Kupigiana simu kwa wanandoa

Ulimtoa wapi huyo mkeo na mimi nikaoe kwenye famili yao.

Huyu mleta uzi ana mapenzi ya mlengo mmoja yaani yeye anataka kupendwa ila yeye kupenda hataki.
Anataka kutimiziwa yeye kutimiza hataki.
 
Taratibu unaanza kuipanda mbegu ya mashaka juu ya penzi la mumeo. Mbegu hii ikipata virutubisho na kustawi ni hatari sana kwa ndoa yenu. Ni vyema ujitahidi uiue hiyo mbegu haraka sana kabla haijaleta madhara.
 
Nina mchumba yupo nje ya nchi,tunachat whatsap,whatsap col,muda mwingine video col
Mimi mvivu kupigiana mara nyingi akipiga anakuta nipo offline
Anachukia maana yeye anapenda kuongea zaidi,mimi napenda kuchat
Ni kawaida kila mtu anavyopenda,sema ndio hivyo binadamu kuhisi tofauti.
Yeye huwa ananihisi vby japo hajasema,wkt mimi ni mwaminifu sana
Najua hata wewe lzm utakuwa unahisi tofauti
 
wala usipanik
even mimi kwa upande wangu ninaenjoi sana kuchat kuliko kumpigia mtu simu,

yani simu zangu ni kwa jambo la maelezo marefu au emergency tu but kama utapiga simu kwa muda mrefu jiandae kuwa the main speaker mie ntakuwa nakusikiliza tu.

ila kuchat utakimbia wewe

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Dada tia salio mpigie wewe . yeye salio lake analitumia kwenye kufanya kukutafutia wewe pesa ishi vizuri wewe tia salio umpgie
 
Sio wote hutongoza kwa namna hiyo usikalili ndgu yangu.

Na pale mwanzo mtu huwa na upofu, huenda hiyo tabia ilikuepo na mwanamke akawa ndie alikua anapiga sim sana.

Ila kwasababu ya external factors kaanza kuhisi kua kuna tatizo. Huenda upendo juu ya mwamba umepungua anaanza kutafuta sababu, ni mpweke hivyo anahisi hapendwi au mwamba ana mtu mwingine huko.
 
Ulimtoa wapi huyo mkeo na mimi nikaoe kwenye famili yao.

Huyu mleta uzi ana mapenzi ya mlengo mmoja yaani yeye anataka kupendwa ila yeye kupenda hataki.
Anataka kutimiziwa yeye kutimiza hataki.
Nilibahatika tu ndugu yangu, nahisi ni bahati tu kumpata.
 
communication is the two way system, ushanielewa, waeleewshe na wenzako,!
 
Dah...brathee Nilijua Niko alone kwenye Dunia hii...the same to me..kupiga simu dah...labda niwe barabaran..nikiwa home au job sina hio mood...simu yangu kila siku naweka megabundles na DK ziko za kumwaga kuongea mpaka mwezi ila sio mpenzi at all
 
Wee ishi tuu hizi ndoa ukizifuatilia Sanaa utakuwaa kichaaaa....Tena Kama mpoo muda mrefuuu ndioo kabisaa mnachukulianaa poaa tuuu..
 
Kwanini mambo yetu ya ndani unaleta huku mtandaoni,tambua mitandao ina haribu sana ndoa mke wangu nilisha kuambia na kukukanya lakini bado huelewi kwanini lakini,hutoona simu zangu tena kwako.
 
Hata mieee sioo mtu wa kupiga simu...ni mvivuu kuongeaaa hivyoo watuu tunatofautianaa sana
 
Frequence ya kupigiana simu kati ya wapenzi AU wanandoa inategemeana na haya yafuatayo, yote au mojawapo;
1. Ndoa yenu ina muda gani?
2. Mahusiano yenu kwenye mawasiliano yalikuwaje hapo kabla?
3. Mna formula yoyote mnayoifuata kwenye kuwasiliana? Let say, kila asubuhi, mchana na jioni AU mara moja kwa siku au zaidi ya hapo?
4. Nani huwa anaanza kumpigia mwenzie siku zote?

NB: Ndo hazina formula moja. Wengine hukaa muda mrefu au hupigiana simu panapokuwa na jambo kubwa tu..!! Kuna ndoa nyingine, wao ni kama mapenzi ya form two, zile za bebi umekula, poleeee..!!
 
Ukiona hapigi piga wewe mbona sinple si mmeo huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…