Kupewa mara moja tu kwa mwezi...

Nakuonea huruma, anatakiwa kama hayupo kwenye period na aumwi, kila mnara unapopata net anatakiwa apokee mawasiliano nasii vinginevyo, ila akikuzingua mfanye encuberter yakutotoa watoto alafu plan njia nyingine ya hiyo kitu kadiri utakavyoona inafaa, ingekuwa mara moja kwa siku poa ila moja kwa mwezi, kama ni mimi ninavyopenda tunda la mke wangu ningekuwa kila siku nalia kama mtoto mdogo hadi anipe,, ,,,, ushaona mtoto anadai nyonyo/ fanya hivyo
 
Naombeni msaada zaid wa kisaikoloji, coz ninapoomba wakati huo mnara unakuwa uko active hata akiniona ananiambia nenda kaoge mnara utapoteza network tu, najiuliza au ni mimi ndo nna matatizo na je ningekuwa sisimamishi pia si angenikimbia? UNAJUA NIMEKUWA NA TATIZO LA KUKOSA USINGIZI SIJUI KWA NINI. Msinichoke wajameni nisaidieni vinginevyo ntafute substitution. Uwezo huo ninao coz am still payable and handsome.
 
Ebu mtoe outing moja kali mkae huko the whole day, jitahidi umfurahishe kadiri uwezavyo, na jitahidi kufanya hivyo mara kwa mara katika maeneo tofauti ili kubadilisha mazingira. Kama ameanza kuchoka na ndoa atabadilika. Pengine anachoka sana na kazi ingawa anatakiwa kuwa na hekima zaidi ili kulinda ndoa, sasa nawe jitahidi kuangalia tatizo ni nini, aidha ombea ndoa yenu na muombee na yeye ili pendo la kwanza lirudi, pole sana na Mungu atakusaidia
 
Habari zenu wana jf, nimeoa na nina miaka 4 ya ndoa yangu, kadri siku zinavyokwenda napunguziwa dozi ya mapenz, zilizopita ilikuwa 5 mpaka 6 per month sasa hivi ni 1per month na anakua mkali yaani mpaka nibembeleze kama naomba employment ukipewa unaambiwa utapata tarehe kama hi next month nampenda sitaki kumsaliti naheshim ndoa yangu. Naombeni ushauri nifanyaje walau niongeze doz.
Pole sana mkubwa.
Maoni yangu hayana tofauti na ya wenzangu hapo juu, wanaosema kwamba mkae mzungumzie tatizo hilo na mkeo. Kwa kuwa wahusika wakuu wa kadhia hiyo ni nyie wawili, then kaa na mkeo muulize shida ilipo ili mjua namna ya kutanzua shida hiyo.
 
je huko nyuma b4 ndoa alikuaje? je mlido wakat hamjafunga ndoa, dozi ilikuaje? hiyo background itanipa mwanga wa kukushauri...je ni mlokole? maana kuna watu hufika mda hupata idea conflict kwamba tendo la ndoa ndo dhambi kubwa....pia kuna 7bu kibao zisabishazo bt background inamata zaidi
 
Sijaingia kwenye ndoa,ila kwa experience yangu ya mahusiano,naona hakuna kitu kikubwa baina ya watu wawili,wenye fikra tofauti,kama mawasiliano.
Na mawasiliano yakiharibika basi maelewano yatapotea.
Jaribu kutengeneza mawasiliano mazuri na mkeo ili aweze kuwa muwazi kwako.
Maana asipokuwa muwazi kwako,ni vigumu kutambua tatizo kwa haraka.
Jitahidi kuwa mvumilivu baba eeh,utasolve tu hilo tatizo...
 
je huko nyuma b4 ndoa alikuaje? je mlido wakat hamjafunga ndoa, dozi ilikuaje? hiyo background itanipa mwanga wa kukushauri...je ni mlokole? maana kuna watu hufika mda hupata idea conflict kwamba tendo la ndoa ndo dhambi kubwa....pia kuna 7bu kibao zisabishazo bt background inamata zaidi. BEFORE MAMBO YALIKUA MAZURI NA UNYUMBA ILIKUWA SAFI. SIJUI NI SHETANI GANI KAINGILIA NDOA YANGU.
 
Habari zenu wana jf, nimeoa na nina miaka 4 ya ndoa yangu, kadri siku zinavyokwenda napunguziwa dozi ya mapenz, zilizopita ilikuwa 5 mpaka 6 per month sasa hivi ni 1per month na anakua mkali yaani mpaka nibembeleze kama naomba employment ukipewa unaambiwa utapata tarehe kama hi next month nampenda sitaki kumsaliti naheshim ndoa yangu. Naombeni ushauri nifanyaje walau niongeze doz.

