Kupayuka! Mbinu mpya ya kubaki kileleni?

Kupayuka! Mbinu mpya ya kubaki kileleni?

Kwa kweli Mungu awabariki wasanii na watu wengine jasiri katika kukemea kwa kupaza sauti juu ya uhuru ulipungua. Wakati huu watu tumekuwa waoga kukosoa yanayoendelea mfano kutokutolewa tamko vyeti feki vya watu kama DAB. au kwa kuwa ni wakubwa ndo wapo juu ya sheria? Wenye kuweza kutolea tamko wamekaa kimya ili mradi tu wanapata mkate wao wa kila siku lakini watu wa kada ya chini ndo wanaotumbuliwa kwa vyeti feki. Tunakoelekea ni hatari mno tusishabikie hali hii. Wasomi na wapenda ustaarabu wa demokrasia tuendelee kupaza sauti zetu juu ya uhuru unaopotea hadi kwenye majukwaa ya SIASA. Siasa na kazi ndo mpango mzima. Bila siasa ni ubabe tu no freedom. Tukikosa amani na kazi hazitaenda. Kila siku wafanyakazi tunaangalia tu vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kufahamu nani kafanya nini au kafanywa nini badala ya kuelekeza mawazo yetu kwenye shughuli za kujenga taifa. Ni hatari sana kwa kweli. Tuache watu wawe huru mradi tu sheria haivunjwi. Mungu atubariki viongozi wetu watuongoze kwa misingi ya haki. Waliokuwa wababe na wapole wote njia yao ni ardhini tusifanye ya kuudhi wengine tukidhani hapa duniani ni pa kudumu.
 
IMG-20170411-WA0003.jpg
 
Kwakuwa tu anapenda kuwa live kwenye media na mitandaoni basi yuko tayari kufanya lolote ili aendelee kusikika
 
Na ataendelea kubaki na kufikishwa kileleni kila siku kwa uropokaji wake.Maana si kwa kujiamini kule Makondoo.
 
ivi ukishajijua umbo lako likoje c unajitafutia na dress code isiyotia shaka uyu vip izo gym anafanyaga nini au anatengenezaga shape afanane na ...
Maybe anapenda modeling
 
Dah..ila tuache utani kapendeza jaman, yaan mpk naoana wivu mana si kwa shepu hilo
 
Hii kitu ni udhalilishaji mkubwa kwa wanaume wenye agenda ya siri nyuma yake... Na yeyote anayeupigia upatu kama si mteja basi mtumiwaji...
Samahani kwa picha yenye maudhui yenye ukakasi
IMG-20180422-WA0157.jpg
 
Kweli kuna udhaifu mkubwa katika media za Tanzania.

Halafu waandishi wa habari ni waoga hawahoji kwa kuuliza maswali magumu ya msingi ili kuondoa ukakasi, wao waandishi kazi yao ''kunakili'' yale yanayotoka ktk meza kubwa neno kwa neno.

Angalau hapa Jamiiforums tunahoji masuala kwa kina waje wajifunze au kama wanaogopa basi waandishi waseme ''mitandao ya jamii inasema hivi, je wewe bwana mkubwa una nini la kusema juu ya hoja hii ilivutia maswali mengi katika mitandao ya jamii.
NIPASHE NDIO LIMEOZA KABISA
 
bagamoyo tatizo ni bahasha na kutanguliza maslahi binafsi mbele! Ukionekana ni mjuaji sana unahoji sana mkutano mwingine huitwi ng'ooo
Mimi nilikuwa nanunua gazeti moja litokalo kila siku na nilikuwa nawaaminia ! Ila kwa Sasa nimegundua ile dhana ya kuhoji imewatoka hivyo nimewaacha kabisa na nikiangalia niwapo barabarani kwenye foleni ni wengi wamechukua uamuzi wangu ! Wasipojirekebisha watafunga biashara kwani siwezi kutoa buku langu kusoma masifio ! Huwa nilikuwa nahitaji habari mbadala
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eti kileleni kutamu!

Wanaochelewa kufika kileleni wanasaidiwa na kupayuka [emoji40]
 
Back
Top Bottom