Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

Kwanza thibitisha sheria ni sheria

Huwezi kumwambia mtu kwamba kutojua sheria sio utetezi wakati sheria haieleweki, kuna vitabu elfu tano vya sheria, vyote vinasema tofauti, halafu kila kimoja kinajipinga chenyewe.

Thibitisha kwamba Mungu yupo.

Otherwise the entire question is moot.
Uwelewa wako mdogo,na hujijui kama uwelewa wako mdogo.
Kushindwa kujuwa Mungu yupo,ni sawa na kushindwa kujijuwa kama una njaa.
 
Thibitisha Mungu yupo.

Kama uelewa wangu mdogo, wewe kushindwa kujibu swali la mtu mwenye uelewa mdogo kunaonesha uelewa wako ni mdogo zaidi ya wangu.
 
Nakaa nalitazama jua Na utendaji wake kazi najiuliza au hili jua ndio mungu? Usiku likitoweka najiuliza limekwenda kupumzika? Ina maana limechoka? Hivi linajituma lenyewe au linatumwa? Nani anayelituma? Nani anaeliongoza? Mbona halikosei hata siku moja? Hakika hili jua ndio mungu. Kama hili jua Sio mungu basi aliyeko nyuma ya hilo jua ndio mungu.. Kwanini nashindwa kumuona huyo mungu? Huu mwanga wa jua unafanya macho yangu kuwa dhaifu hadi kushindwa kuona nyuma yake? Nyuma ya jua Kuna nini??
 
Thibitisha Mungu yupo.

Kama uelewa wangu mdogo, wewe kushindwa kujibu swali la mtu mwenye uelewa mdogo kunaonesha uelewa wako ni mdogo zaidi ya wangu.
Kushindwa kujithibitishia mwenyewe kama Mungu yupo,kama nilivyijithibitishia mimi mwenyewe,ni thibitisho tosha ya wewe kuwa na kiwango cha chini zaidi sana,cha uwelewa.
 
Inawezekana.Pia inawezekana Mungu hayupo.

Mimi kuwa na kiwango cha chini cha uelewa kiasi cha kushindwa kumuelewa Mungu wako ni uthibitisho kwamba Mungu wako hayupo.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kama angeumba ulimwengu angeuumba kwa njia ya kwamba hata yule mwenye uelewa wa chini kabisa hawezi kupata ugumu wa kumuelewa Mungu.

Kwa nini?

Kama alivyosema Nyerere katika azimio la vita dhidi ya Idi Amin, "nia tunayo, uwezo tunao, sababu tunayo".

Mungu huyo, asingekosa nia ya kumpa kiumbe wake ujuzi huu wa msingi kabisa, kwa sababu nia ya Mungu huyu ni mazuri, si mabaya. Elimu ya kumjua muumba wa kiumbe ni nzuri, si mbaya.

Sababu ya kumpa kiumbe huyu elimu hii angekuwa nayo, kwa sababu Mungu huyu ana upendo mkubwa sana, wewe binadamu tu mweney upendo wenye kikomo humnyimi mwanao elimu ya kukujua baba, kama unampenda, sembuse Mungu?

Uwezo wa kutupa elimu hiyo, kwa mujibu wenu, alikuwa nao. Kwa sababu ana uwezo wote.

Sasa kwa nini Mungu huyu amnyime kiumbe wake yeyote uwezo wa kumjua yeye Mungu?

Ukweli kwamba kuna utata kuhusu suala la kuwapo Mungu huyu unaonesha hayupo. Angekuwepo kusingekuwa na utata.
 
Hapana mkuu unakosea sana kufananisha uwepo au uthibitisho wa Mungu na mambo ya sayansi.but hatuwezi kujudge msimamo wako ila kikubwa ni kwasababu tu Mungu ni imani au hajaamua kuonekana dhahiri kwa wanadamu,lakin wew unafikir mambo yote hayo na kutokea kwa wanasayansi pamoja na vitu vyote vilivyomo,unafikir vilitokea wapi au kwa hili unaweza ukaprove vp kumuumba binadamu au tulitokea wap? Leo hii unaweza kumuumba binadamu? Kama ndiyo hapana shaka watu wanaweza kuamini kwamba Mungu hayupo lakin sio rahis kiasi hiko.
 
