Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

Na Mungu katokea wapi? Hakuna ajuaye viumbe wametokea wapi. Kitu kama hatujui tukubali tu hatujui. Sio ku force kwamba eti lazima tumeumbwa. Bila uthibitisho wowote.

Kutojua kitu ni justification kuwa hakipo?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Useless To who you or minyoo itakayokufyonza maji maji yako ukifa? Au ni useless kwa wale kuku uliokuwa unatafuna mifupa yao?

Tumia akili ya kawaida tu, unachokitaka hakiwezekani, yaani ili uamini kuna MUNGU ww unatakiwa usiumwe na uishi milele?

Ww usiamini tu ila uwepo wa sayari na viumbe pamoja na mpangilio wake una chanzo, hicho chanzo ndiyo MUNGU.

Sasa maamuzi ni yako kuamua ni MUNGU wa dini ipi. Ila kusema hayupo BIG NO maana tusingekuwepo. Ukishasema moto, safina hapo umechagua MUNGU wa biblia au kuruani, ss kutokuamini MUNGU wa biblia au wa kuruani hakuhalalishi kutokuwepo kwa MUNGU.
Unachokisema strictly speaking ni kua Mungu ni nature... sio huyu aabudiwaye makanisani na misikitini
 
Wanabodi
Salaam;

Kwa muda hapa watu wamekuwa wakibishana juu ya uwepo wa Mungu. Wengine wakisema Mungu hayupo na wale wanaoamini uwepo wa Mungu.

Binafsi nikiunganisha hoja za wale wanaosema hakuna Mungu na tukio la leo sept.mosi la kisayansi la kupatwa kwa jua,kwa kiwango kikubwa wamethibitisha Mungu hayupo!

Tukio la kupatwa jua,limetangazwa muda mrefu na wanasayansi wakieleza itakavyokuwa,sehemu,muda na hata siku itakapotokea tena hapa Tanzania na sehemu zingine.

Sayansi haiwajawahi kudanganya,lkn viongozi wengi wa Dini hakuna jambo hata moja ambalo wanaweza kueleza kwa wafuasi wao kwa uhakika km litatokea. Viongozi wa dini kazi yao ni kujaza watu uoga na hilo wamefanikiwa sana.

Alipoulizwa maoni yake kuhusu tukio la kupatwa kwa jua,shekhe wa mkoa wa Dar. Alisema tukio hilo ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu na kwamba waislamu ktk tukio km hilo,wanapaswa kusali sana!

Alipoulizwa askofu mkuu msaidizi wa jimbo la Bukoba alisema kanisa halina kanuni yoyote inayoelezea tukio hilo nae akasisitiza watu kusali.

Kuna umuhimu wa kufundisha zaidi watoto wetu sayansi kuliko dhana isiyoaminika ya maandiko matakatifu.

Siku ambayo wanasayansi watatangaza kuwa kuna kimondo kitaipiga Dunia na kwamba itakuwa ndo mwisho wa Dunia,hakuna ubishi huo ndo utakuwa mwisho. Na wale wanaosubiri kurudi kwa Yesu kristu watabaki na hiyo hadithi isiyo na kikomo.

Nawasilisha...!
Zaburi 14:1 SUV

"Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema."

Sent using Self-propelled Artillery
 
Kiukweli mimi siwezi kuwa mnafiki, ata kwenda motoni niko tayari kuliko kumwabudu Mungu asiye stahili kuabudiwa. Sipendi utumwa. Yani sioni faida yake. Mungu kama anasoma post yangu aniandike mapema kabsa kwenye kitabu cha wa motoni.
Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.
Mithali 18:21 SUV

Sent using Self-propelled Artillery
 
punguza mwendo upo kazi sana
Wanabodi
Salaam;

Kwa muda hapa watu wamekuwa wakibishana juu ya uwepo wa Mungu. Wengine wakisema Mungu hayupo na wale wanaoamini uwepo wa Mungu.

