Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,142
- 6,947
Kukosea kwako kuwako,mji katika nchi nyingine,sio itakayofanya mji usiwepo.Ni uelewa wako mdogo,lakini mji upo.Hoja ni kuwepo au kutokuwepo kwa kwa pembetatu duara, si kuwepo kwa pembetatu wala duara.
Umeelewa hilo?
Nikisema mji mkuu wa Tanzania si Washington DC hilo halina maana hakuna Tanzania wala hakuna Washington DC.
Hilo lina maana hakuna Washington DC iliyo mji mkuu wa Tanzania.
Umeelewa hilo?
Na vile vile uwelewa wako mdogo,wa kutojuwa Mungu kama yupo,hautafanya Mungu asiwepo.
Tatizo ni uwelewa wako mdogo,ni saws na mwanafunzi kuwa wa mwisho darasani,sio kwamba wa kwanza darasani hayupo.