Mungu yupo au hayupo?

Hilo ndilo swali.

Tuanze na hawa miungu wa wa Biblia na Quran

Wasomi wako hivi na vile, hiyo si hoja, ni kiroja.

Kama Mungu hayupo wasomi waseme yupo kwa sababu tu wasiosoma wanasema hayupo?
Kiranga wewe upo hapa JF muda mrefu,nini kimetokea kwako mbona unaanza kusahau.Hayo maswali yako ya kuuliza Mungu yupo au hayupo unajua hujaanza kuyauliza leo.Kuna threads kibao uliuliza tukakujibu.Ninachojua ni kwamba hauamini kwamba Mungu yupo,sasa siwezi kuanza tena kukujibu.Tafuta hizo thread au soma post zangu kama una muda nilishajibu.Hata wafanya biashara hawafanyi kwa hasara,siwezi kuanza kuhangaika kukujibu wakati najua msimamo wako ni nini.Nitaendelea kukuombea tu na naamini Bwana atatenda kwa wakati wake.
 
Umejibu wapi?

Kujibu unaweza kujibu hata 1 + 1 = 11, hilo halimaanishi jibu lako ni sahihi.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Unaweza kuthibitisha kwa mantiki iliyojitosheleza kwamba Mungu yupo?
 
Mazee unakataa logic?

Hiyo imani ya kukubali Mungu yupo, na kati ya hawa Miungu wote huyu ndiye wa kweli, unatumia nini kujua hayo?

Au unafuatisha tu ulivyokuta kwa wazazi basi, mengine unayafungia macho?

Unajua kwamba hata kupost JF umetumia logic?

Utakataa vipi kutumia logic katika kutafuta ukweli wa kama Mungu yupo au hayupo?
Sikatai logic,nacho ona shule imekufikisha pabaya.Hauamini tena kama kuna Mungu.Ulishawahi kufikiria kama usingesoma hayo uliyosoma ungekuwaje?You are who you are trained to be.
Kiranga ufahamu wa mwandamu uko chini sana ya ufahamu wa Mungu ni sawa na leo roboti ifanye experiment ya kuprove kuna mwanadamu.Naomba utupe experiment inayoprove kwamba upepo upo?
Umejibu wapi?

Kujibu unaweza kujibu hata 1 + 1 = 11, hilo halimaanishi jibu lako ni sahihi.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Unaweza kuthibitisha kwa mantiki iliyojitosheleza kwamba Mungu yupo?
Kiranga unahitaji kufanyiwa maombi,huo ubishi ulio nao ni roho kamili.Umefungwa usiamini kwamba kuna Mungu,wewe shule imekuharibu,si kila kitu unaweza kuprove kisayansi.
 
Sikatai logic,nacho ona shule imekufikisha pabaya.Hauamini tena kama kuna Mungu.Ulishawahi kufikiria kama usingesoma hayo uliyosoma ungekuwaje?You are who you are trained to be.
Kiranga ufahamu wa mwandamu uko chini sana ya ufahamu wa Mungu ni sawa na leo roboti ifanye experiment ya kuprove kuna mwanadamu.Naomba utupe experiment inayoprove kwamba upepo upo?

Kiranga unahitaji kufanyiwa maombi,huo ubishi ulio nao ni roho kamili.Umefungwa usiamini kwamba kuna Mungu,wewe shule imekuharibu,si kila kitu unaweza kuprove kisayansi.
Kabla ya kusema Mungu yupo kafanya hivi na vile, unaweza kuthibitisha kwamba yupo?
 
