Kupayuka! Mbinu mpya ya kubaki kileleni?

Kupayuka! Mbinu mpya ya kubaki kileleni?

nimekuelewa sana ila nahisi hilo hata mkuu wa kaya yetu pia yupo hivyo maana ile kauli yake iliwatisha wengi MIMI SIJARIBIWI jamaa alitisha sana aiseee maana uongozi wake upo ivyo full kupayuka
Umesahau na kufyatua watoto [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji30] [emoji30]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

😀😛😀😀😀

Haaaaaa... haaaa.. kwiiikwiiiii..

Kelele | Kupayuka | za kilele cha mapenzi ni dawa kubwa sana ya stress, and kipoozeo cha maisha..

Haaa..!! @ Lumumba now driving to Regency MC..!!
 
View attachment 384442kileleni kuna raha yake ni kuzuri na kila kitu kinakuwa chini yako...kilele ni kilele tu hasa kikiwa cha mafanikio umaarufu nk...hakuna anayependa kushuka chini...labda kiwe ni kilele cha matatizo hapo hakuna anayependa kubaki
Kuna vitu special hutufanya tuwe kileleni....wasanii wetu ni kutokana na kazi zao...lakini zinapokosa mvuto kwasababu ya ubunifu matatizo na mahitaji ya nyakati na kuanza kuporomoka, hutafuta njia nyingine ya kubaki kileleni
Njia hiyo si ile iliyowapandisha! Hii ni shortcut iliyojaa kuchanganyikiwa, unaweza kuona wasanii wetu wengi wamebaki na umaarufu wa tuhuma za mambo ya ajabu kuchambana mitandaoni na kufanya mambo mengi ya kutia kinyaa alimradi tu wawe midomoni mwa watu na kwenye kurasa za media
Wanasiasa nao ni waathirika wa umaarufu na mmojawapo ni mkuu wa mkoa wa Dsm...Ukiangalia matamko aliyokwishatoa (ambayo mengi kimsingi na kiuhalisia hayatekelezeki)utagundua kuwa ana mradi maalum wa kutafuta kiki na kubaki kwenye kurasa za vyombo vya habari na midomo ya watu
Amegundua udhaifu wa media zetu hazina tafakuri ya kina, huandika chochote na kikapokewa kwa mlipuko na kuzua mijadala isiyoisha.....kwa njia hii anajihakikishia kubaki kileleni japo kwa kupayuka! Lakini je yuko pekeyake? View attachment 384443
Hâta aliyemteua yupo vilevile
 
Yawezekana tumetoka kwenye zama za "kuunda tume" kwa kila tatizo na tuko kwenye zama za "matamko" kwa kila tatizo!!!
 
😀😛😀😀😀

Haaaaaa... haaaa.. kwiiikwiiiii..

Kelele | Kupayuka | za kilele cha mapenzi ni dawa kubwa sana ya stress, and kipoozeo cha maisha..

Haaa..!! @ Lumumba now driving to Regency MC..!!
Hahhahahaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yawezekana tumetoka kwenye zama za "kuunda tume" kwa kila tatizo na tuko kwenye zama za "matamko" kwa kila tatizo!!!
[emoji15] [emoji15] [emoji106] [emoji22] [emoji87] [emoji22] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Kweli kuna udhaifu mkubwa katika media za Tanzania.

Halafu waandishi wa habari ni waoga hawahoji kwa kuuliza maswali magumu ya msingi ili kuondoa ukakasi, wao waandishi kazi yao ''kunakili'' yale yanayotoka ktk meza kubwa neno kwa neno.

Angalau hapa Jamiiforums tunahoji masuala kwa kina waje wajifunze au kama wanaogopa basi waandishi waseme ''mitandao ya jamii inasema hivi, je wewe bwana mkubwa una nini la kusema juu ya hoja hii ilivutia maswali mengi katika mitandao ya jamii.
Waandishi wa bahasha!
 
View attachment 384442kileleni kuna raha yake ni kuzuri na kila kitu kinakuwa chini yako...kilele ni kilele tu hasa kikiwa cha mafanikio umaarufu nk...hakuna anayependa kushuka chini...labda kiwe ni kilele cha matatizo hapo hakuna anayependa kubaki
Kuna vitu special hutufanya tuwe kileleni....wasanii wetu ni kutokana na kazi zao...lakini zinapokosa mvuto kwasababu ya ubunifu matatizo na mahitaji ya nyakati na kuanza kuporomoka, hutafuta njia nyingine ya kubaki kileleni
Njia hiyo si ile iliyowapandisha! Hii ni shortcut iliyojaa kuchanganyikiwa, unaweza kuona wasanii wetu wengi wamebaki na umaarufu wa tuhuma za mambo ya ajabu kuchambana mitandaoni na kufanya mambo mengi ya kutia kinyaa alimradi tu wawe midomoni mwa watu na kwenye kurasa za media
Wanasiasa nao ni waathirika wa umaarufu na mmojawapo ni mkuu wa mkoa wa Dsm...Ukiangalia matamko aliyokwishatoa (ambayo mengi kimsingi na kiuhalisia hayatekelezeki)utagundua kuwa ana mradi maalum wa kutafuta kiki na kubaki kwenye kurasa za vyombo vya habari na midomo ya watu
Amegundua udhaifu wa media zetu hazina tafakuri ya kina, huandika chochote na kikapokewa kwa mlipuko na kuzua mijadala isiyoisha.....kwa njia hii anajihakikishia kubaki kileleni japo kwa kupayuka! Lakini je yuko pekeyake? View attachment 384443
Umethubutu
 
Uzi wako umenifikisha kileleni baada ya kuusoma wote
1471716372741.jpg
1471716381712.jpg
weird likeness [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kakaangu Fred nimeona ile video yako ya kurudi kundini...kwa maneno yako umesema hivi....nilipotoka nilipajua vizuri sana ila nilipoenda sikuwa na hakika napo.....ila sasa nimerejea, ninapajua vizuri nilipotoka na huku nilikorudi...
Waswahili husema kupotea njia ndio kujua njia...kwasasa njia zote mbili unazifahamu vema
Kuwa kama Paulo, kuwa kama Mrisho kuwa kama Lameck uone next uteuzi utakuwa wa nani
Lakini pia zingatia hili; Bob kasema safari hii ni vijana zaidi kwakuwa eti wazee wanapenda rushwa [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Madaladala hoyeee!
Tatizo la madaladala ya mji muhimu yanaleta foleni ya matamko na kutucheleweshea maendeleo. Uzezeta nao siyo mzuri.
 
Inategemea mtu na mtu kuna wengine wanatumia nguvu nyingi kufika kileleni na hufika wamechoka na wengine hutamani kufika na wakifika zile fikra na hamu yao huisha na kuchoka matokeo yake huamua kung'atuka (Nyerere )wengine baada ya kufika huko japo kwa mbinde na kusimamia kucha na nguvu huwaishia lakini bado watang'ang'ania kubaki huko kama comrade (mugabe )waqt mwingine kuna tofauti kati ya bao na bao ingawa kufika ni kufika.
 
Mkuu naona kilele umekiremba kwelikweli... maana ukisoma heading unapata wazo la kimahusiano lakini ukiingia ndani unakutana na vilele vya kisiasa, muziki, vyeo... HONGERA MKUU NIMEUPENDA AINA HIYO YA UANDISHI
 
Back
Top Bottom