Kupigiana simu kwa wanandoa

Kupigiana simu kwa wanandoa

Labda nianze kwa kukuuliza swali, je hapo awali alikua ana kupigia pigia au amebadilika alipoenda huko!? Mda mwingine unaweza kuwaza negative kumbe ndo life style yake wako ambao hawapendi kuchat wanapenda kuongea na wapo ambao hawapend kuongea wanapenda kuchat so before you judge him jarib kuangalia kma ame change au ndo alivo

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Habarini za asubuhi wakuu, natumai ni wazima sana. Leo nina swali kwa wanandoa au wenye mahusiano ya mbali, mimi mume wangu siyo kwamba anafanya kazi nje ya mkoa ila amesafiri kikazi kwa muda tu ana kama karibia miezi 2.

Ila mwenzangu huyu hapigi simu ni ujumbe tu, sasa mimi hicho kitendo kinaniudhi sana na akipiga kidogo utasikia dk. zimeisha, sasa najiuliza dk. zimeisha anaongea na kina nani?

Sasa swali langu kwa wanandoa hasa wenye upendo na wake/waume/wapenzi wao, wanaweza kaa hata siku 3 bila kumpigia simu mwenza wake, yaani ni kawaida au kuna shida pahala?

Naomba maoni yenu hasa kwa wanaume waliokuwa makini na wake/wapenzi wao, namaanisha wenye upendo wa Agape.
TATIZO LINAANZIA KUANZIA KABLA YA NDOA... JE ALIKUWA AKIFANYA HIVYO PAMOJA NA KAZI? KAMA HAKUWA AKIFANYA HIVYO... BASI THE HONEYMOON IS OVER... YULE WA MWANZO ALIKUWA MSANII... HUYU WA SASA NDIO REAL...

LAKINI NO MATTER WHAT... SIO SUALA LA UVIVU KUPIGA SIMU OR ELSE... NI SUALA LA PRIORITIES...

NI LAZIMA ATAKUWA ANASHIKA SIMU TU... JE AKISHIKA SIMU NI NANI WA KWANZA PRIORITY YAKE KUMPIGIA...

LAZIMA KUNA PRIORITY KUBWA KULIKO WEWE... NI SUALA LA PRIORITIES... SIO UBUSY WALA NINI...?

NI MAWILI UENDE... AU UPUUZIE NA UVUMILIE...

NDIO MADHARA YA KUPENDEA MTU KWA AJILI PESA AU KAZI YA MTU... VUMILIA TU.

NI NADRA SANA PESA NA MAPENZI KUKUSANYIKA KWA MTU MMOJA.
Hiyo kanuni ya kimaumbile.
 
Aisee acha utoto, kwani sauti yako haijui. Kwenye ndoa au mahusiano ya muda mrefu huo ujinga nauchukia, inathibitisha bado unafikiri mapenzi tu. Akija mjinga mwingine akikutingisha kihisia kidogo tu basi utaiacha familia yako. Grow up
Mapenzi ni utoto kama ulikuw hujui, be romantic bro. Ubabe waachie wajeda unless you are the one
 
Mapenzi ni utoto kama ulikuw hujui, be romantic bro. Ubabe waachie wajeda unless you are the one
Mapenzi mwisho uchumba, ndoa ni majukumu. Ndoani unawatoto nawewe unataka kuleta utoto sasa nani amlee nani😂😂😂. Hauli mapenzi, huishi ndani ya mapenzi wala kuyavaa mapenzi so acha utoto ili ulee watoto na ndoa. Romance nineno umelitoa kwawazungu unataka uwaige😂😂😂, uchumi wanchi wala hali ya maisha nchini mwetu hairuhusu hayo mambo sista so ishi Tanzania sio kwenye tamthilia.
 
Back
Top Bottom