 akafanana na yule wa miaka ya nyuma aliyepata wastani wa 30? Nini chanzo cha matumizi ya division kwa mitihani ya kidato cha pili? au ndio mpango wa BIG RESULT NOW? au ni ni ile program ya EDUCATION FOR ALL iliyohasisiwa huko Indonesia iliyopelekea kuanzishwa kwa shule za kata?
Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda najua upo makini ni vyema sasa ukaanza na ili kwanza, hawa ni watoto wetu/wadogo zetu kuwapima kwa mfumo wa division ni kujidanganya sisi wenyewe ni heri wafaulu wachache ila matokeo yawe katika ubora unaotakiwa.Tusiogope wanafunzi kukariri madarasa kwa kuhofia kushuka kwa ufaulu wakati tunaharibu mfumo wa elimu kwa kuweka vitu visivyo hakisi maendeleo ya elimu.
Kuandika hapa haitoshi nitakupigia simu na kukuandika ujumbe mfupi Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda na kukueleza hili ,najua fika mtalifanyia kazi.
#ElimuNiYetuSisi
Kwa miaka kadhaa sasa baraza la mitihani ya taifa linatoa matokeo ya kidato cha pili kwa kutumia mfumo wa division tofauti na ule wa miaka ya nyuma wa wastani.Hii tasfiri yake kuwa mwanafunzi akiwa amepata D mbili na F saba au 9 basi anakuwa amefaulu kuendelea na kidato cha tatu na hatimae kuja kuhitimu kidato cha nne, tofauti na miaka ya nyuma ambapo mwanafunzi alitakiwa kupata walau wastani wa D ambayo ilikuwa ni wastani wa 30 ndipo aweze kuendelea na kidato cha tatu.
Sijui ni nani alishauri matumizi ya mfumo huu, kiukweli kuendelea kutumia mfumo huu ni kuandaa wanafunzi watakao kuja kupata division sifuri nyingi katika matokeo ya kidato cha nne, inawezekana vipi mwanafunzi apate D mbili na F zote maana yake anakuwa na division 4.33 akafanana na yule wa miaka ya nyuma aliyepata wastani wa 30? Nini chanzo cha matumizi ya division kwa mitihani ya kidato cha pili? au ndio mpango wa BIG RESULT NOW? au ni ni ile program ya EDUCATION FOR ALL iliyohasisiwa huko Indonesia iliyopelekea kuanzishwa kwa shule za kata?
Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda najua upo makini ni vyema sasa ukaanza na ili kwanza, hawa ni watoto wetu/wadogo zetu kuwapima kwa mfumo wa division ni kujidanganya sisi wenyewe ni heri wafaulu wachache ila matokeo yawe katika ubora unaotakiwa.Tusiogope wanafunzi kukariri madarasa kwa kuhofia kushuka kwa ufaulu wakati tunaharibu mfumo wa elimu kwa kuweka vitu visivyo hakisi maendeleo ya elimu.
Kuandika hapa haitoshi nitakupigia simu na kukuandika ujumbe mfupi Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda na kukueleza hili ,najua fika mtalifanyia kazi.
#ElimuNiYetuSisi
Na huko shule za msingi watoe mitihani ya kujibu kavukavy ili kuchangamsha akili.
Hesabu mnaweka maswali ya kuchagua!
Vi woonder
Hili ndo limeshindikana kabisa au tusubiri Zitto Kabwe atakapokuwa Waziri wa elimu? Yaani Tangu mwanafunzi anaanza la 1 mpaka form 6 Hakuna mahali anapimwa personal development mpaka afike chuo?