Kupayuka! Mbinu mpya ya kubaki kileleni?

Kaka kuna ule msemo wako wa Jana, nikukumbushe. Ulisema: LIKE FATHER LIKE SON.
Siku hizi kuna vipimo vya DNA lakini zamani tulikuwa tunaangalia tu sura na alama fulani fulani..kama baba alikuwa na chogo ama nundu kubwa kichwani kama uvimbe usiotumbuka na mtoto naye akawa na kitu kinachofanana na hicho unajua tu wazi hapa kuwa baba hakuzaa bali katoa nakala yake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa utamu wa kileleni kila mtu anatamani kubaki hapo.....isipokuwa tu unakosekana uwezo wa kumaintain kuendelea kubaki hapo......maana mpaka ufike kileleni lazima utakuwa umechoka sana na safari ya kufika kileleni......
1471677342244.jpg
 
Waandishi wa kitanzania wangekua ni great thinkers km wale wa ulaya nk nadhani haya matamko ya mwendo kasi ya viongozi wa kitanzania yangewakosti sana na wasingefika hata kileleni! Tatizo vyuo vyetu vinadahili waripoti habari na sio Waandishi wadadisi na wachunguzi
 
View attachment 384442kileleni kuna raha yake ni kuzuri na kila kitu kinakuwa chini yako...kilele ni kilele tu hasa kikiwa cha mafanikio umaarufu nk...hakuna anayependa kushuka chini...labda kiwe ni kilele cha matatizo hapo hakuna anayependa kubaki
Kuna vitu special hutufanya tuwe kileleni....wasanii wetu ni kutokana na kazi zao...lakini zinapokosa mvuto kwasababu ya ubunifu matatizo na mahitaji ya nyakati na kuanza kuporomoka, hutafuta njia nyingine ya kubaki kileleni
Njia hiyo si ile iliyowapandisha! Hii ni shortcut iliyojaa kuchanganyikiwa, unaweza kuona wasanii wetu wengi wamebaki na umaarufu wa tuhuma za mambo ya ajabu kuchambana mitandaoni na kufanya mambo mengi ya kutia kinyaa alimradi tu wawe midomoni mwa watu na kwenye kurasa za media
Wanasiasa nao ni waathirika wa umaarufu na mmojawapo ni mkuu wa mkoa wa Dsm...Ukiangalia matamko aliyokwishatoa (ambayo mengi kimsingi na kiuhalisia hayatekelezeki)utagundua kuwa ana mradi maalum wa kutafuta kiki na kubaki kwenye kurasa za vyombo vya habari na midomo ya watu
Amegundua udhaifu wa media zetu hazina tafakuri ya kina, huandika chochote na kikapokewa kwa mlipuko na kuzua mijadala isiyoisha.....kwa njia hii anajihakikishia kubaki kileleni japo kwa kupayuka! Lakini je yuko pekeyake? View attachment 384443
BADO NASUBIRI USEME UKWELI WA ULICHOKUWA UNAKILENGA HAPA,NI KILELE HICHO KWELI?
 
Kwa utamu wa kileleni kila mtu anatamani kubaki hapo.....isipokuwa tu unakosekana uwezo wa kumaintain kuendelea kubaki hapo......maana mpaka ufike kileleni lazima utakuwa umechoka sana na safari ya kufika kileleni......
Nadhani makonda hajafika kileleni ndo bado anakomaa komaa ili afike, make anahangaika sana
 
Mimi sijaelewa hapo hicho kileleni kinachozungumzwa hapa.Kama ni kileleni mwa mlima Kilimanjaro ni kuwa huwezi kukaa huko milele, lazima utashuka tu hivyo hivyo kwa kilele cha mwembe. Kwa ujumla hakuna anayeweza kudumu kukaa kileleni ni lazima atashuka chini tu apende asipende!
 
View attachment 384442kileleni kuna raha yake ni kuzuri na kila kitu kinakuwa chini yako...kilele ni kilele tu hasa kikiwa cha mafanikio umaarufu nk...hakuna anayependa kushuka chini...labda kiwe ni kilele cha matatizo hapo hakuna anayependa kubaki
Kuna vitu special hutufanya tuwe kileleni....wasanii wetu ni kutokana na kazi zao...lakini zinapokosa mvuto kwasababu ya ubunifu matatizo na mahitaji ya nyakati na kuanza kuporomoka, hutafuta njia nyingine ya kubaki kileleni
Njia hiyo si ile iliyowapandisha! Hii ni shortcut iliyojaa kuchanganyikiwa, unaweza kuona wasanii wetu wengi wamebaki na umaarufu wa tuhuma za mambo ya ajabu kuchambana mitandaoni na kufanya mambo mengi ya kutia kinyaa alimradi tu wawe midomoni mwa watu na kwenye kurasa za media
Wanasiasa nao ni waathirika wa umaarufu na mmojawapo ni mkuu wa mkoa wa Dsm...Ukiangalia matamko aliyokwishatoa (ambayo mengi kimsingi na kiuhalisia hayatekelezeki)utagundua kuwa ana mradi maalum wa kutafuta kiki na kubaki kwenye kurasa za vyombo vya habari na midomo ya watu
Amegundua udhaifu wa media zetu hazina tafakuri ya kina, huandika chochote na kikapokewa kwa mlipuko na kuzua mijadala isiyoisha.....kwa njia hii anajihakikishia kubaki kileleni japo kwa kupayuka! Lakini je yuko pekeyake? View attachment 384443
Mhu sijui huwa unawaza saa ngapi? Big up mdogo wangu.
 
Back
Top Bottom