Uthibitishaji wa uwepo wa Mungu haufanywi maabara (material) ni spiritial zaidi. Kiujumla ukitaka kupinga uwepo wa Mungu unaweza kushinda ila sio ushindi wa uelewa ni ushindi wa ubishi asilia ulionao. Na inabidi labda usiamini eitha ktk Imani au Sayansi ukubali tu kuwa upo kwa sababu upo na dunia ipo tu kwasababu ipo huna maelezo yoyote juu ya uwepo wa dunia na vyote vilivyomo. Ila ukweli Mungu yupo.
 
Wapi nimekwambia uthibitishe kwenye maabara?

Mbona unajipa vizingiti mwenyewe? Vizingiti ambavyo mimi sijakupa!
 
Kuna mtu humu anaambiwa shule imemuaribu kumbe hata hajui a wala be ya atheism ninaamini nikileta maswali yanayohusu atheism hakuna hata moja atajibu.

Salama yao huku ni kwamba hakuna mtu anayewauliza maswali kuhusu chanzo cha uhai pamoja na chimbuko la uhai na formation of the universe wao ni kuuliza tu lakini ukimuuliza yeye hana cha kukujibu blabla nyingi.
 
Inawezekana.Pia inawezekana Mungu hayupo.

Mimi kuwa na kiwango cha chini cha uelewa kiasi cha kushindwa kumuelewa Mungu wako ni uthibitisho kwamba Mungu wako hayupo.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kama angeumba ulimwengu angeuumba kwa njia ya kwamba hata yule mwenye uelewa wa chini kabisa hawezi kupata ugumu wa kumuelewa Mungu.

Kwa nini?

Kama alivyosema Nyerere katika azimio la vita dhidi ya Idi Amin, "nia tunayo, uwezo tunao, sababu tunayo".

Mungu huyo, asingekosa nia ya kumpa kiumbe wake ujuzi huu wa msingi kabisa, kwa sababu nia ya Mungu huyu ni mazuri, si mabaya. Elimu ya kumjua muumba wa kiumbe ni nzuri, si mbaya.

Sababu ya kumpa kiumbe huyu elimu hii angekuwa nayo, kwa sababu Mungu huyu ana upendo mkubwa sana, wewe binadamu tu mweney upendo wenye kikomo humnyimi mwanao elimu ya kukujua baba, kama unampenda, sembuse Mungu?

Uwezo wa kutupa elimu hiyo, kwa mujibu wenu, alikuwa nao. Kwa sababu ana uwezo wote.

Sasa kwa nini Mungu huyu amnyime kiumbe wake yeyote uwezo wa kumjua yeye Mungu?

Ukweli kwamba kuna utata kuhusu suala la kuwapo Mungu huyu unaonesha hayupo. Angekuwepo kusingekuwa na utata.
Uwezo umepewa,lakini washidwa kuutumia,wewe huna tofauti na mwanafunzi anayekuwa wa mwisho,wakati kuna wenzake wanakuwa wa kwanza,kwa mwalimu wao mmoja.
Kushindwa kujuwa kama Mungu yupo,ni kutweza kutumia uwelewa uliyopewa na Mungu,ndio maana ukawa na uelewa mdogo zaidi sana.
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Wewe ndiye umeshindwa kuthibitisha kwamba Mungu yupo.

Mimi nishatoa contradiction mara lukuki hapa, contradiction inayodhihirisha Mungu muweza yote, mwenye mapenzi yote na mwenye ujuzi wote hayupo.

Hujaweza kuipangua contradiction hiyo mpaka leo.
 
Ni kushindwa kwako kutumia,uwezo wa kuelewa,ndio ukawa na uwelewa mdongo.Kushindwa kwako kujuwa Mungu yupo,hakufanyi asiwepo.
 
Wapi na vipi nimeshindwa kujua kwamba Mungu yupo?

Wapi na vipi umethibitisha kwamba Mungu yupo?
 
Mwanafunzi wa mwisho darasani,hawezi jua kama ni wa mwisho,mpaka awe na uwelewa kama ni wa mwisho.Aliye wa mwisho,hufikiri na wengine pia ni wa mwisho.Anayekosa uwelewa ,hufikiri watu wate hawana uwelewa,kumbe ni yeye ndio hana uwelewa.
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom