Kupanda cheo kwa walimu kwa kigezo cha PEPMIS

Kupanda cheo kwa walimu kwa kigezo cha PEPMIS

Umenielewa vizuri Sanaa

Ndio lengo la kuweka huu Uzi angalau watu wasihukumiwe Kwa muda huu..

Maana mfumo ni rahisi kutolea taarifa ila ufinyu wa semina na mabadiliko ya kiutawala wa shule na huleta changamoto.

Hasa mwaka Jana mfumo ulipoanza rasmi wengi walikuwa hawajui baadhi ya vitu hasa Hawa supervisor.
Sawa sawa basi ujumbe uwafikie wahusika….
 
Huku Sasa ni kutafuta visingizio na lawama Kwa wengine yaani ushindwe kuweka taarifa tu kwenye mfumo useme utanyimwa daraja labda umeamua kutopanda .
 
Huku Sasa ni kutafuta visingizio na lawama Kwa wengine yaani ushindwe kuweka taarifa tu kwenye mfumo useme utanyimwa daraja labda umeamua kutopanda .
Mtumishi unaamuaje kutopanda?
 
Back
Top Bottom