Kupigiana simu kwa wanandoa

Kupigiana simu kwa wanandoa

Habarini za asubuhi wakuu, natumai ni wazima sana. Leo nina swali kwa wanandoa au wenye mahusiano ya mbali, mimi mume wangu siyo kwamba anafanya kazi nje ya mkoa ila amesafiri kikazi kwa muda tu ana kama karibia miezi 2.

Ila mwenzangu huyu hapigi simu ni ujumbe tu, sasa mimi hicho kitendo kinaniudhi sana na akipiga kidogo utasikia dk. zimeisha, sasa najiuliza dk. zimeisha anaongea na kina nani?

Sasa swali langu kwa wanandoa hasa wenye upendo na wake/waume/wapenzi wao, wanaweza kaa hata siku 3 bila kumpigia simu mwenza wake, yaani ni kawaida au kuna shida pahala?

Naomba maoni yenu hasa kwa wanaume waliokuwa makini na wake/wapenzi wao, namaanisha wenye upendo wa Agape.
Akiishiwa dakika, mpigie wewe.
 
Ngoja nijaribu kukupa ushauri mdogo tu, kwanza hakuna formula katika haya mambo kwa maana hakuna hili sawa na hili sio sawa. Wanandoa kawaida mnajuana tabia kwa mambo mengi na simu mojawapo unaweza kujuwa mwenzako anapenda nini na tabia zake ni zipi. Wako watu hawapendi kuongea sana tu sio kwa sababu hawana mapenzi. Lakini pia kuna watu wanakimbia maongezi kwa kuogopa kusikia jambo labda huwa halipendi kusikia na wewe ndio kwanza unamwambia wako watu wanakimbia majukumu. Lakini kikubwa je hizi ni tabia zake au ni kitu kipya? kama ni tabia zake basi puuzia kama ni tabia mpya ni vizuri ukamuuliza kwa vizuri tu au wewe mpigie uone atatoa sababu gani za kukata maongezi lakini na maongezi yawe mazuri sio mtu akisikia simu tu anaogopa nini tena? anaona kama gubu hivi maongezi matamu taratibu atarudi kwenye mstari. Kwa ufupi hakuna formula kuna watu wanaongea hata mara 4 kwa siku na wana cheat na wako mara moja wako vizuri tu wewe amua formula yenu ya mawasiliano usi copy ya mwingine.
Asante sana nimekuelewa
 
Habarini za asubuhi wakuu, natumai ni wazima sana. Leo nina swali kwa wanandoa au wenye mahusiano ya mbali, mimi mume wangu siyo kwamba anafanya kazi nje ya mkoa ila amesafiri kikazi kwa muda tu ana kama karibia miezi 2.

Ila mwenzangu huyu hapigi simu ni ujumbe tu, sasa mimi hicho kitendo kinaniudhi sana na akipiga kidogo utasikia dk. zimeisha, sasa najiuliza dk. zimeisha anaongea na kina nani?

Sasa swali langu kwa wanandoa hasa wenye upendo na wake/waume/wapenzi wao, wanaweza kaa hata siku 3 bila kumpigia simu mwenza wake, yaani ni kawaida au kuna shida pahala?

Naomba maoni yenu hasa kwa wanaume waliokuwa makini na wake/wapenzi wao, namaanisha wenye upendo wa Agape.
Kwanini na wewe usinipigie simu? Wanawake wa kibongo hovyo sana aisee kwahiyo unataka mimi ndiyo nikupigie? Tu kila mara?
 
Kwa kipindi chote tulichokua pamoja hadi leo hii n kama tabia. Nkiamka asubuh lazma nimpigie haijalishi n mda gani. Na yeye pia hvo hvo in case akiamka before me.
After that ni mchana nkipata lunch break kazini lazma nimcheki mama watoto tuyajenge kidogo. Nkimaliza hapo ni usiku before sijalala (most times usiku anapiga yeye coz hua anazima mapema).
Personally sio mpenz wa kupiga sim lakn napiga because najua inampa faraja mwenzangu, so sioni shida. Na mara nyingi hata dk 10 za maongez hazifiki lakn yeye anaridhika.
Hata kama niko busy vipi, ntatafta hata dk 5 maybe nkiwa naenda msalani kumcheki kujua anaendeleaje then nakata waya nafanya mambo mengine.
Its all about priorities
 
That's the true meaning of real gentleman hongera mkuu atleast unafanya kinachompa faraja mkeo unlike wengine wanataka mashindano et kama hajapiga piga ww afu as the same time dk zako unaongea na watu wengine
 
Kwa kipindi chote tulichokua pamoja hadi leo hii n kama tabia. Nkiamka asubuh lazma nimpigie haijalishi n mda gani. Na yeye pia hvo hvo in case akiamka before me.
After that ni mchana nkipata lunch break kazini lazma nimcheki mama watoto tuyajenge kidogo. Nkimaliza hapo ni usiku before sijalala (most times usiku anapiga yeye coz hua anazima mapema).
Personally sio mpenz wa kupiga sim lakn napiga because najua inampa faraja mwenzangu, so sioni shida. Na mara nyingi hata dk 10 za maongez hazifiki lakn yeye anaridhika.
Hata kama niko busy vipi, ntatafta hata dk 5 maybe nkiwa naenda msalani kumcheki kujua anaendeleaje then nakata waya nafanya mambo mengine.
Its all about priorities
Nimekupenda bure
 
Back
Top Bottom