beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
- #141
Asante sana nimekuelewa mkuuNazidi kujifunza kila siku. Wengi wetu hii mitandao tunaichukua kama kuenjoy na tunapita lakin naamin kama uko conscious utazidi kubadilisha mtazamo juu ya mambo mengi.
Nilikuaga mtu mwenye pride sana yani ile ile. Nilikua kama wewe ndugu mleta mada. Kungoja kutumiwa message..kungoja kupigiwa..na tena namaind kabisa nisipotafutwa..tables turned aisee. Mbona nilinyooka.
Nikajifunza maturity is a very complex topic. Kuna mengi ya kubeba na kuacha along the road. Kuna mwandish aliandika akasema kama unaona mtu umeshasema juu ya jambo fulan na habadiliki badilika wewe.
Mpaka kumkubali kuwa nae it means alifit kwenye vigezo vya kuwa mume wako. Na uliahidi meng madhabahuni dada mzuri. Kwaiyo hii ndo katika shida yenyewe. Naomba umpende kama alivyo msela..usimuache. change your perception. Unapata vocha mpigie..muongee. inakuuma ongea nae mwambie. Asipobadilika badilisha mtazamo. Ona ni kitu cha kawaida kabisa. Kama anafanya majukumu yake na kukupenda ila hilo tu ndo dhaifu..basi mbebe...ndo dhaifu lake. Kama katika 100% ana 80% hiyo 20% ndo wewe sasa utaicover..
Usimfananishe na wanaume wengine eti kisa umeona fulan anapigiwa au flani alikua anampigia mpenzi wake basi na wewe unataka ufanyiwe ivo. Love sio pie (3.14) kwamba inafanana duniani kote. Kila mmoja ana namna anavyoexpress penz lake. Nakuaminia dada....be smart, be unique. Be more than ruby.
