To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 19,213
- 34,455
ThubutuTutalifufua kwa Mafuta ya Upako
ThubutuTutalifufua kwa Mafuta ya Upako
SadMm tunawasiliana through sms lkn no call yaani hata ile kumiss sauti ya mke wake?
Yaan ilikuwa balaa
Nakubaliana na wewe Mkuu, ila mtu anayejikosha hapa eti ni jambo la priority, mmh like serious!? Yaani eti kila ambaye anakua hakupigii simu mara kwa mara hajakuoa priority!?? Big No.Aiseee....!!!
Mimi mvivu kuwasiliana mara Kwa mara pia na ni Ke. Nimevumiliwa nimechokwa, nimesemwa najikuta najitahidi ila siwezi.
So naweza sema labda kapata wa kumpigia na kumtext atakavyo au kaamua kunizoea.
Nawasiliana kukiwa na shida maalum inayohitaji kufanya hivyo na pia ni kutuma tu text, Kwa kweli kupiga ni mara chache mnoooooooo yaweza mwezi upite sijapiga.
Jamani muda wa kumisiana upatikane pia
Asipopiga simu piga wewe, akisema ameishiwa salio mpigie wewe. Uhai wa mahusiano yenu ni mawasiliano yenye afya.Habarini za asubuhi wakuu, natumai ni wazima sana. Leo nina swali kwa wanandoa au wenye mahusiano ya mbali, mimi mume wangu siyo kwamba anafanya kazi nje ya mkoa ila amesafiri kikazi kwa muda tu ana kama karibia miezi 2.
Ila mwenzangu huyu hapigi simu ni ujumbe tu, sasa mimi hicho kitendo kinaniudhi sana na akipiga kidogo utasikia dk. zimeisha, sasa najiuliza dk. zimeisha anaongea na kina nani?
Sasa swali langu kwa wanandoa hasa wenye upendo na wake/waume/wapenzi wao, wanaweza kaa hata siku 3 bila kumpigia simu mwenza wake, yaani ni kawaida au kuna shida pahala?
Naomba maoni yenu hasa kwa wanaume waliokuwa makini na wake/wapenzi wao, namaanisha wenye upendo wa Agape.
Sawa mkuuTafuta kibenten akuondolee utoko, itaziba alfu uugue ufe uzikwe ikiwa nzima ina kilometa chache.
Well said Juan! Sending my hugNazidi kujifunza kila siku. Wengi wetu hii mitandao tunaichukua kama kuenjoy na tunapita lakin naamin kama uko conscious utazidi kubadilisha mtazamo juu ya mambo mengi.
Nilikuaga mtu mwenye pride sana yani ile ile. Nilikua kama wewe ndugu mleta mada. Kungoja kutumiwa message..kungoja kupigiwa..na tena namaind kabisa nisipotafutwa..tables turned aisee. Mbona nilinyooka.
Nikajifunza maturity is a very complex topic. Kuna mengi ya kubeba na kuacha along the road. Kuna mwandish aliandika akasema kama unaona mtu umeshasema juu ya jambo fulan na habadiliki badilika wewe.
Mpaka kumkubali kuwa nae it means alifit kwenye vigezo vya kuwa mume wako. Na uliahidi meng madhabahuni dada mzuri. Kwaiyo hii ndo katika shida yenyewe. Naomba umpende kama alivyo msela..usimuache. change your perception. Unapata vocha mpigie..muongee. inakuuma ongea nae mwambie. Asipobadilika badilisha mtazamo. Ona ni kitu cha kawaida kabisa. Kama anafanya majukumu yake na kukupenda ila hilo tu ndo dhaifu..basi mbebe...ndo dhaifu lake. Kama katika 100% ana 80% hiyo 20% ndo wewe sasa utaicover..
Usimfananishe na wanaume wengine eti kisa umeona fulan anapigiwa au flani alikua anampigia mpenzi wake basi na wewe unataka ufanyiwe ivo. Love sio pie (3.14) kwamba inafanana duniani kote. Kila mmoja ana namna anavyoexpress penz lake. Nakuaminia dada....be smart, be unique. Be more than ruby.
. Kuna mtu hapo anataka kumpotosha eti kwamba ni suala la priority tu. Tuko tofauti tofauti, kila mmoja anayomazuri na madhaifu yake. Na ukiishi kwa kulinganisha hakika ndoa yao itakua ya shida. Unakuta analinganisha vile Bodaboda anavyompigia mara kwa mara zaidi hata ya mume wake, so sad.Acha kuficha Jimbo hiloo😂Kuna MTU ananisugua mkuu
My nigga, take a chill pill.. mbona povu sana Negro? Nan kakushika wezere?Nakubaliana na wewe Mkuu, ila mtu anayejikosha hapa eti ni jambo la priority, mmh like serious!? Yaani eti kila ambaye anakua hakupigii simu mara kwa mara hajakuoa priority!?? Big No.
Na suala la kuwasiliana kwa simu wakati fulani linategemeana mambo mengi;
Mosi, Kazi unayofanya: Kuna makampuni simu huwa zinakabiziwa unapoingia na kupewa unapotoka kazini. Huyu anayefanya kazi za namna hii unaweza kumweka kwenye kundi la watu ambao hawajakupa kipaumbele.
