beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
- #101
AsanteDaaah pole sana.
AsanteDaaah pole sana.
Nahis hujaelewa uziSasa unalalamikaje issue ya dakika
Miaka 2 tuWee ishi tuu hizi ndoa ukizifuatilia Sanaa utakuwaa kichaaaa....Tena Kama mpoo muda mrefuuu ndioo kabisaa mnachukulianaa poaa tuuu..
Kwanini mambo yetu ya ndani unaleta huku mtandaoni,tambua mitandao ina haribu sana ndoa mke wangu nilisha kuambia na kukukanya lakini bado huelewi kwanini lakini,hutoona simu zangu tena kwako.

sio mwandiko wake huuMarekebisho kidogo upendo wa agape sio upendo wa kimahaba yaani kati ya wapendanao kama mume na mkeHabarini za asubuhi wakuu, natumai ni wazima sana. Leo nina swali kwa wanandoa au wenye mahusiano ya mbali, mimi mume wangu siyo kwamba anafanya kazi nje ya mkoa ila amesafiri kikazi kwa muda tu ana kama karibia miezi 2.
Ila mwenzangu huyu hapigi simu ni ujumbe tu, sasa mimi hicho kitendo kinaniudhi sana na akipiga kidogo utasikia dk. zimeisha, sasa najiuliza dk. zimeisha anaongea na kina nani?
Sasa swali langu kwa wanandoa hasa wenye upendo na wake/waume/wapenzi wao, wanaweza kaa hata siku 3 bila kumpigia simu mwenza wake, yaani ni kawaida au kuna shida pahala?
Naomba maoni yenu hasa kwa wanaume waliokuwa makini na wake/wapenzi wao, namaanisha wenye upendo wa Agape.
Ushauri mzuri sana, i wish ungemfikia pia wife... naufoward kama ulivyo aupate...Nikuambie tu Mkuu, kama mnawasilianakwa namna hiyo inatosha. Mambo ya ndoa yanautata sana, kuna jambo ambalo nyie mnavyolifanya na mnaliona la kawaida na huenda upendo upo ila mtu mwingine hapa JF atakuambia oooh mara unaibiwa mara blah blah..! Kwahiyo kama mnawasiliana kwa namna hiyo na hakuna shida nyingine acha kuyakuza bidada.
Jambo jingine nikuombe wewe na wanawake wenzako, kwa asili nyie wenzetu huwa mnapenda kutendewa zaidi ila kwenye kutenda ni zero. Nianze na jambo la kupigiana simu, hivi kwenye mahusiano kuna mahali imeandikwa mwanaume tu ndio anatakiwa kupig simu?? Unapoona yulo kimya jiunge dakika mpigie muongee vya kutosha sio lazima wewe tu ndio upigiwe. Hii tabia haya mke wangu anayo, niliwahi kumwambia wazi kama nimivyoandika hapa. Nashukuru Mungu amebadilika. Huwa anapiga tunaongea vya kutosha tu na mimi ikitokea ninazo dakika nampigia bidada tunaongea mpaka dakika zinaisha.
Sasa wewe ukiona yuko kimya, jiunge dakika 100 za mitandao yote alfu mpigie.
Alfu kusema, hizo dakika zinaloisha unajiuliza anaongeaga na nani zinaisha!?? Hivi kwanj kwenye simu yake ipo namba yako tu!?? Acha wivu wa kishamba utakufa mapemA na nimeona unapenda kuyakuza mambo, ohooo utaugua pressure muda si mrefu.
Haya sawa mkuu! Nilitaka huyu anajiita! beautifulonyinye apate ujumbe huu maana yeye anawakilisha kundi kubwa la wanawake wanaopenda kutendewa utadhani mahusiano ni ya mwanaume pekee.Ushauri mzuri sana, i wish ungemfikia pia wife... naufoward kama ulivyo aupate...
Unazungumzia muvi gani hii mkuu!??Kwa kipindi chote tulichokua pamoja hadi leo hii n kama tabia. Nkiamka asubuh lazma nimpigie haijalishi n mda gani. Na yeye pia hvo hvo in case akiamka before me.
After that ni mchana nkipata lunch break kazini lazma nimcheki mama watoto tuyajenge kidogo. Nkimaliza hapo ni usiku before sijalala (most times usiku anapiga yeye coz hua anazima mapema).
Personally sio mpenz wa kupiga sim lakn napiga because najua inampa faraja mwenzangu, so sioni shida. Na mara nyingi hata dk 10 za maongez hazifiki lakn yeye anaridhika.
Hata kama niko busy vipi, ntatafta hata dk 5 maybe nkiwa naenda msalani kumcheki kujua anaendeleaje then nakata waya nafanya mambo mengine.
Its all about priorities
Hyo ni life ya kila siku. Might seem as a movir for u, pole.Unazungumzia muvi gani hii mkuu!??
Kwa hiyo Jimbo liko wazi😂😂Mi tulianza ivoivo mpaka penz likafa, yaan anaanza simu, atakuja kukaa miez 6, mwisho atakuja na sababu nachoka sana ivo ndo maana sijisikii kusex Leo.
Watu hubadilika


, nimesemwa najikuta najitahidi ila siwezi.kwahiyo Baba haungei nae10% simu za kazi
70% ya mawasiliano yangu ya simu naongea na mke wangu na watoto.
10% naongea na mama yangu mzazi.
10% ndugu zangu jamaa na marafiki
Sent using Jamii Forums mobile app

Yeah,ivo yaanKirahisi rahisi kama hivo tu mkaachana kila mtu akashika njia yake!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole ya nini tena kiongozi, huo upotoshaji wako wa kimandazi ku win akili za wadada wahapa Jf unazani zinanipa shida!?? Eti poleee, tuliza usimbe wako huko.Hyo ni life ya kila siku. Might seem as a movir for u, pole.
Umeachwa we umeachwaaaHabarini za asubuhi wakuu, natumai ni wazima sana. Leo nina swali kwa wanandoa au wenye mahusiano ya mbali, mimi mume wangu siyo kwamba anafanya kazi nje ya mkoa ila amesafiri kikazi kwa muda tu ana kama karibia miezi 2.
Ila mwenzangu huyu hapigi simu ni ujumbe tu, sasa mimi hicho kitendo kinaniudhi sana na akipiga kidogo utasikia dk. zimeisha, sasa najiuliza dk. zimeisha anaongea na kina nani?
Sasa swali langu kwa wanandoa hasa wenye upendo na wake/waume/wapenzi wao, wanaweza kaa hata siku 3 bila kumpigia simu mwenza wake, yaani ni kawaida au kuna shida pahala?
Naomba maoni yenu hasa kwa wanaume waliokuwa makini na wake/wapenzi wao, namaanisha wenye upendo wa Agape.

@LodymusicKama Kansa unakufa taratibuMi tulianza ivoivo mpaka penz likafa, yaan anaanza simu, atakuja kukaa miez 6, mwisho atakuja na sababu nachoka sana ivo ndo maana sijisikii kusex Leo.
Watu hubadilika

Kuna MTU ananisugua mkuuKwa hiyo Jimbo liko wazi😂😂