Jifunze kula mua aisee itapunguza presha.. Kwa maelezo zaidi watafute CHAWAPUTA..
 
Hilo ni tatizo la wanawake wengi sana kwenye ndoa. Nasema hivi sababu hata mie yalianza kutokea, nikampa yellow card aende kwao mamake aliponiuliza nikamuelezea aliona aibu kubwa na kumsema mwanae aliporudi mashine naikamua kwa raha zangu! In short wanawake hujisahau pia, hiyo ndo maana huleta nyumba ndogo, yani hajiulizi we mwanaume wake mwezi mzima unapuchua wapi? Huyo anakutafutia lawama au maukimwi tu. Ila mchunguze anaweza akawa anamtu anampuchua nae wanawake wakinogewa husahau mazee, nasema hivi kwani yote yanawezekana mkuu, chunguza sana, haiwezekani mwezi! Du!
 
Inawezekana mwanamke ndiye mwenye uwezo wa kuiendesha familia kifedha wewe huna kitu, ila kama wewe ndiye mwezeshaji inatakiwa mkeo afundwe, malezi ya siku hizi hawa wanawake hawafundwi kwahiyo hawajui majukumu yao kinyumba hawajui kwa mwanaume mapenzi ni physical needs and is determined by biological factor tofauti kabisa na wao.
 
kama unabembeleza kama unaomba emplyment na unanyimwa basi hau-qualify kwenye hiyo position!!!:bange:
hahahahaaaaa!!!............pole sana, katafute kazi inayokufaaa.........!!!!:happy:


Ahhaaaa hii nayo kali!!
Duh!
 
Young_Master wangu, nitakupa each our bby wangu, mpaka ukinai mwenyewe! lolest! pole kaka mwaya mi no comment kwako jamani kha!

Kwa jinsi tunda lako lilivyo sidhani kama nitaishiwa hamu ya kulila cacico. Nitalila kila siku hadi pale kifo kitakapotutenganisha.
 
Last edited by a moderator:
utarudisha wangapi?inabidi huyo mwanaume akae chini ajiulize kulikoni mwanamke ambae awali walikuwa wanapeana mara tano au sita ,sasa hivi ni mara moja tu kwa mwezi,mimi nakuomba safari ijayo mkiwa mnaduuu mpe tofauti na aivyozoea,badilisha jinsi ya kufanya mapenzi ili akuone mpya kidogo,tafuta wajuzi wakusaidie katika hili,au soma vitabu,utaona mikao mbalimbali.utaona mabadiiko!
Huyo mwanamke angekuwa mke wangu ningeisha mrudisha kwao, bora nikae bila mke kuliko kukaa na mke kama huyo.
 
mwe au mimi naova duu!mbona hata hiyo tano ya awali kama pia ilikuwa chache kwa mwezi!kweli kuwa uyaone!
 
Hilo ni tatizo la wanawake wengi sana kwenye ndoa. Nasema hivi sababu hata mie yalianza kutokea, nikampa yellow card aende kwao mamake aliponiuliza nikamuelezea aliona aibu kubwa na kumsema mwanae aliporudi mashine naikamua kwa raha zangu! In short wanawake hujisahau pia, hiyo ndo maana huleta nyumba ndogo, yani hajiulizi we mwanaume wake mwezi mzima unapuchua wapi? Huyo anakutafutia lawama au maukimwi tu. Ila mchunguze anaweza akawa anamtu anampuchua nae wanawake wakinogewa husahau mazee, nasema hivi kwani yote yanawezekana mkuu, chunguza sana, haiwezekani mwezi! Du!

Kunw wanawake wengne nyumba ndogo wana ham nazo
 
Kunw wanawake wengne nyumba ndogo wana ham nazo

Its true mamie, kama kweli ni mpenzi wako how could u be such selfish? Hata kama unafanya kazi, hiyo sababu maana kazi ina nafasi yake na mapenzi yana muda wake. Mwanamke anajisingizia uchovu mwezi mzima? Huyo inabidi kumuangalia kwa jicho la tatu. Ukimwi na nyumba ndogo zinakuja kirahisi sana katika ndoa kama hizi.
 
huyo si mke kitu. tangaza mgogoro kwanza, na usiishie hapo, mpige sanctions, then ndoa iishie hapo. imedhihirishwa kitabibu kuwa mwnume wa kuanzia miaka 30 yafaa apate tendo la ndoa walau mara moja kwa wiki ili kupunguza uwezekano wa kupatwa na kansa ya kizazi inaitwa prostate cancer. sasa wewe unaremba nini? utateseka peke yako hadi lini?
 
Back
Top Bottom