Mbili, Wote mko na kazi au mmoja ana kazi mwingine mama wa nyumbani!?? Mgu ambaye hana kazi muda mwingi atapenda muongee sana labda masikini kijana wa watu kazi za qatu zinakuchosha sana unajikuta hata mood ya kuongea sana haipo lakini mwenzio akiwa hana akili kama huyu bata Bangida atasema hujampa kipaumbele. Kumbe masikini, unampenda na unampa kipaumbele sana ila sema mambo ni mengi na majukumu ya nyumbani yanakuchosha.
Tatu, Mapenzi ya kipindi tu mmeanza huwa yako moto na hiki anachokiandika huyu jamaa Bangida kinawezekana. Kila muda mtaongea na kuwasiliana mara kwa mara lakini mkisha zoeana kuna zile simu mnaongea lakini pia mnapeana space kwa ajili ya kila mtu kufanya kazi.
Kitu kibaya ambayi naweza ikuchukulia kitu hatari ni ile siku nzima imepita mwenzako hajakupigia hata mara mojana zinapita siku mbili au tatu. Na kimgine tutofautishe mapenzi ya majobless na watu ambao wanahangaika kutafuta mkate. Texting au Calls zinatosha kuwa means nzuri za kupashana taarifa na kujuliana hali.
The middle finger suits you idiot! Upinde wa mvua wewe, kama wewe unashikwa tako na kupakuliwa tope tulia huko huko. Nifuate PM for what reason!? Sikatai uko kwenye mahusiano cuz unatako laini ambalo huwa wanaume wanakupapasa ndio maana kimekua kitu cha kwanza kukiwaza. Stupid man is as alway a stupid. Kalia gunzi kama unaona Bwana ako hakutoshi maana naona u awashwa na unakuja na pigo zako za kiboya. Eti, it's matter of priority. PeriodMy nigga, take a chill pill.. mbona povu sana Negro? Nan kakushika wezere?
Ishu n kwamba you are blabbing arnd maneno meeengi bila point ya msingi.
U mean to tell me kwenye siku ya masaa 24 unakosa 15 minutes za kuongea na mtu?
As i said, most calls ha,ifiki hata dk 5, but its a way to show someone kua pamoja na kua uko na hectic day, u stil thinkin about them.
So mkuu, il be honest with you, im not here kutafta bebez, im in a happy relationship kwa muda mref sana na sio tabia yangu kutafta mahusiano mtandaoni. Kama umetoswa huko PM ni wewe mkuu.
Pambana na shida zako
Well said..nimegain tena kwa point hii braza. Maisha yana namna yanatuhumble. Sometimes tunajikuta tuna principles..sijui ndo levels...tunasepa from reality.Well said Juan! Sending my hug. Kuna mtu hapo anataka kumpotosha eti kwamba ni suala la priority tu. Tuko tofauti tofauti, kila mmoja anayomazuri na madhaifu yake. Na ukiishi kwa kulinganisha hakika ndoa yao itakua ya shida. Unakuta analinganisha vile Bodaboda anavyompigia mara kwa mara zaidi hata ya mume wake, so sad.
Things iv noticed.The middle finger suits you idiot! Upinde wa mvua wewe, kama wewe unashikwa tako na kupakuliwa tope tulia huko huko. Nifuate PM for what reason!? Sikatai uko kwenye mahusiano cuz unatako laini ambalo huwa wanaume wanakupapasa ndio maana kimekua kitu cha kwanza kukiwaza. Stupid man is as alway a stupid. Kalia gunzi kama unaona Bwana ako hakutoshi maana naona u awashwa na unakuja na pigo zako za kiboya. Eti, it's matter of priority. Period
View attachment 2412548
Stupid young man, come sit on middle finger mf.Things iv noticed.
1. You are a weak man who seeks validation and attention thru kutukana watu. A real man argues with facts n not curses. Usiendelee kujiaibisha in public
2. Watever i said, made you realize your insecurities and why you have been failing kwenye relationships zako. Thats why imekuuma.
So, i wont sit here n argue with you. Do wat you want n speak wat u want.
Come a d eat my shit you little shit of Pig. Eti you are weak, come in person and see how am gonna satisfy your two holes(mouth n butThings iv noticed.
1. You are a weak man who seeks validation and attention thru kutukana watu. A real man argues with facts n not curses. Usiendelee kujiaibisha in public
2. Watever i said, made you realize your insecurities and why you have been failing kwenye relationships zako. Thats why imekuuma.
So, i wont sit here n argue with you. Do wat you want n speak wat u want.
) to the Hell. Don't ever reply to me you mf
umefunga uzi kweli hata mm nina tabia hiyoKuna wTu wavivu kupiga simu. So kwa ufupi Uwe unampigia simu ww
Poleee mkuu, i awezekana kuna sababu kwanini upo hivyo.Mimi sipendi kupokea simu, yani sipendi nadhani kuna watu walishachoka kunipigia
Sababu kama ipo basi bado sijaijua. Lakini mwanzo nilianza kupenda kupiga simu mimi na siyo kupigiwa badae nikaanza kuwa mvivu kupiga na hatimae nikaacha kabisa. Texts ndo kabisa mvivu kujibu. Sasa hivi napiga simu nikiwa nashida ya MUHIMU SANA, kupokea mara nyingi napokea namba ngeni maana nimeapply sana kaziPoleee mkuu, i awezekana kuna sababu kwanini upo hivyo.