Binafsi nikiunganisha hoja za wale wanaosema hakuna Mungu na tukio la leo sept.mosi la kisayansi la kupatwa kwa jua,kwa kiwango kikubwa wamethibitisha Mungu hayupo!

Tukio la kupatwa jua,limetangazwa muda mrefu na wanasayansi wakieleza itakavyokuwa,sehemu,muda na hata siku itakapotokea tena hapa Tanzania na sehemu zingine.

Sayansi haiwajawahi kudanganya,lkn viongozi wengi wa Dini hakuna jambo hata moja ambalo wanaweza kueleza kwa wafuasi wao kwa uhakika km litatokea. Viongozi wa dini kazi yao ni kujaza watu uoga na hilo wamefanikiwa sana.

Alipoulizwa maoni yake kuhusu tukio la kupatwa kwa jua,shekhe wa mkoa wa Dar. Alisema tukio hilo ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu na kwamba waislamu ktk tukio km hilo,wanapaswa kusali sana!

Alipoulizwa askofu mkuu msaidizi wa jimbo la Bukoba alisema kanisa halina kanuni yoyote inayoelezea tukio hilo nae akasisitiza watu kusali.

Kuna umuhimu wa kufundisha zaidi watoto wetu sayansi kuliko dhana isiyoaminika ya maandiko matakatifu.

Siku ambayo wanasayansi watatangaza kuwa kuna kimondo kitaipiga Dunia na kwamba itakuwa ndo mwisho wa Dunia,hakuna ubishi huo ndo utakuwa mwisho. Na wale wanaosubiri kurudi kwa Yesu kristu watabaki na hiyo hadithi isiyo na kikomo.

Nawasilisha...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa unakwama wap? Hujajibu hizo hoja nane ila ni kama unamtisha
Sababu zako za kitoto sana pole kwa kugundua MUNGU hayupo

Tumevuka vihunzi vingi kupitia MUNGU
Tumepona magonjwa mengi kupitia MUNGU bila kwenda huko(hospital)
Tumezidi kupenya pasipo penyeka kupitia MUNGU
Nafikiri haya ni machache waliopitia mengi kwenye maisha yao wanajua umuhimu wa MUNGU

MUNGU yupo na anaponya na anabadilisha

Sisi hatupambani wenyewe tunamuachia MUNGU tu kwanini tujipe shida bure wakati MUNGU yupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau wa jukwaa hili, kama great thinkers tuichambue mada na si kulazimisha unachoamini wewe kwa kumponda anayeamini tofauiti. Mada hii inahusiana na masuala ya imani na tunambiwa imani ( ambayo ni bayana ya mambo yasiyoonekana ) huja kwa kusikia, hivyo basi badala ya kumshambulia mleta mada tujenge hoja za kumshawishi ageuka na kuamini kile tunachokiamini.
Mimi binafsi naamini uwepo wa Mungu kwa sababu hiyo sayansi bado imeshindwa kujibu maswali mengi sana - kwanini tufe, lini tutakufa, na ingawa maandiko pia yanachanganya wakati fulani kwa mfano tunaambiwa dunia ni tambarale na mbingu imejaa maji. Wasomaji wa biblia wataelewa ni wapi yalipo haya maandiko ambayo yameonyesha kuchanganya kwani science imeprove kwamba dunia ni mviringo ( oval ) na anga sio maji ila ni space iliyojaa hewa kinyume na tunavyaminishwa kwenye vitabu vitakatifu. Kwa muktadha huo basi ni great thinking kudadavua haya mapungufu ya kimaandiko na kisayansi ili twende pamoja kuliko kuanza kumponda mtoa mada. Yeye amechokoza mada, ni jukumu letu kama tunahoja kuzileta humu kuliko kumshambulia mtoa hoja, tuishambulie hoja yake. Na kama hatuna hoja mara nyingi ni hekima kukaa kimya.
 
Back
Top Bottom