Kupanda kwa bei ya bia

kunywa bia kwa starehe zako ukiona hasara acha kunywa........... au ndio kale kamsemo ketu...... " drink more bia save water"
 
Unalalamika hiyo bado subiri bajeti mwezi wa 6, lazima iwe 2000 kuendelea. Maana serikali haina pesa na vyanzo vyake ndo bia etc.
 
Bia bado bei iko chini sana ukilinganisha na sehemu nyingine duniani. Bei inatakiwa angalau ifikie USD 2 mpaka 3 kwa chupa na wakati huo huo baa zipandishwe hadhi kwa kuweka vifaa vya kisasa ili wateja wake waweze kulipia bill za vinywaji kwa kutumia VISA CARD. Kwa sasa ni aibu mpaka housegirl anamudi bei ya bia kwa kamshahaka chake cha TShs. 30,000
 
Hi hali ya kupaa kwa bei ya bia kutoka 1500 mpaka 1800 ni nchi zima ama ni kwetu Shinyanga tu?

Ni huko huko shy mlikoinyima ccm kura zenu. Sasa mtakiona cha mtema kuni. Hiyo bei itadumu kwa miezi mitano tu. Baada ya hapo, itasogea hadi Sh 2,000. Mkiandamana mjiandae kuzika mtu kama tano hivi. Hakuna msalia mtume hapa. Pwambafu zenu!
 
Kwani hao bwana zako wanao ua hawatakufa!?...kila mmoja ataonja mauti...Shenzi zako
 
Wakuu hapa Bukoba bia zimepanda hadi kufikia sh 2000,sijui kwingine
hivi tatizo nini mwenye kujua.
wauzaji wanadai ni gharama za usafiri ,hii ni sawa?
 
Back
Top Bottom