Kupata mtoto

Mkimnunia King'asti wangu mjue mmeninunia miye
 
Nakesha kumsaidia kumuogesha mtoto na kumbembeleza usiku maana najua mchana ni zahama la kunyonyesha hivyo mama anachoka sana.

Itakuwa vyema nikiongeza darasa kwako

Haya sasa kwenye menejimenti miting mzungumzie jukwaa la watoto na malezi kama ilivyotanabaishwa na Karucee
 
Last edited by a moderator:


Mkuu ungefunguka we uko kwenye kundi gani hapo baada ya kuzunguka sana, bythe way, hongera.
 
Reactions: Paw
Kumbe na wewe ulikuwa unafanya ngono zembe!!! Atii!? Hongereni na muandalieni mazingira mazuri asijejutia kuletwa ulimwenguni na nyie wazazi wake
 
Reactions: Paw
Waooo!! Hongera sana mkuu.. inafurahisha kusikia maneno kama hayo
 
Reactions: Paw
Subiri Ban muda si mrefu..!

mwambie kabisa miss neddy asimisbehave katika uzi huu. hapa ni heshima na taadhima la sivyo atachezea kichapo cha ban
hongera Paw mungu awape hekima katka kumkuza mtt.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
Paw hongera kwa majaaliwa hayo, pia jitahidi baada ya mwaka unaongeza mwingine...! weka malengo endelevu...nami nilifanya hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
Hongera Paw
Watoto ndio furaha ya nyumba hasa wachezapo na kumita baba (Hii ni heshima kubwa sana kwako kwani wawapo na wenzao hutamba Baba yangu mmi .......................................)
Ndio Urithi wako hata kwa Jina kwani umeongeza uzao na familia nyingine ambalo ni tawi toka kwako
Watoto watakupatia Wajukuu utakaocheza nao na watakushikia mkongojo (fimbo)
Hongera
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Paw
ningekuwa na bunduki ningekupiga ujue?!

Unadhani kuwa na mimba raha? Unakuwa kama juisi za yeboyebo.

Paw hongera kwa majaaliwa hayo, pia jitahidi baada ya mwaka unaongeza mwingine...! weka malengo endelevu...nami nilifanya hivyo!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…