Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,207
- 15,888
Nipo pamoja na mdau alieweka maneno ktk hii picture.Hii kitu ni udhalilishaji mkubwa kwa wanaume wenye agenda ya siri nyuma yake... Na yeyote anayeupigia upatu kama si mteja basi mtumiwaji...
Samahani kwa picha yenye maudhui yenye ukakasi View attachment 753609
Bora Bwana akatwaa tu.ila nimesoma hii post mwanzo nadhan kilichozungumzwa hapa ndicho anachokifanya makonda,anacheza na akili za watu ili daima dumu awe midomoni mwao wakisemezana kumuhusu hata kama ameongea ujinga.
How atakuja mtu anilazimishe kwamba unatakiwa upimwe ugonjwa fulani tena kwa lazma?kama kipindupindu sawa maana kweli huwa unakuwa na hali ya hatari kuambukiza sio tezi dume.doctors watakaomsiliza huyu jamaa nao itabidi vyeti vyao vichunguzwe.