Kupayuka! Mbinu mpya ya kubaki kileleni?

Kupayuka! Mbinu mpya ya kubaki kileleni?

Mkuu naona kilele umekiremba kwelikweli... maana ukisoma heading unapata wazo la kimahusiano lakini ukiingia ndani unakutana na vilele vya kisiasa, muziki, vyeo... HONGERA MKUU NIMEUPENDA AINA HIYO YA UANDISHI
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Madaladala hoyeee!
Tatizo la madaladala ya mji muhimu yanaleta foleni ya matamko na kutucheleweshea maendeleo. Uzezeta nao siyo mzuri.
Leo kuna mmoja kaibiwa simu na imekuwa ni habari kubwa ya kuandikwa kwenye magazeti
 
Unataka kusema na kufyatua ilikua kupayuka ?? [emoji16][emoji16]
Leo ajira zipo ,kesho hamna ni kupayuka[emoji16][emoji16][emoji56][emoji23]

Mkuu leo umenifurahisha sana...
 
Unataka kusema na kufyatua ilikua kupayuka ?? [emoji16][emoji16]
Leo ajira zipo ,kesho hamna ni kupayuka[emoji16][emoji16][emoji56][emoji23]

Mkuu leo umenifurahisha sana...
Nasikia tarehe moja October ni siku ya kupanda miti nchi nzima! Hili ni agizo la mkuu wa mkoa mmoja kati ya mikoa yote ya Tanzania/Tanganyika
 
Mkuu naona kilele umekiremba kwelikweli... maana ukisoma heading unapata wazo la kimahusiano lakini ukiingia ndani unakutana na vilele vya kisiasa, muziki, vyeo... HONGERA MKUU NIMEUPENDA AINA HIYO YA UANDISHI
878f30ab85ee3f5e8bd8b2e5e70b02f9.jpg
[emoji3] [emoji13] [emoji115]
 
View attachment 384442Kileleni kuna raha yake ni kuzuri na kila kitu kinakuwa chini yako...kilele ni kilele tu hasa kikiwa cha mafanikio umaarufu nk...hakuna anayependa kushuka chini...labda kiwe ni kilele cha matatizo hapo hakuna anayependa kubaki
Kuna vitu special hutufanya tuwe kileleni....wasanii wetu ni kutokana na kazi zao...lakini zinapokosa mvuto kwasababu ya ubunifu matatizo na mahitaji ya nyakati na kuanza kuporomoka, hutafuta njia nyingine ya kubaki kileleni.

Njia hiyo si ile iliyowapandisha! Hii ni shortcut iliyojaa kuchanganyikiwa, unaweza kuona wasanii wetu wengi wamebaki na umaarufu wa tuhuma za mambo ya ajabu kuchambana mitandaoni na kufanya mambo mengi ya kutia kinyaa alimradi tu wawe midomoni mwa watu na kwenye kurasa za media.

Wanasiasa nao ni waathirika wa umaarufu na mmojawapo ni mkuu wa mkoa wa Dsm...Ukiangalia matamko aliyokwishatoa (ambayo mengi kimsingi na kiuhalisia hayatekelezeki)utagundua kuwa ana mradi maalum wa kutafuta kiki na kubaki kwenye kurasa za vyombo vya habari na midomo ya watu.

Amegundua udhaifu wa media zetu hazina tafakuri ya kina, huandika chochote na kikapokewa kwa mlipuko na kuzua mijadala isiyoisha.....kwa njia hii anajihakikishia kubaki kileleni japo kwa kupayuka! Lakini je yuko peke yake? View attachment 384443

Ok. Nimekusoma Mkuu!
 
Nipo Ushetu nataka Kuja Dar,natakiwa kutipoti wapi,kwa mjumbe ama kwa mfame-wa-jiji?

Naombeni msaada,na nachofuata ni kununua viatu vya harusi,je hawa viongozi watanipa siku ngapi kukaa hapo jijini maana nlisikia kila ajaye Dar aje kwa sababu maalum na juzi nikamsikia akisema Ana uwezo wa kumuhamisha mtu kutoka kwenye ufalme wake!
 
Ngoja niwasiliane naye nitakujibu ASAP [emoji23]
 
Back
Top Bottom