Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,142
- 6,947
Uwelewa wako mdogo,na hujijui kama uwelewa wako mdogo.Kwanza thibitisha sheria ni sheria
Huwezi kumwambia mtu kwamba kutojua sheria sio utetezi wakati sheria haieleweki, kuna vitabu elfu tano vya sheria, vyote vinasema tofauti, halafu kila kimoja kinajipinga chenyewe.
Thibitisha kwamba Mungu yupo.
Otherwise the entire question is moot.
Kushindwa kujuwa Mungu yupo,ni sawa na kushindwa kujijuwa kama una njaa.